Athari za ufisadi nchini Tanzania zinaathiri maeneo mbalimbali ya jamii na uchumi. Hapa kuna baadhi ya athari kuu:
1. Kupoteza Rasilimali za Umma:
- Mapato ya Serikali: Ufisiadi husababisha upotevu wa mapato ya serikali kupitia ulaji wa fedha zinazotokana na kodi na rasilimali za umma.
-...
Hello !
Asubuhi asubuhi mwananchi yuko mlangoni kwa diwani kutaka chai , mchana ugali. Akiwa na mgonjwa kama hana pesa ya dawa mbio kwa diwani kuomba msaada.
Sasa diwani analemewa analazimika kukwapua kwenye fungu la kata ili aweze ku survive na kuonekana Mheshimiwa kama anavyotukuzwa ...
Haya mambo ya ajabu yanashangaza sana, huwezi kuta haya mambo ya kijinga yanafanywa na viongozi huko kwa wenye IQ 100+
Pia soma: Nchi yenye IQ kubwa Duniani
Hata hiyo namba tuliyonayo nahisi wame tupendelea tu.
Rank Country/Region IQ
1 Hong Kong * 106
2...
Kwa walio ushuhudia umri wa CHADEMA tokea kianzishwe ni wazi haupo wakati Chama hicho kinashuhudia wimbi la utengano uliyo bayana kama siku za hivi karibuni.
Kutuhumiana wazi wazi pasi na uficho kuhusu rushwa, ghiriba na ufisadi wao kwa wao ndani ya Chama ni hoja endelevu hadi wakati huu isivyo...
Ukiona rais anayeingia madarkani anasema atakomesha wizi huyi ni mwongo wala ukweli haumo ndani yake.
Hata Mungu amesharuhusu wizi pale aliposema mwenye nacho ataongezewa na asiyenacho hata kile anachoamini anacho atanyanganywa (ataibiwa)
Wakuu,
Nane-Nane ya Mwaka huu imegubwikwa na ufisadi wa hali ya juu hususani katikamaandalizi yake. Hii yangu inakuja kama muendelezo wa kile amba ho kiliwekwa wazi kwamba kuna vyoo viwili tu katika eneo lote kitu ambacho kimesababisha kero kubwa kwa washiriki.
Ukienda mbele zaidi haya ndio...
Mathalani, Ripoti ya Kielelezo cha Ufisadi wa Mwaka 2022 inaonesha kuwa nchi nyingi zinashindwa kukomesha ufisadi.
Kielelezo hiki cha Ufisadi hupanga nchi na maeneo 180 Duniani kwa viwango vyao vya ufisadi katika sekta za umma, na kutoa alama kuanzia alama sufuri 0 ikiashiria (ufisadi mkubwa)...
Shalom wana Jamii Forum.
Sijui ni kuzeeka vibaya au kuchanganyikiwa. Kila nikirejesha kumbukumbu zangu nyuma, sioni au kuona kama kuna mahali katika hotuba za Rais Samia Suluhu Hassan aliwahi kutamka kinywani mwake neno UFISADI .
Kama yupo mwenye ushahidi atuwekee clipu hapa walau nijue...
Kumekuwa na tabia iliyozoeleka ya mawaziri kuagiza makampuni na mashirika yaliyo chini ya wizara zao kutoa fedha kugharimia miradi mbalimbali bila utaratibu wa kisheria. Lakini kuna uwezekano mkubwa pia mawaziri huwa wanachukua fedha kutoka makampuni na mashirika kwa ajili yao binafsi! Huu ni...
BENKI ya ushirika mkoani Kilimanjaro,imeanziaha uchunguzi wa tuhuma za ufisadi wa mabilioni ya fedha za benki hiyo zinamkabili kigogo mmoja ndani ya benji hiyo .
Taarifa kutoka ndani ya benki hiyo zinadai kuwa uchunguzi huo unafanywa kwa ushirikiano na Benki kuu (BoT) na Benki ya CRDB...
Tubadili mfumo wa kupambana na rushwa.
Katika jamii yetu, taasisi iliyokubwa kuliko taasisi zote ni taasisi ya rushwa.
Hata mtoto mdogo wa miaka 7 au nane anaweza kikuhadithia kwamba mzazi alipata tatizo hili au lile kwa sababu hakuwa na hela ya kuhonga asaidiwe hawezi kutatuliwa tatizo hili au...
Ukweli ni kuwa ndg Tulia hajawahi kuwa kipenzi cha wana mbeya kwa kiwango kikubwa
2020 alishinda ubunge kwa heshima ya magufuli, magufuli alikubalika sana mbeya upepo ukawa upande wa Tulia
Sina shaka na kichwa cha tulia akson ni very bright ila ni km yupo dilemma hajui aongozaje bunge...
Ni kama ndoto ya usiku wa manane, nazishuhudia zile siku nzito zisizosahaulika za kampeni za wabunge na urais mwaka 2015 , namshuhudia Hayati Dkt John Pombe Magufuli, akimwaga sera zake za kuomba kuchaguliwa kuwa rais, ana iahidi Tanzania na ulimwengu kuwa akichaguliwa tu, ataanzisha mahakama...
Leo hii
Nimepata wasaa wa kupata chai asubuhi kwenye kijiwe chetu mtaani,
Jaji kaongea Kwa uchungu anasema ni kweli sisi majaji maslahi yetu ni kama tuko peponj na hatuna shida hata moja,
Akaendelea kusema ile kufungua nchi uliingia pia uchafu wa kutosha,
Akasema hivi unakumbuka ziara za...
https://youtu.be/8e1UBU81_gc?si=2Q1GQkjkwy7vREo7
Nisiwachoshe.....
Uliibuliwa uozo wa kutisha na Lissu kuhusu ufisadi wa sukari. Uozo huo umejengewa hoja bungeni na Mpina. Bashe amepiga pesa kubwa, Lissu anasema Bashe ameshirikiana na Abdul kuuza vibali kimagumashi.
Kabla ya upigaji wa sukari...
Ukiacha ulechango wa harusi ambapo naibu waziri Ridhiwani alichangia million 30 leo ameposti kuwa wamechinja zaidi ya Ng'ombe 1500 kwa ajili ya idi.
Chalinze hakuna maji, kumejaa umaskini hasa huko ndani ndani ,shule zipo hovyo zimejaa nyufa hakuna madarasa ila mbunge anajisifia kuchinja...
Kwa huu ufisadi wa mawaziri na watendaji wengine unaoendelea nchini, ningekuwa Rais ningeukomesha ndani ya siku 100 za mwanzo katika uongozi wangu. Ningetunga sheria ya ufisadi na uhujumu uchumi ambayo ufisadi unaozidi mabilion adhabu yake ni kifo.
Kwamba kesi za namna hiyo sheria itaweka wazi...
Makala: Vyama Vingi ni Chanzo cha Ufisadi na Umaskini Tanzania?
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imepiga hatua kubwa katika mchakato wa demokrasia kwa kuruhusu mfumo wa vyama vingi. Hata hivyo, suala la vyama vingi limekuwa na mjadala mkali, huku baadhi ya watu wakidai kuwa mfumo huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.