Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 14,421
- 30,962
VX zinapumua Tu pale
Huo ndo ufahari wao.
VX zinapumua Tu pale
Miaka ya nyuma pale hall 2 palishawahi kudondoka vifusi vikubwa toka ghorofani wanachuo walipagawa vibaya.Alieposti hii habari na mnaoishadadia mnajitia matatizoni bure, mara mwisho nakumbuka Kuna mwanafunzi waliposti udsm hostel Zina nyufa yule dogo sijui alifukuzwa chuo km sio kusimamishwa...the same na udom walipostigi Kuna uhaba wa maji yule dogo alieposti nae alizinguliwa kwmba wanazua taharuki sijui blah blah gani kwamba wao sio waandishi habari na sio kazi yao...Kuna kiongozi chuo ataruhusu Vyombo vya habari huru kuripoti habari kama hizo waibike...maana huwa hatusolve tatizo tunafukia tatizo kesho Tena linaibuka palepale.
Inafikirisha sana ,wanashindwa kuleta Mtambo wa kuchimba visima virefu Hammer? UDSM ni Mlimani ni high elevation so inabidi walete hummer ichimbe chini mita 200 wapate maji ya kutosha kuweza kuserve wanafunzi hapo...Chuo kimejaa maprofesa lakini wameshindwa kujiongeza? Aiseee wasomi Hi.Chuo
Xhuo chenye professors zaidi ya 100 na ma dr. Zaidi ya 300 kimeshindwa kujitafutia solution ya kudumu ya maji ambayo ni hitajinla lazima la binadamu..
Inafikirisha sana ,wanashindwa kuleta Mtambo wa kuchimba visima virefu Hammer? UDSM ni
Mlimani ni high elevation so inabidi walete hummer ichimbe chini mita 200 wapate maji ya kutosha kuweza kuserve wanafunzi hapo...Chuo kimejaa maprofesa lakini wameshindwa kujiongeza? Aiseee wasomi Hi.
Maajabu haya mkuu,,halafu utaambiwa hapo kuna wahandisi wa maji na WA miambaKwani Udsm haiwezi kuchimba visima vyake, Ikawa inajitosheleza yenyewe?
Itakuwa hila za mabeberu tu hakuna kingine. Wanatuonea wivu Hadi kwenye elimu yetu.Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji hali iliyosababisha karibu vyoo vyote vya umma kufungwa, jambo linalowaacha wanafunzi zaidi ya 15,000 katika mazingira hatarishi kiafya.
Ni choo kimoja tu chenye maji kwa leo, ilhali siku zote hapakuwa na maji kabisa. Hata hivyo, maji yaliyopo ni machache sana (yamewekwa kwenye majaba) kiasi kwamba hayawezi kukidhi matumizi ya idadi kubwa ya wanafunzi wa UTI (nje nje).
😂😂😂😂😂Wangetakiwa wawe na vyoo vya shimo kama Secondary, ni mwendo wa toilet paper, karatasi na magunzi tu😁
Uislamu dini ya hakiAmani ni tunu yetu tuilinde kwa wivu mkubwa sana
Aliyepaita jalalani hakukosea kabisa.Kwani Udsm haiwezi kuchimba visima vyake, Ikawa inajitosheleza yenyewe?
Na Kila mwaka watu wanapata doctorates hapo hii mbona aibu 😁😁😁Kwani Udsm haiwezi kuchimba visima vyake, Ikawa inajitosheleza yenyewe?
Msalimie sana mkuu wa Chuo braza JK.Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji hali iliyosababisha karibu vyoo vyote vya umma kufungwa, jambo linalowaacha wanafunzi zaidi ya 15,000 katika mazingira hatarishi kiafya.
Ni choo kimoja tu chenye maji kwa leo, ilhali siku zote hapakuwa na maji kabisa. Hata hivyo, maji yaliyopo ni machache sana (yamewekwa kwenye majaba) kiasi kwamba hayawezi kukidhi matumizi ya idadi kubwa ya wanafunzi wa UTI (nje nje).
Jalalani hapo aha aha ha ahaChuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji hali iliyosababisha karibu vyoo vyote vya umma kufungwa, jambo linalowaacha wanafunzi zaidi ya 15,000 katika mazingira hatarishi kiafya.
Ni choo kimoja tu chenye maji kwa leo, ilhali siku zote hapakuwa na maji kabisa. Hata hivyo, maji yaliyopo ni machache sana (yamewekwa kwenye majaba) kiasi kwamba hayawezi kukidhi matumizi ya idadi kubwa ya wanafunzi wa UTI (nje nje).