Miadhara ya sasa imekuwa kidogo ambayo inajenga hoja na watu wakatoka wanashirikiana bila kugombana.
Ila miaka kuanzia 90s ilikuwa na ukali sana yani hakuna neno ambalo tujalisikia kwa kukashifu.
Ilifikia mpaka serikali ilibidi kufungia kutokana na hatari iliyokuwa ina pandikizwa.
Na kumbuka...
Leo acha nitoe ya moyoni hi kitu sisawa,. Aisee nimezaliw kwenye uisilamu na nimekulia kwenye uislamu na mpaka hivi Sasa nipo na dini yangu,ila kunajambo linanikwaza sana kuhusu Hawa viongozi wetu aisee
( 1) Hawa viongozi wangu hawawezi kujenga...
Kuhusu ukabila hilo halipingiki kweli hii nchi ina ukabila sana bila kupepesa macho lazima ukweli usemwe hili ni jukwaa huru japo sio kwa kiwango hicho ila kwa ground ukabila upo sana na hivi kuna mtu ana dharau kumshinda Mtanzania? Ila wanaishi kwa unafiki sana kwenye kiza cha uoga na unafiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.