udhaifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gan star

    Benard Membe kuwa Kachero mbobezi ni ishara ya udhaifu mkubwa idara ya usalama wa Taifa

    Inashangaza sana, hii nchi inawezekana hata sehemu zile nyeti kutakuwa na kundi kubwa la vilaza thus why mambo yanaendelea kuharibika kila uchwao , Nimesikia mara nyingi Bwana Membe akiitwa Kachero Mbobezi , sitaki kupinga kuhusu hii sifa na yawezekana kweli alikuwa na sifa hyo , Ila nipende...
  2. GENTAMYCINE

    Daktari wa Saikolojia Charity na Mtangazaji wa Radio One Haji leo mmetuangusha Wanaume kwa Kuukiri huu Udhaifu

    Leo katika Kipindi Bora duniani cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One ambacho GENTAMYCINE ni Balozi wake wa Kujiteua Kilazima Daktari wa Saikolojia Genius Charity Xavier Johnson na Kaka yangu Mtangazaji Haji Kibwana wamesema Kauli iliyoniumiza na Kuhisi huenda na Wao sasa wameshakamatika...
  3. Bams

    Udhaifu Mkubwa Jeshi la Polisi ni kutomkamata Musiba kwa Makosa ya Jinai

    Kuua, kuhamasisha watu kuuawa, kutishia kuua au kushiriki kwa namna yoyote ile katika mauaji ni makosa ya jinai. Polisi hawastahili kusubiri kuambiwa wamkamate na kumfikisha mahakamani mtu anayefanya makosa haya. Kwa uwazi kabisa, Musiba, tena kwenye TV na kwa kupitia magazeti yake alisikika...
  4. NDUKI

    Moja ya Udhaifu wa Baraza la Sanaa Tanzania | TMA

    Habari zenu. Natumai mpo salama kabisa, nimeona nominees wa Tuzo za Muziki Tanzania kiukweli watu wengi wametilia mashaka jinsi walivyopatikana hao washindani. Hili jambo natumai kwa asilimia kubwa kabisa lina baraka zote kutoka kwa Baraza la Sanaa Tanzania mpaka ikafikiwa kutangazwa kwa jamii...
  5. Yoda

    Udhaifu wa Ripoti ya CAG 2021/2022

    Ripoti ya CAG inaongelea ufisadi na wizi wa mali za umma pamoja na hasara za mashirika kama ATCL au TTCL kwa ujumla wake. Inaonyesha ufisadi umefanyika katika shirika au ofisi fulani tu bila kuonyesha au kupendekeza mtu halisi anayepaswa kuwajibika au kuwajibishwa katika dai husika. Ripoti...
  6. Deogratias Mutungi

    Msitumie kivuli cha Rais kuficha udhaifu wenu, Bebeni msalaba wenyewe

    Salaam waungwana wa Jamii forum Baada ya ripoti ya CAG kubainisha madudu kwenye Wizara na taasisi mbalimbali za kiserikali, ikiwemo ubadhirifu wa mabilioni ya walipa Kodi maskini wa nchi hii, sasa ni dhahiri wapigaji wanaanza kutumia neno Rais kama taasisi kuhalalisha uhuni na ufisadi huu...
  7. D

    Ripoti ya CAG, CCM mnasaka laana kwa udi na uvumba, pona yenu ni udhaifu wa walamba asali

    Siku ya Jumatatu usiku kuamkia Jumanne Party Cocus ya CCM ilikutana Dodoma kuwekana sawa kabla ya vikao vya Bunge kuanza kama ilivyo kawaida. Kikao kiliratibiwa vizuri na Mbunge Rashidi Shangazi kama Katibu wa hiyo Cocus akisaidiwa na Mzee Kinana na Sekretariet ya chama. Hoja ya CAG ikachukua...
  8. mngony

    Udhaifu katika miundombinu yetu vipindi vya Mvua, aibu kwetu na ugeni huu mkubwa wa Makamu wa Rais Marekani

    Vipindi vya mvua ( Masika) Miaka yote kumekuwa kukionekana udhaifu wa miundominu yetu hasa barabara kuhimili hali hiyo ya hewa Sura za kujaa kwa maji barabara zetu, kupelekea foleni kubwa, vyombo vya moto kuharibika njiani na uharibifu vyombo hivyo na mali Hata miundombinu mipya kama vile...
  9. Allen Kilewella

    Pamoja na udhaifu wake wote ilionao, ni kwanini CCM inaamini itatawala Tanzania milele?

