ufisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Trafiki watatu wakamatwa wakipokea rushwa, mmoja atoroka

    Polisi Trafiki watatu walikamtwa jana Alhamisi 30/11/2023 asubuhi eneo ambalo maafisa wa kupambana na rushwa walisema ni maarufu kwa kukusanyia rushwa kando ya Barabara ya Mai Mahiu katika makutano ya Karagita huko Naivasha, Kaunti ya Nakuru Kulingana na Tume ya Maadili na Kupambana na Rushwa...
  2. A

    DOKEZO Rais Samia, unahujumiwa huku Morogoro katika miradi. Agiza uchunguzi wa haraka

    Kwa kipindi kirefu sasa rais wetu, mama Samia Suluhu Hassan amekuwa akihangaika kubuni mbinu mbalimbali kwa lengo la kutatua kero za wananchi. Sisi wananchi wa kata ya Lukobe, Morogoro tunathamini na kuunga mkono juhudi hizo. Ila kwa bahati mbaya kuna baadhi ya watendaji wake hawathamini juhudi...
  3. B

    Ufisadi shule ya Arusha primary school

    Shule ya Arusha primary ni moja kati ya shule kongwe sana nchini Tanzania zinazofundisha kwa lugha ya kiingereza. Ilianza rasmi mwaka 1932. Shule hii ambayo kwa sasa ipo chini ya Jiji , miezi ya karibuni imekuwa na mabadiliko mazuri ya kitaaluma, na kiutendaji, chini ya mwalimu mkuu Ridhiwan...
  4. Nyankurungu2020

    Ukweli mchungu: Paul Makonda hawezi kuisafisha CCM iliyochafuka kwa ufisadi.

    Wanachi wanalia kila kona kwa ugumu wa maisha. Kila kona ufisadi umetamalaki kila kona alafu mtu kama Makonda alete siasa za kwenda kuongea na wafu? Siasa za kupigia viongozi simu viongozi na kuhadaa kutatua kero zao wakati wameshaumia.
  5. Mlalahoi

    Zanzibar: kukithiri kwa ufisadi chini ya urais wa Dkt Mwinyi

    Hatua ya mwekezaji Mwingereza kuishtaki Zanzibar kutokana na uamuzi wa serikali ya Dkt Mwinyi kuvunja mkataba wa kukodi ardhi inaweza kuwa na athari kwa mwanasiasa huyo 2025. Kampuni ya Pennyroyal Ltd imefungua kesi dhidi ya Zanzibar katika Kituo cha Kimataifa cha Usuluhishi wa Migogoro ya...
  6. kmbwembwe

    Nyuma ya pazia nchi hii kuna ufisadi na uvunjaji mkubwa wa sheria

    Ukitaka kujua nyuma ya pazia nchi hii kuna ufisadi mkubwa na uvunjaji wa sheria angalia mambo haya mawili tu yaliyopigiwa kelele sana na wananchi. Kwanza kuna wale wabunge 19 wa chadema waliyotimuliwa uanachama na chama chao. Utaratibu tunaoujua tanzania mbunge akitimuliwa uanachama na chama...
  7. S

    Tazama jinsi wakubwa wanavyolindana kwenye suala la ufisadi

    Jichanganye ewe kijana uibe kuku.....utafungwa miaka 20. Jichanganye ewe askari polisi, hakimu, daktari na nesi, ule rushwa ya laki moja tu. Utafutwa kazi na kifungo cha miaka 20. Jichanganye ewe mwalimu ucheze muziki wa Zuchu tu. Utafutwa cheo na kama huna cheo utafutwa kazi. N.B: Kama bado...
  8. R

    Mwigulu, Makamba na Mbarawa hawahusiki na ufisadi

    Mawaziri Mwigulu Nchemba, January Makamba na Makame Mbarawa wanasingiziwa kuhusika na ufisadi kupitia ripoti ya CAG lakini ukweli ni kwamba viongozi hawa wanasingiziwa na hakuna uthibitisho wowote wa wao kuhusika na ufisadi. Hivyo tuwaache wafanye kazi walioaminiwa na Rais tusilazimishe...
  9. S

    Mpina ataka mdahalo na Mwigulu ufisadi wa Trilioni 30

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameomba kufanya mdahalo na Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba live kwenye Televisheni kuzungumzia kashfa ya ufisadi wa Trilioni 30 alizochambua kutoka ripoti ya CAG ili kukata mzizi wa fitna. Mpina alisema wakati anachangia ripoti ya CAG, Waziri Mwigulu...
  10. S

    Zanzibar ya Rais Mwinyi na tuhuma za ufisadi unaoanzia juu kabisa

    Asubuhi ya leo nikikatiza maeneo ya mbuyuni huku Mbezi Beach wakati naelekea mjini tulipofika maeneo ya Kwa Mwinyi, pale ilipo nyumba yake ya miaka mingi rafiki yangu akanionyesha kiwanja kikubwa chenye heka kadhaa. Akaniambia ni kwa sababu ya mvua tu lakini kuna michakato ya ujenzi wa Mall...
  11. Petro E. Mselewa

    Ripoti ya CAG: Bunge limehitimisha mjadala leo, nini kitafuata? Waliohusika na ufisadi na ubadhirifu watafanywaje?

