Tuisila Kisinda ana miaka 21 anakimbia sana, anakimbia kama Duma. Bado umri unalipa tunamuuza kwa Usd 150,000 na kubembeleza kuwa tugharamiwe Kambi Morocco sababu Simba wameenda huko?
Chama mzee ana miaka 30 Simba wamemuuza kwa usd 500,000 hebu fikiria mwenyewe USD 500,000 Sisi Kisinda Usd...