HahahaWavaa makobazi
AllahuakbarTakbir
Unaelewa maana ya neno msingi ?Umeiterate kuwa msingi wa uongozi wa serikali ni familia, kitu ambacho hakijibu hoja yangu ya kwamba jamhuri sio familia na havipaswi kulinganishwa.
Yani nimekuambia havifanani, na usivilinganishe, wewe unajibu moja ni msingi wa mwenzie, bila ya kuonyesha kwamba vimefanana vipi kiasi tufikie kuvilinganisha.
Wewe kusema moja ni msingi wa mwenzie haiifanyi kuwa absolute truth, lete absolute truth about similaritis between republic and family ili kutengua hoja yangu. Otherwise it still stands.
Sasa si unipe hata mfano wa tamko hata moja linalohamasisha hizo vurugu? Mbona unaongea kiujumla jumla tu Ngumbaru wewe? Nipe hata mfano wa Kemeo moja lililowahasa watu wafanye hizo mnazoiita vurugu, kabla sijakuweka kwenye kundi la wajinga pro-max zaidi ya wale mashekh wenu walioshia dara la pili.
Ni wapi TEC wameonesha unafiki? Eti waongelee haki, hivi unajua hata maana ya neno "Haki" kweli wewe?
Ujinga mwingine mlio nao ni huu, yaani mnajengea hoja maneno ambayo huenda hukuyasikia. Hakuna Sheikh aliesema watachinja watu, nenda kamsikilize tena, alisema mtakuta tumechinjana. Msiwazulie watu uongo kwa ujinga wenu na chuki zenu za kijinga.Au hao mashekh wenu waliosema watachinja watu ndio wanaongelea haki?
Na wakati ni wanafiki wakubwa na hakuna kingine kinachowasukuma kuisapoti hii serikali zaidi ya njaa na samia kuwa muislamu mwenzao.
Unauliza TEC ni kina nani? TEC ni taasisi kongwe hapa nchini kuliko hata hiyo CCM na imekuwa ni platform ya kuisemea jamii kwa kuimbusha serikali kuhusu uwajibikaji na kutenda haki bila kujali itikadi za kisiasa wala kidini za watu inaowasemea.
Sasa si unipe hata mfano wa tamko hata moja linalohamasisha hizo vurugu? Mbona unaongea kiujumla jumla tu Ngumbaru wewe? Nipe hata mfano wa Kemeo moja lililowahasa watu wafanye hizo mnazoiita vurugu, kabla sijakuweka kwenye kundi la wajinga pro-max zaidi ya wale mashekh wenu walioshia dara la pili.
Ni wapi TEC wameonesha unafiki? Eti waongelee haki, hivi unajua hata maana ya neno "Haki" kweli wewe?
Ujinga mwingine mlio nao ni huu, yaani mnajengea hoja maneno ambayo huenda hukuyasikia. Hakuna Sheikh aliesema watachinja watu, nenda kamsikilize tena, alisema mtakuta tumechinjana. Msiwazulie watu uongo kwa ujinga wenu na chuki zenu za kijinga.Au hao mashekh wenu waliosema watachinja watu ndio wanaongelea haki?
Na wakati ni wanafiki wakubwa na hakuna kingine kinachowasukuma kuisapoti hii serikali zaidi ya njaa na samia kuwa muislamu mwenzao.
Unauliza TEC ni kina nani? TEC ni taasisi kongwe hapa nchini kuliko hata hiyo CCM na imekuwa ni platform ya kuisemea jamii kwa kuimbusha serikali kuhusu uwajibikaji na kutenda haki bila kujali itikadi za kisiasa wala kidini za watu inaowasemea.
Hao TEC Wana Mamlaka gani ya kuikosoa serikali hadharani tena kwa namna ya uchochezi ?Labda wewe unijuze hao BAKWA wana mamlaka gani ya kuwafokea TEC mpaka kufikia hatua ya kuwatishia maisha?
Bakwata wanapinga dhulma inayoenezwa na TEC. Wala hawaisemei serikali.Kwani hii serikali haina wanasemaji wake mpaka nyie ndio mnajipa jukumu la kuisemea na kutetea ushetani wake? Wapumbav kweli nyie na mtu wenu hana maisha marefu hapo tuko hapa.
Dhulma gani?Bakwata wanapinga dhulma inayoenezwa na TEC. Wala hawaisemei serikali.
Kwahiyo imeamua kuikemea serikali, na kuacha kuwakemea raia waovu na wanaharakati wanao vunja amani. ?TEC wamechagua kukemea ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na serikali ya shetani samia, sio mbaya na nyie BAKWATA na waislam kwa ujumla mkachagua kukemea hizo mnazoita vurugu na wala hamna mamlaka ya kuwapangia TEC nini cha kusema, kwanza wao wanaitaka serikali itende haki maana serikali hii kutokutenda haki ndio chanzo cha hizo mnazoita vurugu.
