Leo acha nitoe ya moyoni hi kitu sisawa,. Aisee nimezaliw kwenye uisilamu na nimekulia kwenye uislamu na mpaka hivi Sasa nipo na dini yangu,ila kunajambo linanikwaza sana kuhusu Hawa viongozi wetu aisee
( 1) Hawa viongozi wangu hawawezi kujenga hoja zao bila kutaja upande wa pili ,yani lazima
( 2) Hawawezi kujielezea hisia zao bila vitisho(bakozi) mara tutawakata vichwa.
(3) Hawajui wanachokipigania aisee ni aibu sana na wanaivua nguo dini yetu kutwa kucha wanahubiri vita.
(4) Hongera kwa wakatoliki kwa kuhubiri haki ,nakuisimamia.
(5) Tukiitwa kobazi tusichukie
Nimemaliza