Leo tarehe 25/01/2024 Baraza la Mitihani Tanzania, litatangaza matokeo ya mtihani Kidato cha nne iliyofanyika mwaka jana.
Matokeo hayo yatatangazwa majira ya Saa 5:00 asubuhi kupitia youtube account ya Necta.
Matokeo hayo utayapata hapa punde tu baada ya kutangazwa.
Soma Pia Matokeo mengine...
Habari!
Nilikuwa nikipiga survey matokeo darasa la saba . La haula , katika shule za setikali taktibani 6 nilizoangalia sijaona A ya hesabu.
Somo la Kiswahili kama kawaida yake ni miaka zaidi ya 40 ndilo linaongoza kufaulisha.
Sasa somo la Kiswahili la nini zama hizi?
Setikali imeshindwa...
Wakati wanafunzi 226 wakitemwa katika ufadhili wa masomo wa Samia ‘Samia Scholarship’ kutokana na kushindwa kukidhi vigezo vya kuendelea kupata ufadhili huo, Serikali imewahakikishia kupata mikopo ili waendelee na masomo yao.
Wanafunzi hao ni kati ya 640 walionufaika na ufadhili huo katika...
Maadhimisho ya Siku ya Lishe Kitaifa katika Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya yamefanyika leo Oktoba 30, 2023 katika Uwanja wa Shule ya Msingi Katumba II , Mgeni Rasmi akiwa Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu.
Haniu amepongeza kwa hatua nzuri ya lishe iliyofikiwa katika Wilaya ya...
Hili kanisa lenye makabila 12 ya Israel Wapya wa Kiroho, Kanisa la Mlima Sayuni ni kanisa pekee duniani ambalo hujungi mpaka usome mwaka mzima na kufaulu mitihani mitatu kwa ufaulu wa zaidi ya alama 95%.
Maelfu wakifanya mtihani
Nina dogo langu kamaliza diploma in civil engineering (DIT) mwaka 2022 hapo tu, ana overall GPA ya 2.8, lakini GPA yake ya mwaka wa mwisho ni 3.1.
Sasa swali langu ni kwamba je, TCU wanaangalia overall GPA ya miaka yote mitatu ya diploma aliosoma au ya mwaka wa mwisho?
Maana siku za dirisha...
Mimi ni mwanafunzi nilie maliza kidato cha nne naomba kuulza ni kozi ipi nzuri ya ajira naweza kusomea na ikawa rahisi kuajiriwa au kujiajiri yani ambayo bado ina fursa nzuri za ajiraa.
Kuna vitu ukiangalia kwa jicho la kawaida kuna utofauti mkubwa sana kati ya kuongoza inchi kwa marais wetu, mfano nimebahatika kuuona utawala wa Mkapa,Kikweta,Magufuri mpaka Samia,
Niseme ukweli nilikuwa nawakubali Mkapa na Magufuli, ingawa sijui walipata division gani form four,ila nina...
Matokeo ya kidato cha sita 2023. Karibu shule zote daraja lenye idadi kubwa ya waliofanya vizuri ni daraja la kwanza ( Division one). Kwa matiki hiyo mambo yafuatayo yanaweza kujitokeza;
1. Kama vyuo vikuu vitachukua wanafunzi kulingana na uwezo wake kama miaka ya nyuma ni dhahili kuwa...
Madhara ya kupunguza viwango vya ufaulu wa masomo huzalisha ujinga mkubwa katika Taifa. Elimu ni jambo la kupewa kipaumbele katika Taifa kwasababu inaondoa ujinga na kuleta maarifa.
Yapo mataifa mengi yanayotilia mkazo swala la Elimu hata yameamua kupandisha viwango vya ufaulu badala ya...
Mara nyingi sana katika safari yangu ya elimu, walimu wamekuwa na tabia ya kusema kwamba uwezo wa mwanafunzi darasani lazima awe anawahi namba, hapigi kelele, awe mara hivi mara vile lakini unakuta wale vipanga wanaokuwa na uwezo (sio wa kariri) na maanisha wale waliokua wanaweza kusolve kila...
Nilisikia kupitia radio one leo asubuhi kuwa, takribani asilimia 70 ya watahiniwa wa kidato cha nne wamepata alama sifuri katika somo la Hesabu?
Kama ni kweli, nafikiri hakuna haja ya kutafuta Mchawi kwani tatizo liko wazi kabisa ambalo ni ukosefu wa Waalimu wenye sifa ya kufundisha somo la...
Baada ya necta kuja na utaratibu mpya wa kutotangaza shule vinara kwa kila upande ni wazi wametoa fursa kwa wadau kufanya utafiti juu ya matokeo haya na kufanya uchambuzi.
Pamoja na necta kujaribu kuficha ukweli hasa kuhusu shule za serikali lakini ukitazama matokeo utaweza kuzipanga shule .na...
habari za humu?
Huyu dogo amepata three ya 23 na matokeo kama ifuatavyo;
Civic-D, Hist-D, B/Math-F, Eng-D, Biology-C, Kiswahil-B, Physics-D, Chemistry-D
Sijawajua vizuri sana viongozi wa kada zingine, lakini nadiriki kusema hawa wanaopanda ngazi na kuwa viongozi wa walimu hubadilika na kuwa na roho ngumu sana!
Katika karne hii ya sayansi na teknolojia, kizazi hiki cha computers ambapo hata vishikwambi vimeanza kufikiriwa kugaiwa kwa kila...
Idadi hiyo sawa na 14.72% ya waliofanya Mtihani Nov 2022, watalazimika kukariri Masomo ya Kidato cha 2 kutokana na kufanya vibaya kwenye Mtihani wa Upimaji na kupata Daraja 0 (#Division0)
Pia, Wanafunzi 372,113 (58.74%) licha ya kufaulu, wamevuka Darasa kwa kupata kiwango cha chini ambacho ni...
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), limetangaza matokeo ya Darasa la Saba ya mwaka 2022. Matokeo yanaonesha watahiniwa zaidi ya Milioni 1.07 kati ya Milioni 1.34 waliofanya Mtihani ambayo sawa na asilimia 79.62 wamefaulu kwa kupata madaraja A, B na C.
Bonyeza hapa kuona matokeo darasa la saba...
Ningali ninaisaka ripoti kamili ya Dr. Mwakyembe kuhusiana na Law School nipate kuibukua kifungu kwa kifungu. Aliye nayo tafadhali itapendeza aki I share.
Hata hivyo nimefuatilia extracts kadhaa kutoka kwenye ripoti hiyo. Ama kwa hakika ni aibu mtupu yenye arrogance za kishamba.
Izingatiwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.