Tatizo sio kuikumbusha, shida ni vipi unaikumbusha, unatumia maneno gani na kwa njia gani ? Kama nyinyi mnamfata Yesu, ushawahi kutaka kujua Yesu kipindi chake Ali shughulika vipi na watawala waovu, mafisadi je alikuwa anatoa matamko ya kipumbavu pumbavu kama Hawa ? Je alikuwa anahamasisha vurugu na ugaidi. ?Kama kuikumbusha serikali kutenda haki ni kuhamasisha vurugu acha tu iwe hivyo, na TEC kamwe hawawezi kuacha kuikumbusha serikali hii dhalimu umuhimu wa kutenda haki.
Kwani hii serikali haina wanasemaji wake mpaka nyie ndio mnajipa jukumu la kuisemea na kutetea ushetani wake? Wapumbav kweli nyie na mtu wenu hana maisha marefu hapo tuko hapa.
Weka ushahidi wa hili.Asilimia kubwa ya watu ambao wameuawa na majangili yaliyotumwa na samia waliuawa wakiwa kwenye mazingira ya kwao, na hawakuwa hata kwenye hizo mnazoita vurugu, tumeshuudia watu wakiuawa kinyama wakiwa wanaemea mahitaji ya familia zao, halafu Nguruwe pori kama wewe unakuja kuwaita wahalifu? Msenge kweli wewe.
Hayo ni maamuzi ya serikali kwa maslahi yake.Haya kama ni wahalifu maiti zao ziko wapi? Unauaje wahalifu halafu unaenda kuficha ushaidi kwa kuwazika kwenye makaburi ya siri?
Umeua wahalifu, mbona hata idadi yao umeshindwa kutoa mpaka leo? Unaficha nini sasa kama kweli ulioua ni wahalifu?
Wewe mjamaa ni unaongoza kwenye darasa la vilaza. Bure kabisa, yaani umejikunja mwenyewe kutoa hoja ndio unakuja na huu ushuzi!!Kitendo cha TEC kumili upande mmoja, huku ni kuhamasishwa vurugu, Yale anayo yaongea Kitima ni kuhamasisha vurugu.
Unatumia nini kufikiri ? Au hufatilii kinachoendelea ?
Wameonyesha unafiki, kwenye kuikosoa serikali na kuacha kuwakosoa vijana, na wanaharakati. Huu ni unafiki na undumi la kuwili, bali ni uzandiki na udini wa hali ya juu.
Kama unataka nikufundishe maana ya Haki naweza kadhalika.
Wewe hata maana ya haki hujui, ndio maana mnatanguliza haki dhidi ya amani.
Ujinga mwingine mlio nao ni huu, yaani mnajengea hoja maneno ambayo huenda hukuyasikia. Hakuna Sheikh aliesema watachinja watu, nenda kamsikilize tena, alisema mtakuta tumechinjana. Msiwazulie watu uongo kwa ujinga wenu na chuki zenu za kijinga.
Thibitisha hili, wewe kwa akili yako unafikiri kinachowasukuma hao TEC ni ni I ? Hakuna kingine zaidi ya uislamu wake, sababu hawana hoja za maana zaidi ya uongo na chuki ya kidini.
Kwahiyo kama kongwe, ndio iongee ujinga na kuacha kukemea uovu unao fanywa na wanaharakati na raia ? Ndio maana tunasema wao watakuwa wahusika wa kuratibu hizi vurugu. Huwezi kuwa kiongozi wa dini ukawa mjinga kama walivyo TEC, halafu kwa ujinga wao wanadai chanzo Cha vurugu ni Serikali ? Hii akili ya wapi ? Wasifanya vurugu watu wangeuliwa ?
Acheni unafiki, kama hao TEC ni wakweli na wanapigania haki, walitakiwa wajue na raia Wana haki kwa viongozi wao.
Wao wanaikumbusha serikali kuitenda haki wakati wao hawaitendi haki. Hii akili ya wapi ? Wakumbusheni viongozi wenu wa TEC.
Kingine tangu lini serikali ikakosolewa hadharani ? Yesu hajawafundisha mafundisho haya ? Ndio tunazidi kusisitiza wanaeneza ugaidi nyuma ya pazia ya haki na sisi tumeshawajua.
Nyie wajinga mmeiharibu sana hii nchi sababu ya kukosa maarifa,ubinafsi na udini. Huyu mama yenu mlimnadi eti ni mwanadiplomasia mzuri kumbe ni shetani na kilaza wa kutupwa, eti WHO ARE YOU? mjinga kabisa yule, na kwenye hicho kiti hakai muda mrefu tuko hapa.
Dhulma ya TEC kukemea upande mmoja unafikiri dhulma ni mambo ya Mali sio ?Dhulma gani?
Kosoa nilicho kiandika acha ngonjera.Wewe mjamaa ni unaongoza kwenye darasa la vilaza. Bure kabisa, yaani umejikunja mwenyewe kutoa hoja ndio unakuja na huu ushuzi!!
Siwezi kukosoa ushuzi, ni kujichafua tuuKosoa nilicho kiandika acha ngonjera.