Ukweli usemwe sisi waislamu ndo tunaeneza vita ya udini Tanzania

Part two :

1.
MaSheikh wapo sawa kupinga Maandamano ya kihuni ambayo madhara yake ni makubwa mno na sioni ubaya kupinga Maandamano ya namna hiyo

2. Wamekataa unafiki wa Wakatoliki kuhubiri haki wakati Waislamu wakipigania haki zao na kuonewa hawasemi kitu Wala kusapoti mfano ;
I)Mauaji ya Waislamu mwembe chai ,
ii) Mauaji ya Pemba
iii ) MaSheikh kuonewana kesi za ugaidi , bila kufungukiwa mashtaka
iii) Mahakama za kadhi
iv) nk
Hapo Wakatoliki watetezi wa haki walikuwa wapi wakati Waislamu wanaonewa na kudai haki zao ?

Zipo clip kiongozi wa kikiristo akitaka Rais Samia asivae hijabu , huo sio uchokozi wa kidini ?
Kwani waliokufa kwenye maandamo ni wa kristo peke yake? ... Hata waislam pia walikufa Sasa unasemaje maaskofu hawatetei waislam?? Tuchambue mambo Kwa ueledi kidogo sio hisia
 
Sema njaa njaa nyingi wanatumika na watu wanaotaka kubaki madarakani no matter what!? hapo mlengwa si anajulikana ilikuwa vijana dhidi ya watawala wanadai haki, sasa vita imebadilishwa na watawala ili iwe kati ya wakristo na waislam wenyewe wabaki salama, waendelee kutubagaza na kutubananga, wakati utajiri wetu tuliopewa na mungu unatuacha siku hadi siku, sisi tunakomaa na dini ambazo zimekuja kwa mashua.
 
Kwani waliokufa kwenye maandamo ni wa kristo peke yake? ... Hata waislam pia walikufa Sasa unasemaje maaskofu hawatetei waislam?? Tuchambue mambo Kwa ueledi kidogo sio hisia
Waislamu wakikufa katika maandamano kwa kutoka ni Waislamu wajinga .

Hoja kama wao wapambania haki kwa Nini wachague na kupuuza haki zingine za makundi mengine
 
Leo acha nitoe ya moyoni hi kitu sisawa,. Aisee nimezaliw kwenye uisilamu na nimekulia kwenye uislamu na mpaka hivi Sasa nipo na dini yangu,ila kunajambo linanikwaza sana kuhusu Hawa viongozi wetu aisee( 1) Hawa viongozi wangu hawawezi kujenga hoja zao bila kutaja upande wa pili ,yani lazima( 2) Hawawezi kujielezea hisia zao bila vitisho(bakozi) mara tutawakata vichwa. (3)hawajui wanachokipigania aisee ni aibu sana na wanaivua nguo dini yetu kutwa kucha wanahubiri vita. (4)Hongera kwa wakatoliki kwa kuhubiri haki ,nakuisimamia. (5)tukiitwa kobazi tusichukie nimemaliza
Wale mabwabwa siyo waislamu wa kweli. Watakuwa wamelipwa pesa ili kutumikia na kulinda uovu wa watawala watekaji, wauaji, mafisadi, wahuni
 
Watu wamepotelewa na ndugu zao wakienda police hawana majibu Leo wanaamua kupaza sauti Kwa njia ya maandamano unawaita wajinga??
Ndio , maandamano ya fujo na vurugu hakuna uhakika wa usalama wako unaenda vipi .

Hata Leo Tanzania ionewe na Marekani, tunaweza kutoa tamko la Vita dhidi ya Marekani mwenye kila silaha ?

Unaendaje road na jiwe halafu mwenzako ana bunduki kwa kazi ya Moja ya kuua bila huruma kama sio ujinga ni kitu gani ?
 
