Ilianza Bitcoin enzi hizo sarafu po chini sana watu na fursa wakaruka nayo... Sasa hivi sarafu haishikiki walioiwahi enzi hizo wanakula kuku kwa mrija.
Ikaja binance nakumbuka 2017 late yake ilikuwa 0.007 kwa coin kwa sasa ipo 500+ usd
KWa sasa naona watu wanatamba na hii #pai, na ni kitu...
JANETH MAHAWANGA, Mbunge wa Viti Maalum; Anauliza; Ni Upi Mpango wa Serikali wa Kuhakikisha Jamii Inapata Uelewa Kuhusu Umuhimu wa Kulipa Kodi na Kudai Risiti?
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad chande amesema kuwa Serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali ili kujenga uelewa kuhusu umuhimu...
Naomba mwenye uelewa juu ya ukweli kuhusu hii kampuni ya F.I.C inahusika na ubashiri wa correct score ila ikitokea mkeka wako ukichanika wanakurudishia pesa zako zote...
Hifadhi za taifa za Tanzania ni hazina ya asili na utamaduni ambazo zinatoa fursa nyingi za utalii. Kila hifadhi ina uzuri wake wa kipekee, ikiwa na mazingira tofauti, wanyama wa porini, na tamaduni tofauti za wenyeji. Tembelea Tanzania na uone vivutio vyake vya ajabu!
Katika hifadhi kama...
Habari za wakati huu wana Jf.
Kuna issue imenitokea week iliyopita nimeenda kariakoo kununua Smart tv TCL inch 32 Tshs 380000; imejaribiwa ikawaka vizuri nikafanya malipo nikaondoka. Kufika nyumbani nimeiwasha nimeunganisha wifi nacheki video youtube ikazima yenyewe, Yaani taa nyekundu upande wa...
Imeelezwa Kemikali ya Zebaki inayotumika kukamatisha dhahabu ambapo inaelezwa ni kemikali 10 ambayo Shirika la Afya Duniani (WHO) inasababisha athari za kibinadamu na mazingira.
Kemikali ya Zebaki ni nini?
Kwa mujibu wa taarifa zinazopatikana Mtandaoni, Zebaki ipo katika metali ya kimiminika na...
Nimesikiliza sehemu ya mahojiano kati ya mkuu wa mkoa wa Arusha Makonda na waandishi wa habari. Jambo mojawapo aliloulizwa ni tuhuma dhidi yake za ukiukwaji wa haki za binadamu, majibu yake yameniacha hoi kwa mshangao.
Makonda anasema yeye ni mtetezi mkubwa wa haki za binadamu, mifano aliyoitoa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu amezungumza sababu ambazo zimemfanya kutoshiriki kujiandikisha kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa huku akieleza kuwa kutojiandikisha kupiga kura hakumuondolei mtu yeyote kuzungumzia uchaguzi...
Niaje waungwana
Baada ya Israel, Marekani, Uingereza na washirika wao wengine kujipanga kwa zaidi ya mwezi mmoja na kitu ili kufanya shambulizi la kuiangamiza Iran kushindwa.
Sasa tumeona wenyewe jinsi Iran ilivyo imara kwa air defence yao hadi kupelekea shambulio la ndege 100 za Israel...
Habari zenu wakurungwa!
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu,
Mimi nipo wilaya X , jiji la Mwanza, nimehamasika sana kuandaa mashindano ya marathon ila tatizo linakuja kwamba. hakuna chochote ninachofaham kuhusiana na jambo hilo
Hivyo naomben msaada kwa anayefaham namna ya kuandaa...
Trump amesema anafikiria wagombea wote wa urais wanapaswa kupewa mtihani wa uelewa, huku akisisitiza kwamba yuko sawa kiafya ya akili na muafaka kuingia madarakani.
Akimzungumzia Kamala Harris huko Pennsylvania, alisema: "Sina tatizo la uelewa – lakini yeye anaweza kuwa na tatizo hilo."
Trump...
Kama kichwa cha habari kinavyosema hebu tutoe maoni kwanini vijana wa sayansi especially ICT wanahangaika sana wakati Kwa elimu yao wangekuwa na uwezo wa kubuni apps ambazo zingewakwamua kiuchumi badala yake wanahangaika na bahasha kama wahitimu wa procurement & supply.
Mfano wa kijana wa...
Mfumo wa demokrasia hapa nchini ulianzishwa rasmi mwaka 1992 chini ya Rais Mwinyi akiwa ndiye mwenyekiti wa chama mapinduzi CCM, na ndio kilikuwa chama pekee cha siasa kabla ya hapo kutokana na mfumo wa siasa wa wakati huo.
Najua suala la maamuzi ya kuruhusu mfumo wa mabadiliko ya kisiasa...
Habari wana JF
Mimi ni jobless wa muda mrefu na nimeona nitafute njia za kupata mtaji nifanye project niliyonayo kichwani. Kuna mtandao unaitwa UFANDAO kwaajili ya ufadhili kutoka kwa watu mbalimbali endapo watashawishika na wazo lako. Kuna mwenye uelewa na namna inavyo-operate anipe hints...
Habari
Katika mwili wa binaafamu Huwa Kuna viashiria vingi vinavyotokea kutokana na baadhi ya viungo kucheza....mfano wa viungo kucheza ni kama..
1.Pua kucheza
2.kung'ata ulimi
3.ngozi juu ya jicho kucheza
4.na viungo vinginevyo..
5...
6...
Asante.
Je yote haya yanaashiria nini sana sana...
Wakuu habarini za mchana.
Ningependa kulifikisha hili swala kwenu hasa wataalam wa afya kama wapo humu. Kuna huu msemo kwamba "kama ina maji mchubuko hauwezi kutokea na huwezi kuunganishwa kwenye gridi ya taifa". Kusema ukweli ile kitu ni tamu sana bila kutumia co.nd.om lakini tunaogopa hili...
Habari wanaJF
Naomba uelewa wa kitu kinachoitwa project management proffessional(PMP), ni kitu gani? wahusika ni wapi wanatakiwa kusoma? kuna faida zipi ukisoma na hasa kwa muajiriwa wa serikalini?. Naomba kujuzwa chochote kuhus PMP..
Ni kuhusu upandishaji wa vyeo kwa watumishi wa umma unaoendelea mwaka huu,ni kazi nzuri ya serikali yetu kongole sana Rais wetu..
Swali ni je kuna watumishi walioko masomoni mpaka sasa vipi nao wanapanda?
Na kama hawapandi wakirudi kazini wakija kupanda cheo si watazidiwa muda wa cheo na wenzao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.