kwahiyo Lema na Sugu walipowapeleka marafiki zao kwa makamu mwenyekiti wa chadema ili kuwasilisha mamilioni ya michango yao kwajili ya chadema kupitia makamu mwenyekiti ilikua ni script?
Na Makamu mwenyekiti alipokua anawapa wachangiaji hao account yake binafsi badala ya kuwapa account ya chama ilikua ni script?
Haya,
makamu mwenyekiti wa chadema taifa kapokea mamilioni ya pesa za michango ya wadau, asiziwasilishe kwenye chama akaanza kuzitusua tu mwenyewe, hiyo nayo ni script?
Lema kuuliza kama hayo mamilioni yaliyotolewa na marafiki zake kwaajili ya chama kama yamefikishwa kwenye account ya chadema, nayo ni script?
nadhani mkutano mkuu utawaka motro aise 🐒