Katika kipande cha amri inayodaiwa kutolewa na mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kivukoni iliyopo Kinondoni inaonesha Mwanamitindo Noel Ndale Mushi maarufu kama Noel ambaye ni mbunifu wa mavazi ya wasanii , Kelvin Maliki Ngao maarufu kama Kelvin Events na Mzungu Mmoja anauejulikana kama David...
Kitu kinachouma ni kuwa ingawa haijulikani katumbuliwa kwa Sababu gani lkn picha zake zimekuwa zikisambazwa labda kuhusishwa na hizi haki na komenti za dhihaka, matusi na udhalilishaji zikifata.
Sasa Kuna Vita kubwa Kati ya wale wanaotetea watu wenye kasoro za kimaumbile zinazohushisha homoni...
Kitu kinachouma Ni Kuwa ingawa haijulikani katumbuliwa kwa Sababu gani lkn picha zake zimekuwa zikisambazwa labda kuhusishwa na hizi haki na koment za ziaka, matusi na udhalilishaji zikifata.
Sasa Kuna Vita kubwa Kati ya wale wanaotetea watu wenye kasoro za kimaumbile zinazohushisha homoni za...
Manara ana makampuni anavyofanya nayo kazi, ambayo ni makampuni yanayoheshimika sana.
Sioni kwa nini aendelee kuwa balozi wa makampuni hayo kwa tabia na maneno machafu aliyotamka kwa Mkewe.
Natoa rai mikataba yake itenguliwe
Na kilichoniuma zaidi GENTAMYCINE ni kwamba yaani mlimchagua Mchezaji ambaye mnajua hana Nafasi Kikosini na ambaye mnamuacha Dirisha hili Dogo lijalo ili mumvalishe hili Bomu hata kama atapewa Adhabu haitokuwa na Athari kwa Kikosi kizima.
Na najua kuwa mlitumia Akili Kubwa ya Kumshawishi Beki (...
Hii video imepostiwa na kada wa CHADEMA James Mbowe ikimuonyesha kijana Chacha Heche akimfanyia kitendo cha kibaguzi mzee anayeonekana kavaa shati la chama pendwa CCM. Kupitia maandishi yake (caption), James Mbowe ameonekana akifurahia sana kitendo cha kipuuzi kilichofanywa na kijana Chacha bila...
Aisee nimepigwa na butwaa kule google ukitafuta "Utopolo fc" matokeo yanayoletwa ni Young African sports club!!
Kama Mimi nadanganya basi gugo na Wewe!!..
Pamoja na Kwamba Mimi ni Simba ila nimeumia sana maana Kila jina la utani la simba nikiweka halileti!!
Utopolo bhana!
Utafiti binafsi nilioufanya umegundua kuwa chanzo cha ongezeko la kasi ya matendo ya udhalilishaji katika jamii ni jamii yenyewe inajidhalilisha. Hii nikwasababu wanajamii wenyewe katika zama hizi wamekua wakijidhalilisha katika nyanja tofauti tofauti ikiwemo mavazi.
Jamii ya sasa imekua...
Mange Kimambi anaweza kuishtakiwa kwa kuvunja haki za binadamu ikwemo udhalilishaji, ndio maana Instagram waliondoa account yake kwa kosa la kudhalilisha binadamu.
Biashara ya kuuza video mtandaoni ni ngumu kwasababu Watumiaji wanaweza kuvujisha kwa kutumia simu nyingine kurekodi video hiyo...
Ni muda si mrefu nimeongea na ofisi yangu kitengo cha sheria kuwauliza ni kwa namna gani wanaweza kuwafungulia kesi CHADEMA ya udhalilishaji wa kijinsia.
Kingine nimewaagiza waangalie ni kosa gani kisheria wanalotenda kwa kuwaita Hawa wanawake Covid-19.
Nimetafuta pia wachunguzi huru kutoka...
Tulipokea taarifa jana kuwa Mahakama Kuu, chini ya Jaji John Mgeta, kuwa ameyatupilia mbali maombi ya wabunge 19, wakiongozwa na Halima Mdee, waliofungua shauri lao Katika Mahakama hiyo kupinga kuvuliwa uanachama wao na kilichokuwa chama chao cha Chadema.
Ikumbukwe kuwa wabunge hao mwezi...
Wanabodi,
Kati ya Taasisi zinazopaswa kufanya kazi kwa weledi mkubwa bila mihemuko ni Jeshi Letu la Polisi.
Kuna baadhi ya issues ambazo jeshi letu la polisi, zinazishughulikia sio issues za kipolisi, ni issues za kijamii na kifamilia.
Kwanza msikilize Kamanda Polisi Huyu
Kisha isome taarifa...
Mwanariadha wa Ujerumani amehukumiwa kifungo cha Jela miezi sita au kulipa faini ya Ksh. 70,000 (Tsh. Milioni 1.3) kutokana na kosa la vitisho na udhalilishaji wa mtandaoni Nchini Kenya.
Weiss Marvin Valentin, 25, alitenda kosa hilo mwaka 2022 kwa kutoa matamshi ya kukera na kutishia kusambaza...
Jumla ya kesi 42 za vitendo vya udhalilishaji zimeripotiwa katika Ofisi ya Naibu Mrajisi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Kisiwani Pemba kwa mwaka 2021.
Naibu Mrajisi, Hidaya Omar Khamis amesema bado tatizo la udhalilishaji kwa wanafunzi lipo na ni changamoto kubwa.
Mrajisi huyo alieleza...
Wakuu natumaini mko poa. Leo naandika nikiwa na hasira nyingi dhidi ya mtu anayeitwa Hakika Ruben.
Huyu ni mtu maarufu mitandaoni kwa clips zake za vichekesho.
Kwa upande wangu nampongeza kwa kuendeleza kipaji chake na ninampongeza zaidi kama inamletea chochote mezani.
Binafsi sivutiwi na...
Kimsingi sisi wazazi ndio waendeshaji wakuu wa shule hii kutokana na ada pamoja na michango mingine tunayolipa, pamoja na mambo mengine wazazi hatufurahishwi na vitendo vya udhalilishaji na dhulma anazofanya mkuu wa taasisi hii ambaye ni mtawa wa kanisa katoliki, kanisa lenye reputation ya...
Udhalilishaji kwa njia ya maneno unatokea pale ambapo Mzazi/Mlezi au Mtu aliye karibu na Mtoto anapotumia maneno yenye kumuumiza Mtoto Kihisia kwa nia ya kumuonya au kumdhibiti
Baadhi ya maneno yanayoweza kumdhalilisha Mtoto kwa kumuumiza hisia zake ni; Kumkemea au kumkaripia mbele ya hadhara...
Hivi karibuni, shirika maarufu la uchunguzi wa maoni la Afrika la Afrobarometer limetoa ripoti ya uchunguzi wa maoni, ikionesha kuwa ushawishi wa China barani Afrika unashika nafasi ya kwanza duniani, mbele ya Marekani, mashirika ya kikanda, mashirika ya Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika. Haya...
Wandugu, kuna andiko moja nimelisoma la Tito Magoti, nimelielewa na to declare interest, nilishawahi kufanya kazi kwenye utumishi wa uma kwenye hizo coercive organs....jambo moja la muhimu sana kama nchi tunatakiwa kufika mwisho na lisifanyike tena kwasababu tumelirithi tangu enzi wa ukoloni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.