Part two :

1.
MaSheikh wapo sawa kupinga Maandamano ya kihuni ambayo madhara yake ni makubwa mno na sioni ubaya kupinga Maandamano ya namna hiyo

2. Wamekataa unafiki wa Wakatoliki kuhubiri haki wakati Waislamu wakipigania haki zao na kuonewa hawasemi kitu Wala kusapoti mfano ;
I)Mauaji ya Waislamu mwembe chai ,
ii) Mauaji ya Pemba
iii ) MaSheikh kuonewana kesi za ugaidi , bila kufungukiwa mashtaka
iii) Mahakama za kadhi
iv) nk
Hapo Wakatoliki watetezi wa haki walikuwa wapi wakati Waislamu wanaonewa na kudai haki zao ?

Zipo clip kiongozi wa kikiristo akitaka Rais Samia asivae hijabu , huo sio uchokozi wa kidini ?
Mashehe wetu tungewaelewankama wangekemea chanzo cha haya maandamano ambayo ni hasira ya watu kutokana na matendo ya utekaji na mauaji holela, uchaguzi wa ulaghai na wizi wa kura, kunyanyasa wapinzani.

Kusema wakatoliki hawakupaza sauti kipindi waislam wanauliwa, kwani padre ndo ana bunduki, kama waislam waliuliwa na Serikali ambayo wakatoliki wanaipinga Kwa maovu Yao , huu ungekuwa wasaa wa waislam kuunga nguvu kuipinga serikali iliyo wauwawa wenzao na sio kuitetea

Kutetea uwepo wa Mahakama ya kadhi, wakatoliki sio watoa ruhusa nchini wamekuwepo Marais waislam Mwinyi katawala miaka 10, Kikwete miaka 10, Samia miaka 6 Bado walikuwepo viongozi wakuu waislam kama PM, Majaji na Spika mbona hiyo mahakama ya kadhi haikutolewa?

Mahakama ya kadhi haiwezekani, hii sio Islamic state, laZima mambo yote ya haki yatatuliwe kwenye mhimili wa Mahakama pekee

Itakuwaje kila dini ikiibuka na mahakama yake,?
 
Leo acha nitoe ya moyoni hi kitu sisawa,. Aisee nimezaliw kwenye uisilamu na nimekulia kwenye uislamu na mpaka hivi Sasa nipo na dini yangu,ila kunajambo linanikwaza sana kuhusu Hawa viongozi wetu aisee( 1) Hawa viongozi wangu hawawezi kujenga hoja zao bila kutaja upande wa pili ,yani lazima( 2) Hawawezi kujielezea hisia zao bila vitisho(bakozi) mara tutawakata vichwa. (3)hawajui wanachokipigania aisee ni aibu sana na wanaivua nguo dini yetu kutwa kucha wanahubiri vita. (4)Hongera kwa wakatoliki kwa kuhubiri haki ,nakuisimamia. (5)tukiitwa kobazi tusichukie nimemaliza
Sasa si uende huko wewe kenge ukiona mvua unakimbilia kwenye maji!

﴿وَلَن تَرْضَىٰ عَنكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُم بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِن وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ﴾
[ البقرة: 120]

Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu​

Sijui kwa nini waislam hupenda kujinasibu na uislam wao kitu ambacho huwezi kusikia wakristo wakijinasibu kwa ukristo wao. Wakristo wana upendo na watu wote hata wasiokuwa wakristo huwatetea kwa ujumla kama jamii nzima moja. Viongozi wa kiislam ni wabaguzi na wabinafsi. Watasemaje sisi waislam? Je wale ni kina nani? Wakristo huthamini kila mtu hata kama si mkristo, ingia kwenye ibada zao ujionee upendo wa ajabu!
 
Leo acha nitoe ya moyoni hi kitu sisawa,. Aisee nimezaliw kwenye uisilamu na nimekulia kwenye uislamu na mpaka hivi Sasa nipo na dini yangu,ila kunajambo linanikwaza sana kuhusu Hawa viongozi wetu aisee

Wewe muislamu muongo kiasi hiki ? Huenda wewe sio muislamu kabisa.
( 1) Hawa viongozi wangu hawawezi kujenga hoja zao bila kutaja upande wa pili ,yani lazima
Umewahi kujiuliza kwanini wanawataja sana hao TEC ? Usione watu ni wajinga, wanawataja sababu imebidi wawataje, hao TEC ndio wachochezi wakubwa sana juu ya hii kadhia, sababu TEC hawawakanyi raia wanapo fanya uovu, huu ni uzandiki na sio mafundisho ya dini. Sasa kwanini hawasiamii misingi ya dini au hawafanyi kama dini yao unavyo wafundisha.
( 2) Hawawezi kujielezea hisia zao bila vitisho(bakozi) mara tutawakata vichwa.

