KERO UDSM Wafunga Vyoo vya Umma Kutokana na Ukosefu wa Maji

KERO UDSM Wafunga Vyoo vya Umma Kutokana na Ukosefu wa Maji

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji hali iliyosababisha karibu vyoo vyote vya umma kufungwa, jambo linalowaacha wanafunzi zaidi ya 15,000 katika mazingira hatarishi kiafya.
1766147549492.png

1766156479514.png


1766156478755.png
Ni choo kimoja tu chenye maji kwa leo, ilhali siku zote hapakuwa na maji kabisa. Hata hivyo, maji yaliyopo ni machache sana (yamewekwa kwenye majaba) kiasi kwamba hayawezi kukidhi matumizi ya idadi kubwa ya wanafunzi wa UTI (nje nje).
1766156478816.png


1766156292440.png
 
Chuo
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji hali iliyosababisha karibu vyoo vyote vya umma kufungwa, jambo linalowaacha wanafunzi zaidi ya 15,000 katika mazingira hatarishi kiafya.
Xhuo chenye professors zaidi ya 100 na ma dr. Zaidi ya 300 kimeshindwa kujitafutia solution ya kudumu ya maji ambayo ni hitajinla lazima la binadamu..
 
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji hali iliyosababisha karibu vyoo vyote vya umma kufungwa, jambo linalowaacha wanafunzi zaidi ya 15,000 katika mazingira hatarishi kiafya.
Wangetakiwa wawe na vyoo vya shimo kama Secondary, ni mwendo wa toilet paper, karatasi na magunzi tu😁
 
Alieposti hii habari na mnaoishadadia mnajitia matatizoni bure, mara mwisho nakumbuka Kuna mwanafunzi waliposti udsm hostel Zina nyufa yule dogo sijui alifukuzwa chuo km sio kusimamishwa...the same na udom walipostigi Kuna uhaba wa maji yule dogo alieposti nae alizinguliwa kwmba wanazua taharuki sijui blah blah gani kwamba wao sio waandishi habari na sio kazi yao...Kuna kiongozi chuo ataruhusu Vyombo vya habari huru kuripoti habari kama hizo waibike...maana huwa hatusolve tatizo tunafukia tatizo kesho Tena linaibuka palepale.
 
Hii ndo kazi miviongozi ya afrika inaweza- absolutely nothing.

Hapo utasikia imesababisha na mabeberu sababu wanatuonea wivu au maji sio ya muhimu cha msingi amani. Nchi ya kipumbavu sana hii.
 
Back
Top Bottom