Idadi iyo ni sawa na 4.1% pekee kati ya wote waliofanya mtihani, huku wengine 484 wakitakiwa kurudia mtihani na 265 wakiondolewa kabisa baada ya kufeli.
Hali hiyo imefanya Wanasheria na wadau wengine kutaka iundwe Tume ya kuchunguza sababu akiwemo Jaji wa Mahakama Kuu Gabriel Malata aliyesema...
Hisabati ni somo linalohusisha namba, maumbo, mafumbo, uhusiano baina yao pamoja na vipimo mbalimbali (merrium webster). Sehemu kubwa ya somo hili ni namba 0 mpaka 9 ambazo humtaka mwanafunzi kuhudhurisha ubongo na fikra katika kutegua changamoto mbalimbali. Takwimu zinaonesha kumekuwa na ufaulu...
BUSTANI YA BOTANIC NA ZOOLOJIA, CHACHU YA UFAULU KWA MASOMO YA SAYANSI
Kuhusu Bustani ya Botanic.
Katika miaka ya hivi karibuni, watafiti na watunga sera kote ulimwenguni wamezidi kutoa wito wa umakini zaidi kuwekwa juu ya elimu kupitia kujifunza kwa...
Tanzania haifati meritocracy, hivyo viongozi wengi kuanzia chini mpaka Juu hawajawahi achieve chochote maishani ukiachia labda kuoa na kuanzisha familia, hilo nalo unaweza kulijadili pia kama hata kwenye Familia wamefanikiwa.
Ukingalia nchi nyingi utaona viongozi wanafika juu kwa merit, unaweza...
Utangulizi.
Elimu kwa maana pana ni tendo au uzoefu wenye athari ya kujenga akili, tabia ama uwezo wa kimaumbile wa mtu binafsi. Katika dhana ya kiufundi, elimu ni njia ambayo hutumiwa makusudi na jamii kupitisha maarifa, ujuzi na maadili kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine (Wikipedia). Elimu...
Hebu tujadili kwa pamoja, nini kipo nyuma ya mafanikio haya makubwa ya Mhe Joanfaith Kataraia Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Malinyi,tangu kuteuliwa kwake wakati wote ameongoza kwa Ufaulu wa juu kwenye mitihani ya ,PSLE,pamoja na mambo mengine mbalimbali,
==
Mhe Joanfaith akiwa...
Habari!
Kuna kitu hakiko sawa kwa watumishi wa umma karibu kada zote.
Wanahudumia watu ili liende tu wakijua mshahara na posho viko palepale.
Leo ngoja niwazungumzie walimu.
Mwanafunzi ni mteja wa mwalimu hivyo inapaswa amhudumie kama vile costomer care wa mitandao ya simu wanavyohudumia...
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Leo Baraza la Mitihani Taifa limetangaza matokeo ya kidato cha 6 na kwenye orodha ya shule 10 bora kuna shule takribani 3 za serikali zimeingia kwenye orodha hii.
Wote sisi ni mashahidi wa namna ambavyo Rais Samia Suluhu alivyoipa sekta ya elimu...
Ufaulu wangu wa kidato cha 4 ni B Kiswahili, zilozobaki zote D isipokuwa Math na Phys ni F na Chem D
Nishaurini nikasome kozi gani ngazi ya Ufaulu wangu wa kidato cha nne.
Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato Cha nne na kupata ufaulu ufuatao kwenye masomo ya sayansi, Physics-C, Chemistry-A, Biology-B, B/math-B.
Sasa nilikuwa nataka nifanye maombi yangu kwenye vyuo vya afya vya serikali kwa ngazi ya stashahada, na kozi ninayotaka kuisoma ni utabibu, je kwa...
Ninapata shida kidogo kuhusu kauli ya Prof Mkenda.
Wanaofaulu somo la Hisabati wanaajiriwa wapi?
Somo la hisabati linawasaidia nini wansfaulu kama wanashindwa kujiajiri na kuajiriwa?
Prof Mkenda, kwa ufahamu wako mkubwa tambua kuwa walimu wanao fundisha somo la Hisabati Form four walifeli...
Habari wakuu kwa matokeo haya
English D
Kiswahili D
Civics F
Biology D
geography C
B.math C
History D
Four ya 27
Hayo matokeo ni ya 2012 ,Sasa nataka kujua Kama ataweza kusoma CPA na aanzie wapi na itamchukua muda gani kumaliza na vipi kuhusu ada
Pia Kama Kuna vyuo vinavyotoa hio course...
Somo hili limekuwa na matokeo mabaya si kwa shule za sekondari tu bali pia hata shule za msingi, kwa miaka zaidi ya sita iliyopita wameendelea kutuaminisha kuwa ufaulu umeongezeka kila mwaka,yawezekana lakini kwa asilimia hizo ni hatari.
Jambo la kusikitisha Sana hakuna jitihada za maksudi...
Watanzania tumerogwa; yaani tunafurahia matokeo feki huku elimu yetu ikizidi kushuka kila mwaka. Aliyeturoga kafa. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya matokeo ya darasa la nne (SFNA), kidato cha pili (FTNA) na kidato cha nne (CSEE) kutolewa na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) hivi karibuni na...
Watu naona wanauliza uliza siri ya mafanikio ya baadhi ya shule binafsi za sekondari hapa nchini, siri ziko 2 tu, kwanza sio siri maana hizi mbinu japo sikubaliani nazo ila zinafahamika na zinatumika sana kwa shule binafsi zenye majina makubwa ili waendelee kupiga pesa ndefu. (Hii ni biashara...
Salaam wanaJF.
Kijana wangu matokeo yake ya form 4, ni kama ifuatavyo civics C,History D, Geography D,Swahili C,English D,Biology D,Math F.
Je anaweza kupata kombi gani hapo ya kuendelea na form 5? natanguliza shukrani kwa majibu yenu.
Tulimsikia Rais Samia akitoa mfano wa Zanzibar wa kuruhusu wasichana wanaopata mimba kurudi kuendelea na elimu ya sekondari kwenye shule za umma.
Lakini ambacho hakutaka kusema ni ufaulu hafifu wa muda mrefu wa Zanzibar kwenye mitihani ya kufuzu elimu ya sekondari. Ilifikia hatua hadi kudai...
Leo katika Mahafali ya UDSM, Hawa Mabinti ndio Wamekuwa Wanafunzi Bora Kupita wanafunzi Takribani Elfu 4 na wote wamepata GPA ya 4.7.
Wa Kulia anaitwa Bi Irene Cristopher Msengi aliyefuzu Digrii ya Awali ya Biashara katika Uhasibu,
Wa kushoto anaitwa Bi Edina Davis Meela aliyefuzu Digrii ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.