ufaulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Kwa ufaulu huu nataka aende chuo, je akasomee course gani?

    Huyu ni mdogo wangu amepata ufaulu huu Ila Mimi nataka aaende chuo moja kwa moja aanze certificate mpka degree Naona kwenda advance ni kupoteza muda Natamani asome Cyber security Computer engineering science IT and accountancy Micro biology Naomba ushauri wako Benson Civic C history C...
  2. Ufaulu wa miaka hii

    Hi ni ST Francis ya Mbeya hata miaka hiyo walikuwa wanapiga hizi one, lakini one za 7 hazikuwa nyingi kiasi hiki Sasa hivi imekuwa too much... Yaani Wanafunzi wote 91 wamepata one ya point 7... πŸ™ŒπŸ˜„πŸ€”
  3. Wanafunzi wanaopata ufaulu wa Division One Point 7, kama hawakukariri wapelekwe University moja kwa moja

    Nchi hii ina miujiza mingi sana Nimeona shule moja ina watoto almost wote wamepata Division One Point 7 Mtoto anayepata distinction, straight 7 As, au kwa lugha nyingine mtoto ambaye ni A material, hapaswi kuachwa kwenye darasa ambalo analiweza. Anapaswa apelekwe kwenye darasa ambalo litampa...
  4. Ufaulu wa elimu ya Tanzania unanipa mashaka sana kila kukicha

    Napata wasi wasi na elimu hii ya tanzania kila kukicha ikichezewa na wizara ya elimu. Miaka ya nyuma ilikuwa ni kazi sana kuona kundi kubwa la ufaulu ukilinganisha na leo. Kuanzia shule ya msingi mpaka sekondari. Sababu ambazo zinanipa mashaka ni kwamba watoto wanamatokeo mazuri ila hawajui...
  5. Waziri Mchengerwa ametangaza Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=Obto7X40W6I Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ametangaza jumla ya Wanafunzi 974,332 waliohitimu Elimu ya msingi mwaka 2024 tayari wamepangiwa Shule za sekondari ambao wataanza Januari 2025. Waziri Mchengerwa ametangaza matokeo hayo mbele...
  6. Mwanangu anaipenda sana computer na na ujuzi wake nauona. Nisaidien ana ufaulu wa four ya 26 f ya maths , English na biology pass

    Ujuzi wake nauona kamaliza forum 4 window anajua kuitengeneza computer anajua eti nisaidie wakuu kati ya computer science na information technology au kozi yoyote ya computer,, Mimi baba yake kazi yngu ni fundi cm na computer yaan accessories yoyote ya umeme na fix LAKINI nataka mwanangu awe...
  7. D

    Walimu, haswa wa vijijini, tutapewa lini motisha kwa kupandisha kiwango cha ufaulu? Mbona Taifa Stars wanamwagiwa mahela kila leo?

    Kwa miaka kadhaa Sasa ufaulu unaongezeka tu; darasa la nne, la saba, kidato Cha pili, kidato Cha nne Hadi kidato Cha sita ni mwendo wa kufurahia ongezeko tu la ufaulu. Watu wanapiga kazi mpaka shule za serikali Sasa kukuta div I 200, kama Lindi sec, ni jambo la kawaida. Ajabu ni kuwa hakuna...
  8. NECTA 2024: Ufaulu wa Wanafunzi wa Kike wa Darasa la 7 washuka, Wavulana wafanya vizuri, Shule 12,838 zimepata Daraja C

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza Matokeo ya Mtihani wa Darasa la 7 uliofanyika Septemba 2024 yanayoonesha Ufaulu wa Wasichana umeshuka kwa 0.53% kulinganisha na ufaulu wa 80.58% wa mwaka 2023 huku ufaulu wa Wavulana ukipanda kwa 81.85% kutoka 80.59% ya mwaka 2023. Jumla ya...
  9. Waalimu: Usome usisome, Ufaulu usifaulu Mimi mshahara wangu upo palepale

    Kuna baadhi ya walimu bana walikuwa hawana shida na mwanafunzi kabisa. Leo nimeikuta hii Facebook nikamkumbuka mwalimu wangu aliyekuwa anapenda sana kusema hivi.
  10. KWA UFAULU HUU ASOMEE KOZI GANI?

    Habari wakuu, Huyu ni binti nilitaka kujua kama mzazi ni kozi gani yenye tija anaweza kusoma , amemaliza kidato cha 4 2023.
  11. T

    Ndugai: Mataifa ya wenzetu huchukua vijana wenye ufaulu class A+ wana negotiate mikataba sisi tunapeleka maprof wazee waliochoka!

