uefa

The Union of European Football Associations (UEFA; yoo-AY-fə; French: Union des associations européennes de football; German: Union der europäischen Fußballverbände) is the administrative body for football, futsal and beach soccer in Europe. It is one of six continental confederations of world football's governing body FIFA. UEFA consists of 55 national association members.
UEFA represents the national football associations of Europe, runs nation and club competitions including the UEFA European Championship, UEFA Nations League, UEFA Champions League, UEFA Europa League, planned UEFA Europa Conference League, and UEFA Super Cup, and controls the prize money, regulations, and media rights to those competitions.
Henri Delaunay was the first general secretary and Ebbe Schwartz the first president. The current president is Aleksander Čeferin, a former Football Association of Slovenia president, who was elected as UEFA's seventh president at the 12th Extraordinary UEFA Congress in Athens in September 2016, and automatically became a vice-president of the world body FIFA.

View More On Wikipedia.org
  1. Greatest Of All Time

    FT: 2022 Uefa Champions League Final | Liverpool 0-1 Real Madrid | Paris, France

    Habari zenu mabibi na mabwana! Leo ni sikukuu kubwa barani Ulaya na Duniani kwa ujumla. Ni mchezo wa Fainali ya Uefa Champions League kati ya Liverpool Vs Real Madrid. Awali fainali hii ilipangwa ifanyike jijini Saint Petersburg, nchini Urusi. Ila kutokana na Urusi kuivamia Ukraine Uefa...
  2. Poker

    Yanayojiri kuelekea Fainali ya UEFA Champions League | Real Madrid vs Liverpool

    usiku wa ulaya huko Paris #liverpool #realmadrid
  3. JanguKamaJangu

    UEFA CHAMPIONS LEAGUE: Real Madrid yaingia fainali Uefa, Man City yapigika 3-1

    Real Madrid imefanya maajabu, ni baada ya kupindua matokeo dakika za mwisho na kufanikiwa kuingia fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kuiondoa Manchester City kwa jumla ya mabao 6-5. Hadi dakika ya 90 Madrid ilikuwa nyuma kwa bao 1-0 katika nusu fainali ya pili, dakika ya 90 na 91 ilipata...
  4. JanguKamaJangu

    UEFA: Real Madrid, Villarreal zaingia nusu fainali, Chelsea, Bayern hoi

    Timu za Real Madrid na Villarreal zimefanikiwa kufuzu Hatua ya Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuziondosha mashindanoni Chelsea na Bayern Munich katika mechi za kuamkia leo Aprili 13, 2022 Chelsea ambayo ilifungwa mabao 3-1 katika mchezo wa kwanza, ilipambana na kufikisha mabao...
  5. Joseverest

    Droo ya Robo Fainali ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2021/22 kuchezeshwa MARCH 18, 2022 Switzerland

    Droo ya robo fainali, nusu fainali na fainali ya msimu wa 2021/22 UEFA Champions League zote zitachezeshwa katika tukio moja. Timu nane zilizobakia zitajua hatma yao kwa mashindano hayo makubwa kwa ngazi ya klabu barani ulaya huko Jijini Nyon, Uswizi (Switzerland) ''It is at this stage that...
  6. Lycaon pictus

    Ni sawa kwa FIFA na UEFA kujiingiza kwenye mzozo wa Russia na Ukraine?

    FIFA na UEFA wamepiga ban vilabu na timu ya taifa ya Urusi kushiriki mashindano yao. Je, hatua kama hii ni sahihi kwa chombo cha kimataifa kinachohubiri neutrality kama FIFA? Mbona hawakuiban Uingereza, Ufaransa, Marekani nk walipokuwa wakivamia nchi ya Libya na zile za mashariki ya kati?
  7. John Haramba

    FIFA, UEFA washirikiana kuifungia Urusi michuano yote, klabu na timu za taifa

    Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) na Shirikisho la Soka la Ulaya (UEFA) kwa pamoja wametangaza kuzifungia timu zote za Urusi katika michuano ya kimataifa kuanzia ngazi ya klabu hadi timu za taifa hadi hapo itakapotolewa taarifa nyingine. Mamlaka hizo za soka zote zimetoa tamko la pamoja...
  8. Kichwa Kichafu

    FIFA na UEFA zafungia timu zote za mpira wa miguu za Urusi

    Habari, FIFA na UEFA zimevifungia vilabu vyote vya mpira wa miguu vya Urusi kushiriki katika michezo. Zimevifungia kuanzia ngazi ya vilabu hadi kimataifa na kuzuia kushiriki kombe la dunia 2022 na mashindano ya wanawake Euro 2022. Kufungiwa huko ni muendelezo wa hatua zinazochukuliwa na...
  9. John Haramba