Ndio maana nasema hivi wewe huenda sio Muislamu, sababu hakuna Sheikh aliesema hivyo, huenda unabeba beba tu vitu mitandaoni pasi na kusikiliza mwenyewe, yule hakusema maneno hayo bali alisema mtatuka tumekatana vichwa.

Hata kama wewe sio Muislamu usiwadhulumu Waislamu kwa chuki zako. Wafanyie uadilifu.
(3) Hawajui wanachokipigania aisee ni aibu sana na wanaivua nguo dini yetu kutwa kucha wanahubiri vita.

Wapi wamehubiri vita ? Wakati Kila siku wanahubiri amani.

Nasisitiza wewe sio Muislamu, sababu hufanyi uadilifu.
(4) Hongera kwa wakatoliki kwa kuhubiri haki ,nakuisimamia.

Haki gani Wakatoliki wanao ihubiri ? Na kusimama nayo ?

Shida yenu Wakristo ni vichwa mchunga sana, yaani kuhoji mambo huwa hamuhoji, akishasema kiongozi wenu basi hata kufikiria hamfikirii.
(5) Tukiitwa kobazi tusichukie
Tuiteni tu kobazi hatukasiriki wala nini, sababu hata Yesu alivaa Kobazi.

Halafu suala la kuitwa sisi kobazi ni jambo dogo sana, wala halibadilishi chochote.
 
Waislamu wenzangu wanauzi sana Dunia yenyewe imekaa kwa kuviziana ndani tena tunataka kuvunja ule muingiliano alioutengeneza Mwalimu JK Nyerere kwa nguvu zote nadhani tuna shida sehemu..
 
Sasa si uende huko wewe kenge ukiona mvua unakimbilia kwenye maji!

﴿وَلَن تَرْضَىٰ عَنكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُم بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِن وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ﴾
[ البقرة: 120]

Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu​

Wewe muislamu muongo kiasi hiki ? Huenda wewe sio muislamu kabisa.

Umewahi kujiuliza kwanini wanawataja sana hao TEC ? Usione watu ni wajinga, wanawataja sababu imebidi wawataje, hao TEC ndio wachochezi wakubwa sana juu ya hii kadhia, sababu TEC hawawakanyi raia wanapo fanya uovu, huu ni uzandiki na sio mafundisho ya dini. Sasa kwanini hawasiamii misingi ya dini au hawafanyi kama dini yao unavyo wafundisha.

Ndio maana nasema hivi wewe huenda sio Muislamu, sababu hakuna Sheikh aliesema hivyo, huenda unabeba beba tu vitu mitandaoni pasi na kusikiliza mwenyewe, yule hakusema maneno hayo bali alisema mtatuka tumekatana vichwa.

Hata kama wewe sio Muislamu usiwadhulumu Waislamu kwa chuki zako. Wafanyie uadilifu.

Wapi wamehubiri vita ? Wakati Kila siku wanahubiri amani.

Nasisitiza wewe sio Muislamu, sababu hufanyi uadilifu.

Haki gani Wakatoliki wanao ihubiri ? Na kusimama nayo ?

Shida yenu Wakristo ni vichwa mchunga sana, yaani kuhoji mambo huwa hamuhoji, akishasema kiongozi wenu basi hata kufikiria hamfikirii.

Tuiteni tu kobazi hatukasiriki wala nini, sababu hata Yesu alivaa Kobazi.

Halafu suala la kuitwa sisi kobazi ni jambo dogo sana, wala halibadilishi chochote.
HAMNA AKILI
 
Back
Top Bottom