KERO UDSM Wafunga Vyoo vya Umma Kutokana na Ukosefu wa Maji

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji hali iliyosababisha karibu vyoo vyote vya umma kufungwa, jambo linalowaacha wanafunzi zaidi ya 15,000 katika mazingira hatarishi kiafya.
Ni choo kimoja tu chenye maji kwa leo, ilhali siku zote hapakuwa na maji kabisa. Hata hivyo, maji yaliyopo ni machache sana (yamewekwa kwenye majaba) kiasi kwamba hayawezi kukidhi matumizi ya idadi kubwa ya wanafunzi wa UTI (nje nje).

Binafsi naona tuna changamoto sana ya kujua kutatua changamoto zinavyo jitokeza
Pengine hapo chuoni kuna eneo ukichumba tu visima viwili vya kawaida vya meta kama 30 kwa gharama kidogo; vitatosheleza maji ya vyoo vyote bila shida yoyote na pengine kupunguza gharama za uendeshaji. Uzuri siku hizi mifumo ya vyoo hasa vya public 90% ya vifaa haviathiriwi na maji chumvi..
 
Hicho chuo kinakuwaga na wajinga

Wanakosaje backup ya Maji

Ikiwa misikiti Ina Maji yake ya visima vipi chuo kinachoingiza mamilion ya pesa
Shangaa mkuu.
Misikitini maji yapo, ila Chuo kikubwa nchini mpaka nje hakina maji
 
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji hali iliyosababisha karibu vyoo vyote vya umma kufungwa, jambo linalowaacha wanafunzi zaidi ya 15,000 katika mazingira hatarishi kiafya.
Ni choo kimoja tu chenye maji kwa leo, ilhali siku zote hapakuwa na maji kabisa. Hata hivyo, maji yaliyopo ni machache sana (yamewekwa kwenye majaba) kiasi kwamba hayawezi kukidhi matumizi ya idadi kubwa ya wanafunzi wa UTI (nje nje).
Bongo hatarii...akili zetu tunazijuwa wenyewe...
 
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji hali iliyosababisha karibu vyoo vyote vya umma kufungwa, jambo linalowaacha wanafunzi zaidi ya 15,000 katika mazingira hatarishi kiafya.
Ni choo kimoja tu chenye maji kwa leo, ilhali siku zote hapakuwa na maji kabisa. Hata hivyo, maji yaliyopo ni machache sana (yamewekwa kwenye majaba) kiasi kwamba hayawezi kukidhi matumizi ya idadi kubwa ya wanafunzi wa UTI (nje nje).
Ni aibu kubwa sana na fedheha kwa chuo kama UDSM kushindwa kuwa na kisima kirefu cha kutosheleza mahitaji yake yenyewe.
 
Back
Top Bottom