Kuna hiyo kitu kwa wafanyakazi wa serikali pale anapougua, nasikia hutolewa na halmashauri husika.
Naomba kuelewa kidogo kuwa hutolewa vipi na hujazwa muda gani. Mfanyakazi aliye likizo na kuugua huko, utaratibu wake wa matumizi ya hii upo vipi? Akirudi na cheti chake cha kawaida cha hospitali...