Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji hali iliyosababisha karibu vyoo vyote vya umma kufungwa, jambo linalowaacha wanafunzi zaidi ya 15,000 katika mazingira hatarishi kiafya.
Ni choo kimoja tu chenye maji kwa leo, ilhali siku zote hapakuwa na maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.