Siwezi kukosoa ushuzi, ni kujichafua tuu
TEC wamezungumza hata kabla ya maamdamano ili kuepusha hiyo hali.Dhulma ya TEC kukemea upande mmoja unafikiri dhulma ni mambo ya Mali sio ?
TEC wamezungumza hata kabla ya maamdamano ili kuepusha hiyo hali.
Maandamano ni matokeo ya watawala ambao vichwa vimejaa MAVI tu.
UKWELI siyo UCHOCHEZI.Walizungumza kuwakemea wachochezi ? Walizungumza nini ?
Kwa lipi yale uyaite maandamano ? Shida yenu hampendi kusema ukweli na hampendi kuambiwa ukweli.
Ugaidi, uasi unaita maandamano ? Acheni basi kutuona sisi wajinga kama mlivyo nyinyi.
UKWELI siyo UCHOCHEZI.
Huwezi kuteka na KUUA watu, halafu utegemee watu wenye akili TIMAMU wakae KIMYA..
Nchi imegeuka kuwa GANGSTER REPUBLIC (Sheria hazifanyi Kazi, watu hawawezi kuchagua hata Mwenyejiti wa mtaa), WIZI, IMPUNITY, MAHAKAMA IMEKUFA.
Siyo kila binadamu ni NYUMBU.
Wachochezi wa kitu gani?Walizungumza kuwakemea wachochezi ?
Walikemea IMPUNITY, WIZI, LAWLESSNESS, UTEKAJI, na UONEVU.Walizungumza nini ?
Maandamano ni HIARI, kwa mujibu wa kafiba yetu.Kwa lipi yale uyaite maandamano ?
Ukweli ni upi, uko wapi huko serikalini?Shida yenu hampendi kusema ukweli na hampendi kuambiwa ukweli.
Leo JESHI LA WANAMTANDAO linafanya kazi ya Polini mitaani.Ugaidi, uasi unaita maandamano ? Acheni basi kutuona sisi wajinga kama mlivyo nyinyi.
Unapoona WANANCHI hawakusikikizi wewe, wanasikiliza wanaharakati wa JE maana yake wewe huna USHAWISHI wala RIDHAA ya umma.Kuna sehemu yoyote ambayo TEC walikemea wanaharakati wachochezi ? Viongozi wa dini walio kuwa wanatoa maelekezo ya kipi kifanyike siku ya tarehe 29 ?
TEC ni mashetani hasa.
Kuwa serious, basi au ndio yale mambo ukipenda chongo unaita kengeza ?Wachochezi wa kitu gani?
Kwahiyo haya yanatokea serikalini tu ? Mbona hawakuwakemea wale ambao walionyesha ishara za uvunjifu wa amani tangu awali ?Walikemea IMPUNITY, WIZI, LAWLESSNESS, UTEKAJI, na UONEVU.
Hili lilipaswa kufanywa na BUNGE ila BUNGE limeshafirwa, liko KIBRA.
Jibu swali nililo kuuliza.Maandamano ni HIARI, kwa mujibu wa kafiba yetu.
Kwanini serikali huwa inapiga maandamano yote isipokuwa ya MUTUKUZA MTAWALA?
Hamuaminiki na mmepoteza ridhaa ya umma.Narudia tena, jibu nilichokiandika.
Ukweli (kama wangekuwa wanasema kweli pia) ukikaa mahala ambapo si pake huleta maafa na hupelekea watu wasipate haki zao.
Basi, kama kuna SABABU.Hao watu wanao tekwa na kuuliwa, inakuwa hivyo bila sababu ? Mbona Mimi sijatekwa au wewe au wale ? Kwanini hamkuwakemea hao waliotekwa na kuuliwa ?
Hamuaminiki. Mnachofanya ni STATE TERRORISM.Tunatofautiana na nyinyi kuona ukweli (mnadai) ni wa sehemu moja na si kote.
Kwa mtindo huu hamtafanikiwa.
Ujinga mwingine mnadhani wenye akili kama zenu mko wengi kuzidi wale ambao wako dhidi yenu. Hili halipo.Hamuaminiki na mmepoteza ridhaa ya umma.
Mmeingiza kila kitaasisi cha umma kwenye SIASA chafu.
Hivyo, hata UKWELI hamuwezi kuwa nao.
Basi, kama kuna SABABU.
Tufute POLISI na MAHAKAMA.
Kila mwenye shida na MTU atafute sababu ya KUMTEKA, KUMUUA na KUMPOTEZA.
Hakuna SABABU ya KUWA NA polisi, mahakama wala MAGEREZA.
Watu WAJILINDE wenyewe.
Hamuaminiki. Mnachofanya ni STATE TERRORISM.
Akili.m ndani ya CCM zilikufa na Nyerere na zikaishia na Mkapa.
Hata leo TZ ikivamiwa HAKUNA RAIA atapigana UPANDE wenu.
Dunia NZIMA imekataa kukubali URAIS wa huyo BIBI yenu.Ujinga mwingine mnadhani wenye akili kama zenu mko wengi kuzidi wale ambao wako dhidi yenu. Hili halipo.
Anayewatumia Mashehe ili kuleta ajenda ya udini ndio wa kulaumiwa.Leo acha nitoe ya moyoni hi kitu sisawa,. Aisee nimezaliw kwenye uisilamu na nimekulia kwenye uislamu na mpaka hivi Sasa nipo na dini yangu,ila kunajambo linanikwaza sana kuhusu Hawa viongozi wetu aisee
( 1) Hawa viongozi wangu hawawezi kujenga hoja zao bila kutaja upande wa pili ,yani lazima
( 2) Hawawezi kujielezea hisia zao bila vitisho(bakozi) mara tutawakata vichwa.
(3) Hawajui wanachokipigania aisee ni aibu sana na wanaivua nguo dini yetu kutwa kucha wanahubiri vita.
(4) Hongera kwa wakatoliki kwa kuhubiri haki ,nakuisimamia.
(5) Tukiitwa kobazi tusichukie
Nimemaliza
unajua hao waislam wanajionaga kuwa superior sasa mtu kama wewe ukiwakosoa na unasema ni mmoja wao kidogo inashangaza!Mkuu unashaka kwakua nimeongea ukweli?
hmm! Ok!Mkuu ni vile hata ukiwa ndani ya box akili zisiishie humo ndani ya box
Yaani unataka wakatoliki wausemee uislamu na madai Yao?Waislamu wakikufa katika maandamano kwa kutoka ni Waislamu wajinga .
Hoja kama wao wapambania haki kwa Nini wachague na kupuuza haki zingine za makundi mengine
Mkjuu unamaanisha wanaotekwa na kuuwawa wanastahili. Kwa nini sasa kuna mahakama? Kwa nn mnaapa jkwa vitabu vya dini kulinda jkatiba ikiwa katiba inataka watu wafikishwe mahakamani?Narudia tena, jibu nilichokiandika.
Ukweli (kama wangekuwa wanasema kweli pia) ukikaa mahala ambapo si pake huleta maafa na hupelekea watu wasipate haki zao.
Hao watu wanao tekwa na kuuliwa, inakuwa hivyo bila sababu ? Mbona Mimi sijatekwa au wewe au wale ? Kwanini hamkuwakemea hao waliotekwa na kuuliwa ?
Tunatofautiana na nyinyi kuona ukweli (mnadai) ni wa sehemu moja na si kote.
Kwa mtindo huu hamtafanikiwa.