Salute comrades.Wanaume wenzangu njoo tuambizane kitu.Wanasemaga every person has his/ her own tastes and preferences when it comes to matters food, colours, clothing and e.t.c.
Sasa inapokuja kwenye suala la mapenzi hasa kutongoza,naamini kila mtu anakuwaga na vigezo vyake ambao atavitumia...
Hii ni dhahiri kuwa, Kwa Africa na Tanzania, kuwapata viongozi wenye focus na maisha ya watu wao ilivvyo ngumu kupatikana.
Sera ya CCM ya kuwalambisha Asali wote wenye vidomodomo na kiherehere, imetuomyesha jinsi watu hao malengo yao si kuwatetea wananchi, Bali kutafuta furusa za kwao na...
Mfumo wa Effiling kwa sasa ndio unatumika kwa ajili ya walipa kodi kujaza na kutuma Return zao kwa kipindi cha tangu March mwaka huu mfumo huu umekuwa na shida kubwa, Ukiingia kwenye mfumo unakuwa loged out, kuna return unatuma zinakuwa rejected, unatuma return mara kibao ndio zikubali, mtandao...
Na hii ni matokeo ya utandawazi unaofanya wanawake wa dunia ya sasa kuanza mapenzi wakiwa mabinti wadogo kabisa, hivyo kupelekea kumjua zaidi ya mwanaume moja.
Sasa unakuta huwa wakikutana na mwanaume mwenye uume mdogo huwa ni rahisi wao kujua, Kwa hapa kwetu kwa hizi asili zetu za kibantu...
Unapokuwa binadamu mwenye uwezo mzuri wa akili lazima ujue kuchuja vitu na lakuongea si kila jambo nilakutiririka tu!.
Kuhusiana na mtu ni sehemu ya utimilifu wa hisia pamoja na akili. Baadhi ya madhaifu ya mpenzi wako unatakiwa kuwa cover, mengine mwambie ajirekebishe na mengine ishinayo...
Mbali na kuzuwiwa kwa vyakula kuuzwa mchana wa ramadhani katika baadhi ya maeneo, lakini bado zuio hili halijatendewa haki.
Waislamu tunaamini kwamba ukifunga basi hata ukila ile punje ya karanga tu na ukameza kwa makusudi basi umefungua sio mpaka ule biriani au urojo bakuli zima.
Sasa ni...
Ukiangalia kwa makini utaona CHADEMA ni Chama dhaifu sana ambacho hakina dira yoyote zaidi kutanguliza siasa za kibabe, maslahi binafsi, ukabila,ukanda na siasa za utoto utoto tu!
CHADEMA kwa zaidi ya miongo mitatu (miaka 30) imeshindwa kabisa kujenga taasisi imara yenye mifumo imara na chain...
Ni aibu kwamba nchi ambayo tuliaminishwa kwamba watu fulani ni wezi ni watendaji wabovu sasa wanarudishwa kwenye nafasi zao, utadhani hakuna kilichofanyika.
Yawezekana kweli walionewa, lakini iweje Rais wa nchi awarudishe kwenye nafasi zile zile bila maelezo kwa wananchi? Hii haina maana...
Heshima sana wanajamvi,
Baada ya kesi ya Mbowe na wenzake kuondolewa / kufutwa na DPP mahakamani ni wakati muhafaka tukiangazia yaliyojiri kipindi chote cha kesi hii bila kuweka ushabiki na uzandiki.
Mosi,Kabla kesi haijaanza kusikilizwa IGP alitoa kauli nzito kwamba wanaushahidi mzito.Binafsi...
Kwa kukubali viongozi wa dini kumvaa na kwa uhakika ni kwa ushawishi wa askofu shoo rais samia ameonyesha udhaifu mkubwa.
Gharama kiasi gani zimepotea kuendesha kesi dhidi ya Mbowe? Kwanini asisubiri ahukumiwe.
Magufulists hakika tumeudhika sana kuona huyo gaidi aliyekua ameanza kampeni mbaya...
Upinzani wa Tanzania huwa una udhaifu mmoja mkubwa hasa baada ya uchaguzi mkuu. Kugeukana na kumpa credit CCM kipindi ambacho mshikamano unahitaji.
Tuchukue mifano mitatu mikubwa.
1. Mwaka 2015, baada ya uchaguzi mkuu Zanzibar matokeo ya urais na baraza la mawakilishi yalifutwa na tarehe ya...
Anasema hata kama una matatizo na Mh. Samia kuwa rais au yeye (Januari) kuwa waziri tutafute jambo jingine siyo mambo ya nje. Hii ndiyo rubbish ya Januari. Katika mjadala ule hakuna aliyemshambulia rais Samia. Januari anaanza kueleza underperfomance ya wizara anayoiongoza.
TANESCO iko chini...
Miaka elfu Kumi ijayo Dini za ukristo Na uislamu huenda zikawa zimetoweka kabisa Afrika( kwingineko duniani zinatoweka Kwa Kasi ya ajabu ) na watu watarejea kwenye Imani zao ZA asili ZA matambiko .
Kwa Sababu ukitafakari Kwa kina utagundua mafundisho mengi ya Dini hizi yapo kinyume Na uhalisia...
Niliwauliza swali hili wachungaji Na mashekhe wakaishia kunipa vitisho.
Mungu ametuumba ili tumuabudu.
1. Je tusipo muabudu atapungukiwa na kitu Gani?
JIBU SAHIHI NI KWAMBA HATOPUNGUKIWA NA KITU CHOCHOTE KILE KWA SABABU MUNGU HAITAJI KITU CHOCHOTE KILE KUMKAMILISHA.
2. Je tukimuabudu Mungu...
Aliyeandaa ile taarifa kama hakukurupuka basi ana agenda ya siri ama hakuwa timamu kiakili, tangu kuiandaa mpaka kuisoma na pengine sasa anajutia makosa ya wazi yanayoacha shaka kubwa!
Jamii, wazazi na ndugu wa marehemu wana hamu ya kujua ni nini hasa kilimaliza uhai wake! Baadhi wanatuhumu...
Mchambuzi Jeff Lea amesema udhaifu wa Mbao Fc, itapelekea Yanga ashinde goli nyingi hiyo kesho katika mchezo wa Azam Sports Federation.
Hivyo Yanga hawezi kuhonga pesa nje ya uwanja kwakuwa Mbao Fc ni dhaifu kwasasa. Aliongeza Jeff
Jeff alienda mbali zaidi akasema "Kwa Yanga hii ambayo ndani...
Tunajua mpo wengi ndani ya mjengo wa National Assembly. Maana ni karibu ya 98 % ya wabunge wote.
Japokuwa wengi mpo bungeni kimazabe mazabe baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 kuwa na maluelue lakini hili la spika kuweni na Uzalendo.
Bunge haliwezi kuwa na spika ambae ataona staha kuisimamia na...
Ndugu zangu;
Kila nchi inakopa,na kila mkopo lazima utumike kikamilifu.Hata hivyo hii mikopo ambayo tunaaminishwa kwamba imetumika vizuri ni changa la macho.
IKO hivi.Idadi ya watu Tanzania ni Chini ya Milioni 60.Idadi ya shule ni chini ya elfu 20.Trilioni moja ni sawa na Bilioni 1000.Kamata...
Wana JF.
Giza Nene lenye bundi limemfunika bwana Jobo, kakutana na mabundi wasiokuwa na huruma. Haya yote ni matokeo ya kulazimisha kila kitu kiende kigizagiza kwa kukanyaga katiba. Mabundi furaha huwa wanategemea baada ya giza totolo watapata nini, kelele za atoke zilishamili sana bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.