Ukweli usemwe sisi waislamu ndo tunaeneza vita ya udini Tanzania

Mkjuu unamaanisha wanaotekwa na kuuwawa wanastahili. Kwa nini sasa kuna mahakama? Kwa nn mnaapa jkwa vitabu vya dini kulinda jkatiba ikiwa katiba inataka watu wafikishwe mahakamani?

Uwepo wa mahakama ni katika makosa ya kiufundi yaliyo fanyika katika zama hizi, ndio maana uovu na ujinga haushi.

Kupitia hizo mahakama zenu, waovu wametetewa na wenye haki wamedhulumiwa.

Hilo la kuapa kupitia vitabu vya dini kwetu sisi Waislamu ni jambo baya, bali Demokrasia kadhalika kwetu sisi ni haramu na ni ushetani.
 
Mkuu hii ni serikali ambayo haina dini, haifuati ukristo unasemaje au uislamu unasemaje, bali inafuata katiba. Katiba ndio inasema mwenye kosa atafikishwa na kuhukumiwa na mahakama.
 
Hujaelewa nilicho kiandika.

Kwa akili yako kila kichotungwa na serikali ni sahihi au kilichomo kwenye katiba ni sahihi ?

Sasa sisi wengine tuko tofauti na nyinyi, sisi wengine maisha yetu yote tu autafuta ukweli na usahihi yaani kupatia.
 
Part two :

1.
MaSheikh wapo sawa kupinga Maandamano ya kihuni ambayo madhara yake ni makubwa mno na sioni ubaya kupinga Maandamano ya namna hiyo

2. Wamekataa unafiki wa Wakatoliki kuhubiri haki wakati Waislamu wakipigania haki zao na kuonewa hawasemi kitu Wala kusapoti mfano ;
I)Mauaji ya Waislamu mwembe chai ,
ii) Mauaji ya Pemba
iii ) MaSheikh kuonewana kesi za ugaidi , bila kufungukiwa mashtaka
iii) Mahakama za kadhi
iv) nk
Hapo Wakatoliki watetezi wa haki walikuwa wapi wakati Waislamu wanaonewa na kudai haki zao ?

Zipo clip kiongozi wa kikiristo akitaka Rais Samia asivae hijabu , huo sio uchokozi wa kidini ?
Kuanzia wakati wa JK mliruhusiwa kuanzisha Mahakama za kadhi kwa taratibu zenu na zisiwe sehemu ya taasisi za Serikali. Wakristu, wahindu na hata wapagani hawawezi kulipa kodi za kwenda kulipa mashehe. Zaidi katiba inasema Tanzania haina dini, hivyo dini zibakie kwenye madhehebu husika
 
Hujaelewa nilicho kiandika.

Kwa akili yako kila kichotungwa na serikali ni sahihi au kilichomo kwenye katiba ni sahihi ?

Sasa sisi wengine tuko tofauti na nyinyi, sisi wengine maisha yetu yote tu autafuta ukweli na usahihi yaani kupatia.
Kuna sehemu hatujaelewana. Labda ngoja nikuulize hivi: adhabu ya mtu aliyefanya kosa ndani ya nchi hii ni kitekwa na kuuwawa?
 
Kingine ainisha aliyefanya kosa gani sababu makosa yako mengine na yana uzito wake.

Kama hilo jambo linafanywa na serikali kwa maslahi mapana ni sahihi kabisa.
 
Wewe ndio useme ni makosa gani ambayo mtu akifanya anapaswa kutekwa na kuuwawa.
 
Unaelewa maana ya neno msingi ?

Tuambie maana ya msingi, usije ukawa unajadili jambo ambalo hulijui.
Nimesema A <> B kwa kufafanua

Wewe unasema A ni msingi wa B bila kufafanua. As if its an established fact.

Kisha unataka nikueleze maana ya msingi.

Yaishe.
 
Sasa kama jambo hujui au hujui maana ya neno fulani, kwanini unajadili na kupinga ?
 
Yote haya unakwepa kufafanua

Woe is me.

Sawa basi uongozi wa jamhuri unafanana na uongozi wa familia, na mzazi hakosei hata akiua mwanawe ni sawa
 
Back
Top Bottom