Kweli Nyani haoni kundule, yaani mafisadi,majizi,majangili yalivyojazana mbogamboga I leo mnapata wapi ujasili wa kuhoji mambo ya cdm?Inashangaza ila hili jambo litawatafuna hapo baadae
Wanajenga msingi mbovu sana.
Kwa fedha gani zilizopo cdm?hiyo ungeiandikia uzi maalumu jukwaani ingemake sense sana gentleman.
why chadema wanaona aibu kukemea ufisadi kwa maoni yako huru gentleman?, usiogope sema tu![]()
Gentleman,Unaota kibanzi kwenye jicho la mwenzako, wakati lako Lina boriti ndani yake
EPA, Escrow,Bwawa la mwalimu Nyerere,Kolimba mkamkolimba(Rip), Wewe nawe!

Kuna muda watapigwa kweli na itawauma sana ila kutokana na ujinga wao watashindwa kuwajibishana.uko sahihi 100%![]()
Gentleman,Machawa mnahangaika kama nguruwe yupo mwezini anataka kupandwa......
Pambaneni huko kwenye chama chenu moto unawaka.... bosi na msaidizi wake hawakai chungu kimoja

kwahiyo gentleman,
tuhuma za ufisadi ndani ya chadema iwe funika kombe mwanaharamu apite right?
sasa kama ni hivyo,
wataaminika kweli kwa wananchi, ikiwa ufisadi kwao ni funika kombe mwanaharamu apite?![]()
Mtakuja kupigwa na itawauma ila kutokana na misingi mibovu mtashindwa kuwajibishana.Kweli Nyani haoni kundule, yaani mafisadi,majizi,majangili yalivyojazana mbogamboga I leo mnapata wapi ujasili wa kuhoji mambo ya cdm?
kwanini sasa viongozi waliohoji huo ufisadi ndani ya chadema wanavuliwa uongozi ikiwa ni pesa kidogo tu zimeliwa na anaetuhumiwa?Ufisadi kwa ela gani?
Hawana ruzuku
Hawana misaada
Sasa ufisadi wa kitu gani?
Labda ufisadi wa kuuza kombati

Kama nyinyi mnavyopigwa hadi mnaamua kuwateka watuMtakuja kupigwa na itawauma ila kutokana na misingi mibovu mtashindwa kuwajibishana.
Manake wote wameoza, mboga mboga ndie kinara,uliko Wewe tlahtlah na Mwashambwa,Dr wa manesi,Samia again2025nk,Acha tonetone washing, Heche na TAL na chedema ndio habari ya mjini na vijijini, mboga mboga imebaki,zilipendwa!Gentleman,
nenda moja kwa moja kutoa maoni yako dhidi ya hoja mahususi mezani kabla hujaeleza porojo zingine ingependeza zaidi![]()
Tunahitaji kwanza mtupatie mrejesho wa ripoti ya CAGkwani alizofisidi anaetuhumiwa ni kiasi gani gentleman?
maana mpaka viongozi wanavuliwa uongozi kwasababu wamejaribu kuhoji ufisadi huo kuna kitu kikubwa kimeliwa hapo![]()
Hata hakuna uhusianoKama nyinyi mnavyopigwa hadi mnaamua kuwateka watu
kwanini sasa viongozi waliohoji huo ufisadi ndani ya chadema wanavuliwa uongozi ikiwa ni pesa kidogo tu zimeliwa na anaetuhumiwa?![]()
Kuna hoja gani hapa zaidi ya upumbavu unaandika hapajikite kwenye hoja mahususi mezani gentleman na itapendeza zaidi,
lakini ikiwa una porojo yoyote ile nje ya hoja mahususi mezani, ni vizuri sana ukiandikia uzi mahususi jukwaani na itapendeza zaidi kuliko kumbwelambwela vitu useless nje ya hoja mahususi mezani 🐒