Salaam wana JF,
Kama heading inavyojieleza kuna kiasi cha pesa kinachokatwa kwenye kila gari inayoingizwa nchini kupitia bandarini, labda na kwingineko kinaitwa railway levy.
Mimi kwa uelewa wangu nadhani hii pesa ni kwa ajili ya maendeleo ya reli hasa ujenzi na ukarabati. Katika ufahamu wangu...