Leo hii analaumiwa Okrah, mechi iliyopita alilaumiwa Zoran, ya ngao akalaumiwa Inonga, sasa nyie kila mechi mtakuwa mnatafuta kichaka cha kufichia madhaifu yenu?
Mlikuwa mnasema Juma Mgunda atainyoosha Yanga kwakuwa alipata sare moja ya nusu fainali kule Arusha, nikawauliza kabla ya mechi...