    UEFA yahamisha fainali ya Champions League kutoka Urusi kwenda Ufaransa

    Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (Champions League final) iliyokuwa imepangwa kuchezwa kwenye Uwanja wa Krestovsky jijini Saint Petersburg Nchini Urusi imehamishwa na sasa itachezwa jijini Paris, Ufaransa. Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) limechukua maamuzi hayo kutokana na mapigano...
  10. John Haramba

    UEFA Champions League: Man City yaifanyia kitu kibaya Sporting, daaa! Wamechezea mkono 5-0

    Licha ya kuwa uwanja wa ugenini, Manchester City wameichapa Sporting Lisbon mabao 5-0 na hivyo kujiweka kwenye nafasi kubwa ya kusonga mbele hatua inayofuata ya UEFA Champions League.
  11. John Haramba

    PSG yaifunga Real Madrid 1-0, Uefa Champions League, Messi akikosa penati

    Matokeo ya mechi za kwanza hatua ya mtoano, PSG ikianza vizuri nyumbani kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Real Madrid. Unadhani PSG wana nafasi ya kutoboa katika mchezo wa marudio na vipi kiwango cha Meddi ni kweli kinazidi kushuka au hajakaa sawa?
  12. The Sunk Cost Fallacy

    Utabiri wangu: Fainali ya UEFA champions league ni Kati ya Liverpool vs Ajax Amsterdam

    Habari wakuu.. Kwa mwenendo huu wa Champions league Fainali ni baina ya Liverpool na Ajax .
  13. C

    UEFA Champions League Matchday 03 Analysis

    UCL FULL TIME SCORES ⬇️ AJAX 4 DORTMUND 0 INTER 3 SHERIFF 1 SHAKHTAR 0 REAL MADRID 5 PORTO 1 AC MILAN 0 PSG 3 LEIPZIG 2 ATM 2 LIVERPOOL 3 Liverpool have won a #UCL game against Atletico Madrid for the first time in their history. Fifth time lucky. 😅 Only two English teams have beaten...
  14. Greatest Of All Time

    Uefa Nations League Final: France yabeba kombe baada ya kuifunga Spain kwa magoli 2-1

    Dakika chache zijazo, utapigwa mchezo wa Fainali ya Uefa Nations League, Spain Vs France katika dimba la San Siro pale jijini Milan, nchini Italy. Ikumbukwe hii ni fainali ya pili, baada ya ile ya kwanza mwaka 2019 ambapo Ureno ilitwaa taji hilo! Je nani kuibuka bingwa wa pili wa michuano toka...
  15. Z

    Kingamuzi cha Cannal plus

    Wadau kwa anaefahamu nawezaje kupata kingamuzi cha cannal hapa Tz na gharama zake za malipo huwa ni shi ngap
  16. Greatest Of All Time

    Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

    Salama wakuu, Michuano ya Euro 2020 inategemewa kuanza hapo Juni 11 takribani wiki tatu kutoka sasa. Michuano hii ilitakiwa ifanyike juni mwaka jana 2020 ila ilihairishwa kutokana na Corona. Hivyo Uefa ikaamua michuano hiyo ifanyike mwaka huu lakini iendelee na jina lilelile la Uefa Euro 2020...
  17. W

    Chelsea mabingwa wapya UEFA 2020/2021

    Ni kweli mbinu za Thomas zitawasumbua makocha wengi barani Ulaya au ndo kakutana na ganda la ndizi? --- Chelsea win the Champions League with a 1-0 victory over Manchester City in Porto Credit: Alexander Hassenstein/Uefa via Getty Images Nothing less than a revolution against the Pep...
  18. M

    Kupitia mwamba Rudiger ndani ya mask machoni nawatakia Chelsea ushindi mnono usiku wa leo Uefa

    Inakuwaje wanajamvi! Namkubali sana jamaa. Kupitia yeye Chelsea itanyakuwa Uefa championship.
  19. denooJ

    UEFA kuiondoa sheria ya goli la ugenini

    Sheria ya goli la ugenini iliyokuwa inaipa nafasi ya kusonga mbele timu iliyofunga magoli mengi ya ugenini kwenye mashindano ya UEFA hivi karibuni itaondolewa. Sheria hiyo inayotumika kwenye mashindano ya UEFA kama Champions League, Europa League, na Europa Conference League na iliyoanza...
  20. marcoveratti

    Kwa jina la Liverpool na maajabu ya Instanbul Chelsea bingwa wa UEFA 2020-2021

    Chelsea mpoo? Fainali itapigwa jiji linaloitwa Istanbul, nchini Uturuki. Kule kwa Sultan Suleiman Khan na Shghazad Mustapha. Yes! Huko huko kwao Ertugru. Mkifika pale wanaifahamu timu moja ya England inaitwa Liverpool. Ukisema tu 'The mighty Reds' wanaacha kila kitu na kukusikiliza chochote...
Back
Top Bottom