udhalilishaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    Je, wajua kumsikiliza mtoto wako ni silaha muhimu ya kumkinga dhidi ya ukatili na udhalilishaji?

    Kumsikiliza mtoto kunaaminika kuwa ndio ngao muhimu zaidi ya kumlinda mtoto. Wataalamu wa malezi wanatuambia kuwa mtoto anayesikilizwa huwa jasiri na muwazi kwa mzazi au mlezi kwa yote anayoyapitia yawe mema au mabaya kwani wanaamini kuwa watachukua hatua kwa ajili yao. Mara nyingi mtoto...
  2. Mzalendo_Mwandamizi

    Huu ni Udhalilishaji anaofanyiwa Rais Samia. Swali ni amelazimishwa au ameridhia?

    President of Tanzania, Samia Suluhu Hassan as "a special tour guide"
  3. A

    SoC01 Ushairi: Kulinda maadili na kupinga udhalilishaji

    Kutokana na kukithiri kwa udhalilishaji na kuyasahau maadili yetu . Nimeamua kuja na makala ya ushairi yashajihishayo kulinda maadili na kupinga udhalilishaji TUYALINDE MAADILI KUPINGA UDHALILISHAJI Bismillahi awali ninaandika shairi Naandika bila ukali maneno yangu mazuri Naituliza akili...
  4. Roving Journalist

    Hassan Said(26), Askari Magereza Ukonga, ashikiliwa kwa tuhuma za kubaka na kulawiti

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA WA KOSA LA UBAKAJI NA UDHALILISHAJI ACP Debora Magiligimba RPC Ilala Jeshi la Polisi Mkoa wa Ilala linamshikilia Said Hassan Said, 26, Askari Magereza, Mkazi wa Ukonga kwa tuhuma za kumbaka na kumlawiti msichana mwenye umri wa miaka 29...
  5. ACT Wazalendo

    Udhalilishaji wa Jeshi la Polisi kwa Wanawake haukubaliki

    TUNALAANI VITENDO VYA UDHALILISHAJI KIJINSIA VILIVYOFANYWA NA POLISI HANDENI, TANGA. Ngome ya Wanawake ya ACT Wazalendo imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya baadhi ya Askari wa Jeshi la Polisi Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga kutuhumiwa kuwafanyia vitendo vya udhalilishaji kijinsia wanawake...
  6. M

    Je, udhalilishaji huu wa Taaluma ya Uandishi wa Habari nchini unaofanywa na GSM ni kwamba MCT ya Mukajanga na TEF ya Balile wameubariki?

    Kama kwa muda mrefu ulikuwa ukijiuliza ni kwanini Waandishi wa Habari wengi pamoja na Vyombo vyao vya Habari nchini Tanzania vinaipamba sana Yanga SC kwa Gharama ya Kuichafua Simba SC huenda leo ukapata Majibu. Baada ya Mightier Mimi kuliona tatizo hili ambalo pia ni Kinyume na Taaluma, Misingi...
  7. N

    Kuifanyia hivi jezi ya timu pinzani siyo udhalilishaji?

    Huyu mtu toka ugomvi wake na Bumbuli kazi yake ni kudhalilisha wenzake na mwishowe yeye au watu wake huja kwa kasi kumtetea. *Vs Bumbuli: kisa kilikuwa lopolopo kufurahia basi la la Yanga kupasuka tairi la mbele ,Bumbuli hakuvumilia hali ile akamuwakia jamaa akaliaalia kwamba ananyayapaliwa...
  8. Komeo Lachuma

    Yanga tumefanyiwa udhalilishaji mkubwa sana. Naona hata aibu

    Tuisila Kisinda ana miaka 21 anakimbia sana, anakimbia kama Duma. Bado umri unalipa tunamuuza kwa Usd 150,000 na kubembeleza kuwa tugharamiwe Kambi Morocco sababu Simba wameenda huko? Chama mzee ana miaka 30 Simba wamemuuza kwa usd 500,000 hebu fikiria mwenyewe USD 500,000 Sisi Kisinda Usd...
  9. Wildlifer

    Huu ni Udhalilishaji wa ' Vyeo' vya watu..

    Eti nasisi tunasema tunaye wetu!! TanPol huu ni udharirishaji wa vyeo vya watu....mtakuja shitakiwa! HeISNot!
  10. Antoine ihai

    SoC01 Namna ya kupunguza vitendo vya uudhalilishaji wa watoto Zanzibar

    Zanzibar vitendo vya udhalilishaji Kwa wanawake na watoto vinazidi kushamiri Kila siku inayo itwa Leo hivyo basi watoto wa kizanzibari hususani wa wanafunzi wa shule wapo hatarini kupata mimba Kwa hujibu wa takwimu ni wanafunzi wa shule za msingi ndio wanaopatwa na majanga haya Namna ya...
  11. GENTAMYCINE

    Kwa udhalilishaji wa kila mara wa gazeti la Mwanaspoti dhidi ya Simba SC, nashauri wana Simba tununue Championi tu

    Nianze tu Kwanza kwa kutoa ONYO KALI kwa Wewe Mhariri Mkuu wa Gazeti la Michezo la 'Mwanaspoti' ambaye GENTAMYCINE nakujua ndani nje na ni mwana Yanga SC ' Kindakindaki ' kuwa usipoachana ' Kutudhalilisha ' Simba SC usije Kunilaumu. Kichwa cha Habari cha 'Mwanaspoti' la Leo Jumatano tarehe 16...
  12. Erythrocyte

    Kitendo cha Simba kutaka kumpima akili Mkude ni udhalilishaji

    Ni kweli Mkude anayo Makosa ya utovu wa nidhamu, lakini kitendo cha kumpeleka Muhimbili kumpima akili ni kumdhalilisha sana. Kwanini wasimuondoe tu ikiwa wanadhani haendi sawa na utaratibu wa Simba?
  13. S

    Picha: Huu ni uchekeshaji ama udhalilishaji?

    Hebu kila mtu aangalie picha hii hapa chini kisha atoe maoni yake bila hila wala inda. Huu ni uchekeshaji ama udhalilishaji?? UPDATES: Kupitia comments zenu nimegundua kuwa watu wanachanganya vituko vya mvuta bangi na uchekeshaji.
  14. Pascal Mayalla

    Kaimu Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma, Naomba Usiruhusu Udhalilishaji Huu Ndani ya Mahakama Zetu!.

    Wanabodi, Tanzania ni nchi yenye katiba inayoendeshwa kwa misingi ya haki, the rule of law kwa kufuata misingi ya sheria, taratibu na kanuni. Kwenye kila jambo linatekelezwa kwa mujibu wa sheria taratibu na kanuni, mahakamani ni mahali pa kutoa haki, tunaomba usiruhusu vyumba na maeneo ya...
Back
Top Bottom