Ufahamu: A Journal of African Studies is a graduate-student run, peer-reviewed academic journal published at the University of California, Los Angeles (UCLA). It was established by the UCLA African Activist Association in 1970 and named after the Swahili word for comprehension, understanding, or being. The journal is published three times a year and is available from the University of California's eScholarship website. It is "the longest running ... graduate student journal in the United States."Ufahamu is published in English, with occasional poetry or articles in African and European languages. It is indexed in the MLA International Bibliography, Africa-Wide Information, and Historical Abstracts.
Nyomi hii ya maandamano ya kupinga corona mjini London Uingereza. Sipuka Ndugayi waite na hawa kwenye kamati ya maadili!! Waliharibiwa pia na JPM!! Watu wanafiki wanatia kichefuchefu sana!! Alipokuwepo ndio walioongoza hoja ya kuvunja katiba ili aongezewe kipindi cha kutawala zaidi ya miaka 10...
Habari wanajamvi poleni na misongo ya mawazo (tozo) na mengine mengi.
Tafadhali naomba wajuvi wa mambo naomba kuuliza swali hivi hawa watu walenga shabaha (snipers ) wanapatikanaje jeshini ni mafunzo tuu au na kipaji cha mtu kinachangia?
Je, training zao zipo kama za askari wa kawaida au kuna...
Umekuwa mtindo wa kudumu ukisikiliza Bunge unaishia kuambiwa Biblia inasema hivi, Kuruani inasema hivi. Hakuna maneno ya watu mashuhuri au hoja zenye mashiko kisiasa. Hii ni dalili ya kuwa na wanasiasa waliofilisika kisiasa na wanahangika sana na elimu ya dini.
Safari hii Spika kaangukia pua...
Habari Tanzania!
Leo napendezwa niongee na enyi vijana kizazi kipya kwenye masuala ya Utaawala na Siasa Kazi.
1. Siasa; Unapobomoa " Legacy " ya utawala wowote/ yoyote ukumbuke utawajibika kiutawala na utapata adhabu yenye kukupa adabu aidha uache nia ovu uliyonayo kwa kujua au kutokujua; au...
Uliokuwa ugonjwa kama yalivyo mengine, ulifanywa siasa hatimaye kuwa vita tokea kwa mabeberu na watu wakaaminishwa hivyo.
Badala ya gonjwa kuwa chini ya wataalamu wa Afya, Sirro na hata wasiojulikana na mabunduki yao wakajiunga kwenye harakati hizo kama watendaji wakuu.
Tulipo leo ni kwenye...
Na Joshua Deus
Miongoni mwa watanzania walio wengi wame athiriwa na Mila za makabila yao,imani za dini au madhehebu wanayo amini Hadi Mambo ya kiafya wanayahusianisha na Mila zao.
Ugonjwa wa Akili (mental disorder) umekua ni ugonjwa unao aminika kuwa hupatikana kwa kurogwa kwa Imani za jamii...
Mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka 1347 karne ya 14, meli 12 ziliwasili katika bandari ya messina mji wa Sicily nchini Italia zikiwa zimetokea bahari nyeusi maarufu kama The Black Sea.
Sababu ilikua moja ya bandali kubwa ya kibiashara watu walisogea ili kupokea meli hizo na kupigwa na butwaa baada...
Umewahi kujitoa ufahamu?Umewahi kuona mtu ambaye amejitoa ufahamu?Unaelewa ufahamu ni nini?Una ufahamu?
Nitaanzia Mwishoni.
Miaka zaidi ya 15 iliyopita nilianzisha kampuni yangu ya kwanza,Nikafungua akaunti na kupata cheque book nikawa ni mmiliki wa Kampuni.Pesa nilizotumia kufanya hivyo...
PICHA: Dkt. Dorothy Gwajima
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Dorothy Gwajima amesema serikali haitatumia nguvu katika kukabilia wimbi la tatu la virusi vya corona, na badala yake watajikita katika utoaji elimu zaidi.
Akijibu maswali ya waandishi wa habari jana Dar es...
Wakuu naomba kuuliza kwa mwenye ufahamu wa asili ya jina Rambau.
Watu wenye majina Rambau wanatoka mkoa gani hapa Tanzania na ni kabila gani ?
Shukrani.
Nikiwa nafuatilia jinsi hawa wateule wanafanya kazi nahisi wako kama watumwa. Kuna mda naona kabisa sisi ambao tuko kitaa tuna furaha na amani kuliko wao.
Kuna haja ya wateuzi kuwaambia wawe huru kwenye kazi zao. Mfano Rais anakuja kuzindua mradi uliobuniwa na kujengwa na mtangulizi wake...
Naomba kupata maelezo ya ufahamu kuhusu chuo cha maji hapa Dar kwa wale wenye ufahamu. Aina ya course, malazi, uhakika, mkopo nk.
Nina mtoto wa kaka yangu kamaliza kidato cha nne, na kupangwa kujiunga na chuo hicho, sasa anataka nimpe hizo details kwa wale wenye ufahamu wa kutosha kuhusu chuo...
Jana tarehe 29.5.2021 katika kituo cha luninga TBC niliona kikosi cha Jeshi la wananchi wa Tanzania kamandi ya wanamaji akiongea Mkuu wao Afande Makanzo katika majukumu yao, lakini begani alivaa alama fulani kwa kweli sizijui kabisa lakini aliandikwa Rear Admiral Makanzo wajameni hiki ni cheo...
Mei 24 kila mwaka, dunia inaadhimisha Siku ya Ugonjwa wa Skizofrenia (World Schizophrenia Day). Huu ni ugonjwa unaoathiri fikra, hisia na kumfanya mtu kushindwa kujitambua vizuri.
Hakuna chanzo kimoja hasa cha ugonjwa wa Skizofrenia, lakini mkusanyiko wa kigenetiki, mazingira na mabadiliko ya...
Salaam!
Wadau kama Mada inavyojieleza, naomba Msaada kufuta Documents na Video zilizopo Recycle Bin Samsung Galaxy A12. Nimefuta vitu kibao kwenye Simu ila naona Vinahamia Recycle bin na bado naoma nakosa Nafasi kwenye Simu. Maana nilikuwa na Video zenye Ukubwa wa zaidi ya 20GB ila nimefuta...
Na. M. M. Mwanakijiji
Wale ndugu zetu waliombea, waliongojea, na hata waliosubiria Magufuli afariki akiwa madarakani leo wanataka tuendelee kuamini kuwa chaguo lao limeingia madarakani sasa. Ndugu zetu hawa ndio wale huko nyuma na si mara moja wamekuwa wakisubiria kwa hamu "kitu" kitokee ili...
Muungano wa Wafanyakazi nchini Uingereza umeonya kile ilichokiita 'mwanya mkubwa' katika sheria za ajira na matumizi ya teknolojia ya ufahamu bandia (AI) katika mchakato wa ajira.
Kutokana na mabadiliko ya teknolojia yanayoruhusu kuajiriwa au kufukuzwa kazi kwa mfumo wa kompyuta, Muungano huo...
Kinachotokea nchini ni mchanganyiko ni ukosefu wa maarifa toka kwa wahusika wanaotakiwa kufanya hivyo. Kama alivyosema Mganga mkuu wa serikali, kuna watu wanataka kusikia kinachosemwa na viongozi ndo wachukuwe hatua za kujikinga. Bahati mbaya wanaotakiwa kusema hawasemi ukweli.
Masikitiko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.