    Katika moja ya comment zilizowahi kunishtua ni hii ya jobu aliyoitoa akiwa spika. Alidai kwamba wenzetu baadhi ya mataifa linapohusika suala la mikataba, hawana masihara hata kidogo huchukua vijana smart class A wenye uwezo mkubwa wa kusoma kuelewa na kufikiri kwa upana juu ya mikataba...
  12. Umuhimu wa sayansi na teknolojia katika shule zetu ili kukuza ufaulu

    Umuhimu wa sayansi na teknolojia katika shule zetu nchini Tanzania ni mkubwa sana kwa kukuza ufaulu na maendeleo ya wanafunzi kwa njia zifuatazo: 1. Kuboresha Ufahamu wa Kisayansi: Kujifunza sayansi huwasaidia wanafunzi kuelewa masuala muhimu kama afya, mazingira, na maendeleo ya jamii. Hii...
  13. 2

    Mwanangu asome fani gani kwa ufaulu huu?

    Amemaliza six mwaka huu kombi ya EGM, Ufaulu: Economics D, Geography D, Maths E, Naomba ushauri wenu kwa fani anazoweza pata ajira kirahisi au akaweza kujiajiri.
  14. Matokeo ya Kidato cha 6 2024: Shule 710 kati ya 929 zimepata Wastani wa Daraja C la Ufaulu, Shule 100 zimepata Daraja A na B

    Kwa mujibu wa Matokeo ya Mtihani wa Kihitimu Kidato cha 6 uliofanywa Mei 2024 na kutangazwa na Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), Ufaulu wa Watahiniwa waliopata Daraja I - III umeongezeka kwa 0.10% kutoka Wanafunzi 95,442 (99.30%) mwaka 2023 hadi 102,719 (99.40%) mwaka 2024. NECTA imesema...
  15. Matokeo Kidato cha Sita 2024 yatoka. Ufaulu wapanda kwa asilimia 0.26

    Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2024, leo Jumamosi Julai 13, 2024 katika ofisi za Baraza hilo Zanzibar. Kuangalia matokeo bonyeza hapa: Matokeo Kidato cha Sita 2024 Jumla ya watahiniwa 113,504 walifanya mtihani wa kidato cha sita, mwaka huu...
  16. D

    Nitapata nafasi kwenye kozi niliyoomba kwa ufaulu huu?

    Nimepata Phy D Math D Chem C Na jumla ya ufaulu nin two ya 21 na nimeapply DIT kozi ya electrical engineering na mechanical engineering je nitapata nafasi kati ya hizo MSAADA WA MAWAZO WAKUU AHSANTENI
  17. D

    Maoni: Tahasusi mpya zimelenga kuwabeba waislamu hasa Wazazibar kuongeza ufaulu

    Ukiangalia kwa makini tatizo la elimu ya Tanzania sio tahasusi au masomo mapya. Mtu anayesoma islam kuna degree gani inayo shabihiana na islam kwenye vyuo vikuu vyetu!? Bora hata divinity mtu atasema anaenda kuchukua philosophy na haina uhusiano na ukristo wa moja kwa moja. Hizo ni cutting...
  18. Waziri wa Elimu: Shule zinazoongoza kwa ufaulu za binafsi haziruhusu mikutano ya wazazi

    Habari ndugu zangu kuna tatizo kubwa katika hili suala nililowasilisha hapo juu. Shule nyingi kuanzia chekechea hadi kidato cha sita zina matatizo makubwa haswa zile zinazotoa ufaulu wa kiwango cha juu. Wanafunzi wanaamka saa nane na wanalala saa saba usiku ili wakeshe madarasani wakariri...
  19. S

    Naombeni ushauri nisome kozi ipi nzuri kwa ufaulu huu

    Natanguliza shukrani, Naomba mnishauri ni Kozi ipi nzuri zaidi naweza kusoma kutokana na ufaulu huu. CIVICS"D" ENGLISH"C" GEOGRAPHY"C" KISWAHILI"C" HISTORY"C" BIOLOGY"C" CHEMISTRY"C" PHYSICS"F" MATH'S"F" Division III:22
  20. Siasa, unafiki na usanii: Ufaulu wa kidato cha nne mwaka 2023 umejificha ndani ya divisheni 4

    Ndugu watanzania, tuamke kumekucha! Tuamke tupiganie haki yetu ya msingi ya kupewa elimu bora na sio bora elimu. Leo wakati katibu mtendaji wa NECTA anawasilisha matokeo nimemsikiliza kwa makini sana. Amedai eti ufaulu wa mwaka 2023 umepanda kwa 0.87% ukilinganisha na ufaulu wa mwaka 2022...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…