    Kwa siku kadhaa, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Spika Dkt. Tulia Ackson limejadili Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG). Kimsingi, Wabunge wengi wameuona, wameusemea na kuukaripia ufisadi na ubadhirifu mkubwa ulioainishwa kwenye Ripoti ya CAG. Wabunge...
  12. Ikulu T

    Level ya ufisadi nchini haijawahi kufikiwa tangu tupate uhuru

    Mawaziri wanatumia mamlaka yao vibaya (huu pia ni wizi) Wakurugenzi wa taasisi wanaiba. Wakurugenzi wa halmashauri wanaiba. watumishi wa kawaida wa halmashauri wanaiba. Kibaya zaidi wezi hawa wanajulikana kwa mujibu wa CAG. Wabunge wanalalamika tu (toothless) Nchi yetu ipo ICU! kila kitu ni...
  13. J

    Dkt. Mwigulu asema Nchi haiwezi kupigwa Tsh. 30 Trilioni wakati Bajeti yetu haivuki Tsh. Trilioni 50, Mpina asema Waziri hajui lolote

    Mbunge Mpina asema hii nchi inapigwa kila kona na zaidi ya Tsh. 30 Trilioni zimepigwa na nyingine zimesafirishwa/ kutoroshwa nje ya nchi. Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba PhD amesema anachosema Mpina hakiwezekani kwa sababu Bajeti ya nchi haizidi tsh 50 trilioni. Mpina ameomba Waziri Dr...
  14. BARD AI

    Gavana wa Benki Kuu ya Burundi akamatwa kwa tuhuma za Ufisadi na Utakatishaji Fedha

    Wizara ya Sheria imethibitisha kukamatwa kwa Dieudonne Murengerantwari ikiwa ni siku chache tangu afukuzwe kazi Oktoba 8, 2023 akidaiwa Kudhoofisha Uchumi wa Taifa hilo, Kujihusisha na Rushwa, Utakatishaji Fedha na Ubadhirifu wa Mali za Umma. Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jenerali Leonard...
  15. Kamanda Asiyechoka

    Dkt. Slaa akamatwa kwa kufanya mkusanyiko usio halali huko Busokelo Rungwe

    Mwambata wa 'SAUTI YA WATANZANIA' na Mwanaharakati Dkt. Wilbroad Slaa, ameshindwa kufanya mkutano wake na waandishi wa habari uliotakiwa kufanyika mapema Jumatatu hii (Oktoba 09.2023) jijini Mbeya baada ya kuchukuliwa na maofisa wa Jeshi la Polisi kutoka hotelini alipofikia kwenda Ofisi ya...
  16. masopakyindi

    Ufisadi wa viwanja Mwanza: Hongera Waziri Mkuu Majaliwa kwa kuingilia kati

    Wizara ya Ardhi imeoza kwa rushwa. Sina uhakika kama Waziri Jerry Slaa ataziweza mbinu za ufisadi ndani ya Wizara ya Ardhi na Idara za Ardhi katika Halmashauri. Sakata la plots 194 na 195 Rwegasore Mwanza inatufungua macho. Nampongeza sana Waziri Mkuu Majaliwa kwa kulichunguza kwa undani swala...
  17. O

    DOKEZO Ufisadi wa kutisha Halmashauri ya Wilaya ya Rorya kupitia kampuni ya Ongujo Investment

    Waziri wa TAMISEMI na Taasizi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (PCCB) tumeni kikosi kazi kuchunguza Halmashauri ya Wilaya ya Rorya kuna ufisadi wa kutisha. Kampuni ya Ongujo Invesment inayomilikiwa na Ndg. Ongujo Wakibara (OWAN) ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Rorya imepewa zabuni ya...
  18. V

    Kuna ufisadi mkubwa umefanyika Katika ununuzi wa Mbaazi kutoka kwa wakulima wilayani Kiteto, Manyara

    Hali ya kushangaza na kustajabisha Katika zoezi la Mnada wa zao la Mbaazi. Kuna ufisadi mkubwa umefanyika Katika ununuzi wa Mbazi kutoka kwa wakulima wilayani Kiteto. Mnada wa kwanza na waoili kuna tani zaidi ya 150 zilichukuluwa kwa wakulima na kupakiwa kwenye Malori direct kutoka kwenye...
  19. Idugunde

    Hayati Magufuli aliwakomaza vyema CHADEMA sasa wametambua umuhimu wa kupinga ufisadi ili kulinda rasilimali za umma

    Hawa jamaa sasa wamekomaa kisiasa. Maana juu ya sakata la Bandari na mkataba tata wamekomaa. Huko nyuma walitaka kuleta siasa za kisanii wakadhani hayati Magufuli anapenda janjajanja. Alipowatosa wakaanza kuwa pingapinga. Wananchi wakadharau na kuwaona wapigaji tu. Ila sasa baada ya kubanwa na...
  20. Nyankurungu2020

    Ufisadi hauwezi kuisha sababu mkuu wa nchi ana 'double standard'. January Makamba alipiga dili la Mahindira Tech hakung'aka

    Mahindira Tech walikula Bil 71 za bure kwa madai eti ufanisi wa Tanesco utaongezwa . Leo hii January yupo tu kama mteule wa rais. Hatuoni ufanisi wa Tanesco zaidi ya Mgao wa umeme kuzidi. Watumishi wa Halimashauri wakipiga dili Mkuu wa nchi anag'aka. Hii ni double standard 👇
Back
Top Bottom