ila aliyesema kuna kikao baina ya makolo na waamuzi amefanya udhalilishaji mkubwa usioonyeka wala kuvumilika wala kuchukuliwa kama utani!
By the way,nimefurahi kuona Ahmed ally yuko huru maana mpira ni mchezo,na michezo ni ushindani tu wa kuitafuta Furaha na sio UADUI!
ukweli ni kwamba kijana...
Wakuu,
Hivi ni kwamba wanawake hawapendani au imekaaje hii.
Huyu dada alienda saluni, ikatokea tu hana hela wakaamua kwenda kumnyoa na kumrekodi kabisa.
Dkt. Gwajima D tunaomba uitazame hii
Naibu Kurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Naibu Kamishna wa Polisi DCP. ZUBERI CHEMBERA amesema Makosa dhidi ya binadamu yamepungua ambapo yameripotiwa jumla ya makosa 1,116 katika Vituo vya Polisi Zanzibar katika kipindi cha Januari hadi Disemba, 2024 ikilinganishwa na makosa 1,280 ya...
SMZ IHAKIKISHE INASIMAMIA SHERIA YA UKATILI NA UNYANYASAJI (GENDER BASED VIOLENCE)
Ndugu wanahabari, awali ya yote nichukue fursa hii kumshukuru, Mwenyezi Mungu, kwa kutujaalia hali ya uzima wa afya, lakini pia niwashukuru nyinyi wanahabari, kwa kuitikia wito wetu wakuja katika mkutano huu leo...
Na Zurima Ramadhan, Zanzibar
Wadau wa kupinga vitendo vya udhalilishaji nchini wametakiwa kuzitumia siku 16 za kupinga ukatili kwa kuongeza nguvu ya mapambano dhidi ya vitendo hivyo.
Akifungua maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili katika ukumbi wa bima Mpirani wilaya ya mjini, Mjumbe wa...
TAARIFA KWA UMMA
SMZ ichukue hatua stahiki kwa maafisa wa MIMCA na KMKM, waliohusika na udhalilishaji Watembeza Utalii
Hivi karibuni kupitia Mitandao ya Kijamii tumewaona Askari wa Kikosi cha Kuzuia Magendo (KMKM) wakiwadhalilisha na kuwapiga watembeza Watalii katika Bahari ya Kisiwa cha Mnemba...
Kampeni ya Taifa ya Mtoto Ni Mboni Yangu imesogezwa mbele na kutarajiwa kuanza Desemba 14, 2024 Zanzibar chini ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, ikisimamiwa na Waziri Riziki Pembe Juma kwa kushirikiana na Taasisi ya Ndoto Ajira.
Lengo la Kampeni hii ni kuwalinda watoto...
Kwako Mwabukusi, TLS na wadau wote wanaoguswa na ukiukwaji wa haki za binadamu na udhalilishaji wa utu (dignity) wa mwanadamu nchini.
Hali za mahabusu na magereza hapa nchini ni ambazo hazifai kwa binadamu kuwekwa. Ni jambo ambalo kila mtu anajua kwamba mfumo wa mahabusu na magereza zetu ni ule...
Siku 36 baada ya mwandishi wa Nipashe kuwasilisha maswali Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kutaka kujua kwanini wakopeshaji mitandaoni wanadhalilisha wakopaji, taasisi hiyo imetengeneza mwongozo kwa watoa huduma ndogo za fedha wa daraja la pili, wanaotoa huduma za mikopo kidijitali.
Agosti 19 mwaka...
Kila siku kunatolewa taarifa za udhalilishaji baada ya kupungua ndio unaongezaka
Hukumu zinaongezwa lakini bado binaadamu hawashituki na hukumu hizo
Wadau wanaweka makongamano kujadili hili ili wajuwa tatizo ni nini bado wana majibu yale wanawake hawajistri,mporomoko wa maadili...
Kumekuwepo na wimbi au mwenendo wa wanasiasa au wanasheria au watu binafsi kujaribu kutumia Mahakama ndivyo sivyo.
Yaani kupeleka mashauri yenye kuichosha mahakama au kuitumia kama chombo cha kisiasa au chombo cha kukwepa uwajibikaji. Hivi sasa imekuwa ni fasheni kuitumia mahakama kudai fedha...
Baada ya ile video ya binti wa Yombo akibakwa na wanaume 5 kusambaa mitandaoni, watu walipaza sauti na wanaendelea kupaza sauti kudai haki itendeke.
Lakini, kuna video nyingine inasambaa mitandaoni na ilikuwepo kabla hata ya ile ya yule binti kusambaa, ikimuonesha jamaa mmoja akidhalilishwa kwa...
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimelaani vikali kitendo cha udhalilishaji na ukatili wa kijinsia kilichooneshwa kwenye video inayosambaa mitandaoni, ikimuonesha mwanamke akifanyiwa vitendo hivyo na kundi la wanaume zaidi ya wanne. TLS imelitaka Jeshi la Polisi kuchukua hatua za kisheria...
Nimeona clip, mkuu wa wilaya wa Ubungo anavyoangaika na vitu vya ovyo utafikiri wilaya yake ya Ubungo wananchi wake wanatatuliwa na matatizo lukuki zinazowakabili. Niliwahi kwenda sehemu moja inaitwa Kisopwa kupitia barabara ya Kifuru kwenda hadi Vibula aisee barabara ni mbovu sana unaweza sema...
Afande IGP Wambura, Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa mujibu wa Sheria, Kanuni ,taratibu na tamaduni mbalimbali zilizopo.
Iweje Leo watu waamue tu kuwaibia Watanzania wenzao na ninyi mliopewa dhamana ya ulinzi wao na mali zao mkae kimya?
Mfano, hawa wanajiita Mkopo Fasta walimpigia...
Wasalamu wakuu.
Kuna video naona inazunguka kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha mtu anayejiita baba levo akidhihaki na kuwafedhehesha walimu wetu wa Tanzania.
Maneno aliyozungumza kupitia chombo cha habari achofanyia kazi si maneno mazuri hata kama yana kweli au si kweli kwani hayana...
Hapo na Wakili wa Makonda anayetakiwa kuwatetea na wananchi kutokana na dhuluma mbalimbali akisoma hukumu ya kesi nadhani. Huyu bwana ndio angekuwa anahojiwa na makonda angeitwa hajasoma, anaongea vibaya, anabana pua kama anaongea na mke wake, mwishowe amtengeu, ila sababu yuko upande wake kila...
Inapotokea mfanyakazi wa taasisi fulani amefanya kosa mbele za umma na akaonywa mbele za umma pia, tunatarajia taasisi anayofanyia kazi kuwajibika, kwanza kwa kukubali kuwa kosa limefanywa, kuomba radhi kwa umma, na kuchukua hatua za kinidhamu kama kanuni za maadili zinavyowaelekeza kulingana na...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Marry Chatanda ameeleza kusikitishwa na kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alichokiita unyanyasaji na udhalilishaji wa watendaji wanawake kwenye maeneo yao ya kazi.
Chatanda ameyasema hayo leo Jumamosi, Mei 25, 2024 jijini Dodoma...