Je, Umewahi kujiuliza, kwa nini baadhi ya familia watoto wanakuwa na maadili mema, huku nyingine wakiwa na tabia mbaya?
Jibu lipo wazi, Binadamu unaweza kuandaa aina ya mtu/mtoto unayemtaka, kwa kuandaa mfumo wa mitazamo na fikra kulingana na tabia unayotaka awe nayo na kuzilisha kwenye...