Ukweli usemwe sisi waislamu ndo tunaeneza vita ya udini Tanzania

Mbondijr

Senior Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
184
Reaction score
355
Leo acha nitoe ya moyoni hi kitu sisawa,. Aisee nimezaliw kwenye uisilamu na nimekulia kwenye uislamu na mpaka hivi Sasa nipo na dini yangu,ila kunajambo linanikwaza sana kuhusu Hawa viongozi wetu aisee

( 1) Hawa viongozi wangu hawawezi kujenga hoja zao bila kutaja upande wa pili ,yani lazima

( 2) Hawawezi kujielezea hisia zao bila vitisho(bakozi) mara tutawakata vichwa.

(3) Hawajui wanachokipigania aisee ni aibu sana na wanaivua nguo dini yetu kutwa kucha wanahubiri vita.
(4) Hongera kwa wakatoliki kwa kuhubiri haki ,nakuisimamia.

(5) Tukiitwa kobazi tusichukie

Nimemaliza
 
Ni eidha hawana hoja, au wanatumia nguvu kubwa kulinda ambacho hakilindiki.

Ajabu zaidi ni wao kujijibisha kwa TEC wakati hakuna mahali wametajwa na ajabu wanaita press kabisa kuijibu TEC ambayo haijawataja popote walau hata kuwagusia.

Nadhani wale wanaoongea ni viongozi ambao ni rahisi kuwamanupulate. Tunaweza kuwabeza kua wamepewa tende, halua na ubwabwa kumbe walaa ni kwamba wamelishwa neno, wakapigishwa somo na limewakaa na kuona upande waliopo ni sahihi zaidi.
 
Mashehe na viongozi wetu wamekuwa hovyo sana. Watu wanaoumizwa na kuuawa ni wa dini zote. Ali Kibao alitekwa na kupotezwa mchana kweupe, tukachagua kuwa kimya sijui kwa sababu gani. Leo maelfu wameuawa na tuko kimya. Wenzetu wanapaza sauti kwa ajili ya kila damu iliyomwagwa bila hatia lakini sisi tunaonekana kufurahia mauaji. Huku ni kukengeuka. Tujitazame upya.
 
shida ubongo wa mnaowapa wawe viongozi mashee wengi wapo hivi
FB_IMG_1764758534664.jpg
 
Leo acha nitoe ya moyoni hi kitu sisawa,. Aisee nimezaliw kwenye uisilamu na nimekulia kwenye uislamu na mpaka hivi Sasa nipo na dini yangu,ila kunajambo linanikwaza sana kuhusu Hawa viongozi wetu aisee( 1) Hawa viongozi wangu hawawezi kujenga hoja zao bila kutaja upande wa pili ,yani lazima( 2) Hawawezi kujielezea hisia zao bila vitisho(bakozi) mara tutawakata vichwa. (3)hawajui wanachokipigania aisee ni aibu sana na wanaivua nguo dini yetu kutwa kucha wanahubiri vita. (4)Hongera kwa wakatoliki kwa kuhubiri haki ,nakuisimamia. (5)tukiitwa kobazi tusichukie nimemaliza
Lakini mm sizani kama hao wanao tamka hayo maneno ni waislam, kwa sababu waisilami halisi ni wapenda haki, nadiriki kusema hao sio ni magenge ya kuhuni tu.
 
Leo acha nitoe ya moyoni hi kitu sisawa,. Aisee nimezaliw kwenye uisilamu na nimekulia kwenye uislamu na mpaka hivi Sasa nipo na dini yangu,ila kunajambo linanikwaza sana kuhusu Hawa viongozi wetu aisee( 1) Hawa viongozi wangu hawawezi kujenga hoja zao bila kutaja upande wa pili ,yani lazima( 2) Hawawezi kujielezea hisia zao bila vitisho(bakozi) mara tutawakata vichwa. (3)hawajui wanachokipigania aisee ni aibu sana na wanaivua nguo dini yetu kutwa kucha wanahubiri vita. (4)Hongera kwa wakatoliki kwa kuhubiri haki ,nakuisimamia. (5)tukiitwa kobazi tusichukie nimemaliza
Part one :
Sio kweli tatizo hamfuatilii mambo kwa umakini na uadilifu bali unaendeshwa na mihemko.

Nani hapa bongo mwenye mamlaka ya kuusemea Uislamu ?

Aliyesema atakata watu vichwa ana nafasi gani katika uongozi wa Uislamu nchini na mamlaka yake ?

Je , kila mtu akivaa kofia na kusema yeye Sheikh akaitisha press tutamzingatia kama msemaji wa Waislamu ?
 
Kama hana nafasi yoyote kwann asikemewe nahao ambao unadai ndo wenye mamlaka ya kuusemea

Part two :

1.
MaSheikh wapo sawa kupinga Maandamano ya kihuni ambayo madhara yake ni makubwa mno na sioni ubaya kupinga Maandamano ya namna hiyo

2. Wamekataa unafiki wa Wakatoliki kuhubiri haki wakati Waislamu wakipigania haki zao na kuonewa hawasemi kitu Wala kusapoti mfano ;
I)Mauaji ya Waislamu mwembe chai ,
ii) Mauaji ya Pemba
iii ) MaSheikh kuonewana kesi za ugaidi , bila kufungukiwa mashtaka
iii) Mahakama za kadhi
iv) nk
Hapo Wakatoliki watetezi wa haki walikuwa wapi wakati Waislamu wanaonewa na kudai haki zao ?

Zipo clip kiongozi wa kikiristo akitaka Rais Samia asivae hijabu , huo sio uchokozi wa kidini ?
 
Yaani unaanza kumsikiliza shekhe vizuri kabisa inafika muda ya kutoa point yake yeye anaanza kutukana na kutaka kupigana

Badala ya kujibu hoja Kwa Nini watu wanatekwa na kuuwawa yeye anaanza matusi halafu unaambiwa huyo ndio kiongozi wa Islam wanatia sana aibu waislam
 
Leo acha nitoe ya moyoni hi kitu sisawa,. Aisee nimezaliw kwenye uisilamu na nimekulia kwenye uislamu na mpaka hivi Sasa nipo na dini yangu,ila kunajambo linanikwaza sana kuhusu Hawa viongozi wetu aisee( 1) Hawa viongozi wangu hawawezi kujenga hoja zao bila kutaja upande wa pili ,yani lazima( 2) Hawawezi kujielezea hisia zao bila vitisho(bakozi) mara tutawakata vichwa. (3)hawajui wanachokipigania aisee ni aibu sana na wanaivua nguo dini yetu kutwa kucha wanahubiri vita. (4)Hongera kwa wakatoliki kwa kuhubiri haki ,nakuisimamia. (5)tukiitwa kobazi tusichukie nimemaliza
Ni kweli kaka lakini hata nguvu ya kupigana pia hatuna, we mtu ulale na wanawake 4 halafu uwe na nguvu za kupigana kweli? Nguvu yetu kama ya mademu iko mdomoni tu.
 
Back
Top Bottom