ufahamu

Ufahamu: A Journal of African Studies is a graduate-student run, peer-reviewed academic journal published at the University of California, Los Angeles (UCLA). It was established by the UCLA African Activist Association in 1970 and named after the Swahili word for comprehension, understanding, or being. The journal is published three times a year and is available from the University of California's eScholarship website. It is "the longest running ... graduate student journal in the United States."Ufahamu is published in English, with occasional poetry or articles in African and European languages. It is indexed in the MLA International Bibliography, Africa-Wide Information, and Historical Abstracts.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Naomba kupata ufahamu kuhusu utaratibu wa 'sick sheet'

    Kuna hiyo kitu kwa wafanyakazi wa serikali pale anapougua, nasikia hutolewa na halmashauri husika. Naomba kuelewa kidogo kuwa hutolewa vipi na hujazwa muda gani. Mfanyakazi aliye likizo na kuugua huko, utaratibu wake wa matumizi ya hii upo vipi? Akirudi na cheti chake cha kawaida cha hospitali...
  2. M

    Naomba mwenye ufahamu na Taasisi ya Benjamini Mkapa anisaidie hapa

    Wanajamvi nawasalimu katika jina la Bwana Mungu Mkuu. Taasisi ya Benjamini Mkapa ni kitengo ndani ya serikali au ni Taasisi binfsi? Nauliza hivyo kujua kama mtu akiajiriwa na hiyo taasisi anakuaa na ajira ya kudumu au ya mkataba? Taasisi ya Benjamini Mkapa Inafanya kazi na TAMISEMI na ajira...
  3. J

    Jifunze na ufahamu kuhusu tatizo la kusaga meno (Bruxism)

    Tatizo la kusaga meno kwa kitabibu huitwa bruxism, hali hii inaweza kusababisha meno kuharibika na matatizo mengine ya kiafya kwenye kinywa yanaweza kutokea Kwanini Watu Husaga Meno? Hali hii husababishwa na vitu kama msongo wa mawazo, hasira na magonjwa ya usingizi Unawezaje kugundua ikiwa...
  4. The Transporter

    Ufahamu kuhusu Elimu ya QT

    Niende moja kwa moja kwenye mara, Naomba kufahamu kwa mtu anayesoma QT inatakiwa apate avarage ya ngapi ili awe amafaulu kuendelea na masomo ya kidato cha nne?
  5. CARIFONIA

    Utaratibu upi wa kuomba eneo la kufanyia biashara stend mpya mbezi?

    Matumaini yangu sote tu wazima na tuenaendelea na harakati za kufanya maisha kuwa mepesi. Wadau mimi naomba kuulizia kama kuna mtu anajua juu ya Utaratibu wa kuomba eneo la kufanyia biashara stend mpya mbezi kwa upande wa wafanya biashara wadogo yahani wamachinga je? Tunaandika barua kuomba...
  6. Andrew Tate

    Mazingira yamechangia kudumaza ufahamu wa Mwafrika

    Straight to the point. Africa ni bara lililosheheni vitu vingi vya asili vyenye thamani. Vitu ambavyo kama vingetumiwa ipasavyo na inavyotakiwa basi africa ingekuwa moja kati ya mabara yenye nguvu duniani. Africa ni moja ya bara lenye mazingira mazuri ya kuishi binadamu na asilimia kubwa ya...
Back
Top Bottom