Kwanini CHADEMA wanaona aibu kukemea ufisadi ndani ya chama chao?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Wanaogopana au ufisadi ndani ya chadema ndio mtindo wa maisha ya viongozi wao hasa wa kitaifa?

Chadema hawajui kwamba ufisadi ni adui wa haki? Au chadema wanapambania haki za mafisadi kama yule kiongozi anaekabiliwa na tuhuma nzito sana za ufisadi na matumizi ya rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na ya familia yake?

Au chadema wanapenda viongozi mafisadi na kwamba hao ndio majasiri?

Kwanini viongozi wa chadema taifa wanaona haya na wanaona aibu kukemea ufisadi ndani ya chama chao?

Watawezaje sasa kuaminika na kuungwa mkono na wananchi hali ya kua wanaona aibu kukemea ufisadi ndani ya chama chao na kuchukua hatua dhidi ya mafisadi ndani ya chama chao?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Chadema hawajui kwamba ufisadi ni adui wa haki? Au chadema wanapambania haki za mafisadi kama yule kiongozi anaekabiliwa na tuhuma za ufisadi na matumizi ya rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na ya familia yake?

Au chadema wanapenda viongozi mafisadi na kwamba hao ndio majasiri?

Kwanini viongozi wa chadema taifa wanaona haya na wanaona aibu kukemea ufisadi ndani ya chama chao?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Jizi na lipendwa rushwa limepost
 
Wanaogopana au ufisadi ndani ya chadema ndio mtindo wa maisha ya viongozi wao hasa wa kitaifa?

Chadema hawajui kwamba ufisadi ni adui wa haki? Au chadema wanapambania haki za mafisadi kama yule kiongozi anaekabiliwa na tuhuma nzito sana za ufisadi na matumizi ya rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na ya familia yake?

Au chadema wanapenda viongozi mafisadi na kwamba hao ndio majasiri?

Kwanini viongozi wa chadema taifa wanaona haya na wanaona aibu kukemea ufisadi ndani ya chama chao?

Watawezaje sasa kuaminika na kuungwa mkono na wananchi hali ya kua wanaona aibu kukemea ufisadi ndani ya chama chao na kuchukua hatua dhidi ya mafisadi ndani ya chama chao?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Screenshot_20260714-183814~2.png
 
Jizi na lipendwa rushwa limepost
don't panic plz gentleman,

jikite kwenye hoja mahususi mezani au kaa kimya tu ikiwa uko pointless na itapendeza zaidi 🐒
 
Wanaogopana au ufisadi ndani ya chadema ndio mtindo wa maisha ya viongozi wao hasa wa kitaifa?

Chadema hawajui kwamba ufisadi ni adui wa haki? Au chadema wanapambania haki za mafisadi kama yule kiongozi anaekabiliwa na tuhuma nzito sana za ufisadi na matumizi ya rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na ya familia yake?

Au chadema wanapenda viongozi mafisadi na kwamba hao ndio majasiri?

Kwanini viongozi wa chadema taifa wanaona haya na wanaona aibu kukemea ufisadi ndani ya chama chao?

Watawezaje sasa kuaminika na kuungwa mkono na wananchi hali ya kua wanaona aibu kukemea ufisadi ndani ya chama chao na kuchukua hatua dhidi ya mafisadi ndani ya chama chao?🐒

Mungu Ibariki Tanzania

Huu ndio ufisadi wa kukemewa
 
Attachments

  • Screenshot_20260728_234221.jpg
    Screenshot_20260728_234221.jpg
    351.4 KB · Views: 13
Onyesha Uzi wako wowote unaokemea mauaji au ufisadi ndani ya CCM
jikite kwenye hoja mahususi mezani gentleman na itapendeza zaidi,

lakini ikiwa una porojo yoyote ile nje ya hoja mahususi mezani, ni vizuri sana ukiandikia uzi mahususi jukwaani na itapendeza zaidi kuliko kumbwelambwela vitu useless nje ya hoja mahususi mezani 🐒
 
Inashangaza ila hili jambo litawatafuna hapo baadae

Wanajenga msingi mbovu sana.
 
Wanaogopana au ufisadi ndani ya chadema ndio mtindo wa maisha ya viongozi wao hasa wa kitaifa?

Chadema hawajui kwamba ufisadi ni adui wa haki? Au chadema wanapambania haki za mafisadi kama yule kiongozi anaekabiliwa na tuhuma nzito sana za ufisadi na matumizi ya rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na ya familia yake?

Au chadema wanapenda viongozi mafisadi na kwamba hao ndio majasiri?

Kwanini viongozi wa chadema taifa wanaona haya na wanaona aibu kukemea ufisadi ndani ya chama chao?

Watawezaje sasa kuaminika na kuungwa mkono na wananchi hali ya kua wanaona aibu kukemea ufisadi ndani ya chama chao na kuchukua hatua dhidi ya mafisadi ndani ya chama chao?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Unaota kibanzi kwenye jicho la mwenzako, wakati lako Lina boriti ndani yake
EPA, Escrow,Bwawa la mwalimu Nyerere,Kolimba mkamkolimba(Rip), Wewe nawe!
 
Machawa mnahangaika kama nguruwe yupo mwezini anataka kupandwa......

Pambaneni huko kwenye chama chenu moto unawaka.... bosi na msaidizi wake hawakai chungu kimoja
 
Huu ndio ufisadi wa kukemewa
kwahiyo gentleman,
tuhuma za ufisadi ndani ya chadema iwe funika kombe mwanaharamu apite right?

sasa kama ni hivyo,
wataaminika kweli kwa wananchi, ikiwa ufisadi kwao ni funika kombe mwanaharamu apite?:pedroP:
 
Wanaogopana au ufisadi ndani ya chadema ndio mtindo wa maisha ya viongozi wao hasa wa kitaifa?

Chadema hawajui kwamba ufisadi ni adui wa haki? Au chadema wanapambania haki za mafisadi kama yule kiongozi anaekabiliwa na tuhuma nzito sana za ufisadi na matumizi ya rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na ya familia yake?

Au chadema wanapenda viongozi mafisadi na kwamba hao ndio majasiri?

Kwanini viongozi wa chadema taifa wanaona haya na wanaona aibu kukemea ufisadi ndani ya chama chao?

Watawezaje sasa kuaminika na kuungwa mkono na wananchi hali ya kua wanaona aibu kukemea ufisadi ndani ya chama chao na kuchukua hatua dhidi ya mafisadi ndani ya chama chao?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Nyinyi ccm nilini mliwahi kukemea ufisadi unaofanyika kwa mujibu wa ripoti ya CAG?
 
kwahiyo gentleman,
tuhuma za ufisadi ndani ya chadema iwe funika kombe mwanaharamu apite right?

sasa kama ni hivyo,
wataaminika kweli kwa wananchi, ikiwa ufisadi kwao ni funika kombe mwanaharamu apite?:pedroP:
Nyie mnao tawala mmeaminiwa na nani?
 
Machawa mnahangaika kama nguruwe yupo mwezini anataka kupandwa......

Pambaneni huko kwenye chama chenu moto unawaka.... bosi na msaidizi wake hawakai chungu kimoja
Maneno ya Jakaya nayakumbuka snaa kuwa ndani ya ccm hawaachiani glass mezani
 
Nyie mnao tawala mmeaminiwa na nani?
hiyo ungeiandikia uzi maalumu jukwaani ingemake sense sana gentleman.

why chadema wanaona aibu kukemea ufisadi kwa maoni yako huru gentleman?, usiogope sema tu :1Head:
 
Back
Top Bottom