    Hicho chama kinahusika kwenye kila madudu yanayotokea kwenye nchi yetu. Hakuna jambo baya kwa Watanzania ambalo halijatokana na CCM kuwa madarakani. Lakini CCM wenyewe kwa kujiamini kabisa wanasema kwamba watatawala Tanzania milele? Haya ni maneno yanayoonesha CCM ina kiburi cha uzima kiasi...
  10. GENTAMYCINE

    Rais kusema hatoacha kufanya Mabadiliko katika Serikali yake ni Udhaifu usiovumilika na wenye Akili

    Na kwa wenye Akili tukiona Mabadiliko ya mara kwa mara tunathibitisha kuwa huenda kuna Watu wako mahala kwa bahati mbaya / Fluku. Ngoja tuendelee Kunywa Mtori taratibu na huenda Nyama tunazozitaka tutazikuta chini.
  11. Poppy Hatonn

    Kuchelewa kutangazwa Cabinet inaonyesha udhaifu wa Rais

    Kwa sababu unapokuwa na viongozi ambao hawajui hatima yao, ina maana hawawezi kufanya kazi, hawawezi kufanya planning two weeks ahead, wanakuwa katika hali ya hatihati. Kwahiyo, in effect, cabinet isipotangazwa, you are bringing the country to a standstill. Inaonyesha indecision on the part of...
  12. robinson crusoe

    Udhaifu wa TCU kusimamia elimu sasa kila mtu anajipa cheti cha PhD

    Jana, leo, watu wanajitangaza kupewa PhD. Bunge sasa limekuwa ni kama chuo cha kutafuta PhD. Yaonekana hata semina za ndani ya CCM hawapeani maonyo juu ya tabia mbaya. Kubwa zaidi ni udhaifu wa TCU. Yaani TCU wapo kwa ajili ya kusimamia udahili wa wanafunzi wa vyuo vikuu tu! Hawasimamii...
  13. Mung Chris

    Udhaifu wa miili ya viongozi wa dini wasio ruhusiwa kuoa je vinahusiana na magonjwa

    Wadau naomba mnijuze, je wadhifa wa mtu unaweza kumfanya achoke mapema na kuanza kujisikia kuumwa sana hadi kufikia kuachia kiti. utakuta kiongozi wa dini haruhusiwi kuoa ila anapofikia umri wa 80 bas anakuwa mgonjwa na magonjwa makubwa ambayo humfanya aachie ngazi kuendelea na majukumu. Sisi...
  14. Superbug

    Naomba kujua ubora na udhaifu wa gari za Toyota town hiace au panya buku

    Wana jf nataka ninunue hii gari naomba kuijua A-Z ubora wake madhaifu yake na bei zake. Asanteni.
  15. Carlos The Jackal

    Fahamu madhaifu makubwa ya wanawake, unayoweza kuyatumia kumpata bila nguvu kubwa!

    Huu ni ukweli ambao hata wao wanawake hawaupendi, in fact masuala kama haya huwa naandika kwenye magroup yangu yenye wanaume wenzangu tu. Hii kitu naandika hapa, ni kwa mwanamke yoyote yule hapa chini ya jua, bila kujalisha dini, rangi, elimu, kipato, race, ni chibonge, ni mwembamba, ni mrefu...
  16. kavulata

    Kuvaa Hijab ni dini au udhaifu wa wanaume?

    Binadamu wote wake kwa waume wanazaliwa wakiwa uchi kabisa, kuvaa nguo ipi na ivaliwe wapi na nani kwa sababu gani ni utashi tu wa wanajamii wenyewe. Bahati mbaya au nzuri Mwenyezi kuna maeneo na viungo vya mwili ambavyo alishavifunika yeye mwenyewe kwa sababu zake kwa kutumia nywele ndefu na...
  17. M

    Udhaifu wa misuli na maumivu mkono wa kushoto

    Jamani naomba msaada na ushauri kwenu, Mkono wa kusho unaniuma unakosa nguvu na mda mwingine unapata ganzi nakosa hamu ya kula na kichechefu Nimepima UTI na MARELIA vyote wamesema sina Naomba kujua inaweza kuwa tatizo gani au nitumie dawa gani inisaidie maana nateseka sana
  18. A

    DOKEZO Udhaifu katika Mamlaka ya Mapato (TRA) Songwe

    UDHAIFU KATIKA MAMALAKA YA MAPATO YA TRA SONGWE kumekuwa na utendaji KAZI m'bovu wa mamalaka ya ukusanyaji mapato ya TRA songwe Kwa kudai Kodi zaidi ya makadirio yaliyofanywa Kwa mteja. Ni zaidi ya miaka mitatu ya makadirio ya mapato Hali hii inajitokeza Kwa upande wangu Mfano hai ni hili...
  19. B

    Udhaifu katika kuishawishi dunia bomba la mafuta ghafi

    Wadau wa sekta ya mafuta, mradi huu mkubwa wa bomba la mafuta Hoima Uganda mpaka Tanga Tanzania serikali zetu hazikutekeleza mikakati ya kuifahamisha dunia manufaa yake. Tulijifungia na kuongea wenyewe kwa wenyewe kwa lugha zetu. Source : azam tv
  20. C

    SoC02 Udhaifu wa Bunge letu unatupa hasira Wananchi

    Bunge letu bado ni dhaifu katika maamuzi Leo naomba nizungumzie bunge hasa nikizungumzia kazi zinazohusu bunge na wajibu wa muhimili huu mkuu wa nchi katika ile mihimili mitatu mikuu nchini. Katika nchi zenye demokrasia kama zetu bunge ndio chombo kinachofanya maamuzi ya mwisho yote hiyo ni kwa...
Back
Top Bottom