Neno ukosefu wa ajira ni hali ya mtu yeyote ambaye anaweza kufanya kazi, lakini hana kazi. Ukosefu wa ajira ni mojawapo ya matatizo ya duniani hivi sasa.
Ukosefu wa ajira unaonyeshwa kama asilimia ya jumla ya nguvu kazi inayopatikana ambayo haina ajira, lakini inatafuta kazi kikamilifu na ipo...
Nikupongeze kwa hatua hii ya kuzindua gari uliyoitengeneza wewe mwenyewe kama ulivyotuaminisha ila naomba basi utusaidie yafuatayo ili utuvutie zaidi kuweza kununua gari yako
1. Je, ukichaji gari ikajaa unaweza kutembea kwa umbali wa kilomita ngapi?
2. Je, vipuri vya gari vikiharibika...
Kumekuwepo na sera ya ufundishaji wa wanafunzi kwa kujuimuisha wenye mahitaji maalum na wale wa kawaida katika shule/ darasa moja.
Wanafunzi hawa katika baadhi ya shule wanafundishwa na walimu waliosomea ualimu wa kawaida. Tatizo linakuwa ni namna ya kuwasiliana na wanafunzi hao hasa wenye...
19XX-AXAY-BBCDE-0000X-YY
ufafanuzi:
19XX=mwaka wa kuzaliwa
AX= mwezi wa kuzaliwa
AY= tarehe ya kuzaliwa
BBCDE=post code ya kata ulikojiandikishia
0000X= ni nini?
YY= ni nini?
Habari Mh Rais!
Kuhusu kinachoendelea kwenye suala la milabaha kinachoonekana mahesabu take yametengenezwa katika mazingira ya kiupigaji na kizurumati ,
Kuna wasanii wakubwa sana wa zamani hawapo kwenye list na hiyo milabaha na wengine kupewa pesa kiduchu sana Sasa kwa inavyoonekana ni kama...
Hakika Nani Kama mama, hakika anaupiga mwingi! Pongezi kwako mama wetu mpedwa!! Mungu akupe na kukujalia kila lililo la kheri.!!
Ni hivi kwa wale watumishi wa umma, hebu chungulieni salary slip zenu hakika mtaona Kuna tofauti kubwa sana imefanywa na huyu Rais wa watu, yaani Kama una mkopo Bank...
Kadiri janga la Virusi vya Corona (COVID-19) linavyoendelea, ndivyo pia wingi wa habari zinazohusiana na kusababisha kile kinachoitwa "infodemic'’ unavyoongezeka.
Taarifa potofu na za uongo kuhusu COVID-19 zinasambazwa kwa haraka sana mtandaoni na zinaweza kuathiri watu wengi. Hakuna chanzo...
GENTAMYCINE nawaomba tu hao 'Team Mikakati Awamu ya 6' wajitahidi kwa sasa kubadili Mbinu za Kuungua 'Kimkakati' kwa 'Masoko Makubwa' nchini kwani kwa sasa hata Mtoto Mdogo ameshajua kuwa nia ni 'Kuwakomoa' Wamachinga waliokuwa Wakipendwa na Hayati na pia kuruhusu Ujenzi mpya wa Masoko ili Watu...
Rais Samia, jana akiongea na mawaziri aliwaambia wajipimie ila wasivimbiwe tena mbele ya TV ya umma. Nilipigwa na butwaa ila nikahisi mambo yafuatayo.
1. Rais hajui kwamba mali anazowaambia mawaziri wajipimie ni za wananchi wanao msikiliza na kwamba wananchi wanataka alinde mali zetu kama kiapo...
Nimeshangazwa Sana na Kauli za kejeli na michambo illiyoelekezwa kwa spika ndugai siku hi ya leo na mkuu wa nchi mawaziri na makada was chama changu.
Kama Job alitumia muda mwingi hivyo kusahihisha makosa yake na kuomba msamaha hata Kama kwa unafiki,walipaswa kumstahi.
Hii inaonyesha hakuna...
Mbatia katika hotuba yake ya mwisho wa mwaka alisikika akisema mpaka sasa Serkali ya awamu ya sita imeshakopa takriban Trillion 10 tokea iingie madarakani! Nauliza kwanini serikali haiji kutoa ufafanuzi wa kutosha badala yake kufunika funika mambo?.
Mheshimiwa Spika Ndugai japo kaomba msamaha...
Ikulu imetoa ufafanuzi ni kuwa akiba iliyopo ni dola za kimarekani milion 6253 na sio dola bilion 6253.
Ni vizuri kusahihisha makosa, Ila mjitahidi yasiweze kujirudia tena kwenye hotuba za Raisi na nashauri kabla ya raisi kwenda hewani pitieni hotuba zaidi hata ya mara 5 ili kujiridhisha hakuna...
Leo Rais Samia wakati akitoa hotuba ya kufunga mwaka 2021 ameitaja akiba ya fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 6,253. Nikajua labda lafudhi ya kizanzibari imenichanganya au kosa la usomaji.
Kumbe ndivyo alivyoandikiwa kwenye hotuba yake, najiuliza mchakato wote wa maandalizi ya hotuba...
Habari wana JF?
Nahitaji kujua aina za desktop computer ambazo ni nzuri zinazopiga kazi kwa ufasaha na zinadumu kwa muda mrefu nalifikisha kwenu naombeni ufafanuzi
Ahsante!🙏
Jambo kubwa lililopamba mahafali ya 15 ya Chuo Kikuu Ardhi (ARU) yaliyofanyika juzi, ni uwepo wa mhitimu wa Shahada ya Uzamivu, ambaye ni padri aliyepitia pia mafunzo ya kijeshi.
Padri huyo, Dk Henry Rimisho wa Shirika la Mitume wa Yesu la Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, amevuta...
MAJIBU NA UFAFANUZI KUHUSU UDALALI/UWAKALA WA WASAIDIZI WA KAZI ZA MAJUMBANI.
Anaandika, Robert Heriel.
Wakala wa WASAIDIZI WA Ndani.
Bila Shaka wote ni wazima humu.
Andiko hili nitaeleza muhtasari wa suala la Wasaidizi wa kazi za ndani. Mimi nikiwa Mdau, na mkurugenzi wa Kampuni inayohusika...
Waraka wa elimu namba 2 wa mwaka 2021 unahusu urejeshwaji shuleni kwa wanafunzi wa primary na sekondari walikatisha masomo kwa sababu mbali mbali ukiwamo utoro, na mimba.
Lakini katika waraka huo hakuna aya au kifungu chochote kinachozungumzia mtoto aliyefeli darasa la saba kurudia tena masomo...
System A
Mifumo ya chakra kama inavyofafanuliwa na Shiva.
Chakra ya kwanza ni adhara, yenye petali nne za dhahabu iliyoyeyuka (hiyo ni nyekundu). Kwenye petals kuna herufi nne kutoka wa hadi sa, (yaani wa, she, sha, sa). Ndani ya pericarp ya chakra ni pembetatu nzuri ambayo ni katika asili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.