King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Kama una ushahidi peleka ofisi ya katibu mkuu bwashee.Wanaogopana au ufisadi ndani ya chadema ndio mtindo wa maisha ya viongozi wao hasa wa kitaifa?
Chadema hawajui kwamba ufisadi ni adui wa haki? Au chadema wanapambania haki za mafisadi kama yule kiongozi anaekabiliwa na tuhuma nzito sana za ufisadi na matumizi ya rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na ya familia yake?
Au chadema wanapenda viongozi mafisadi na kwamba hao ndio majasiri?
Kwanini viongozi wa chadema taifa wanaona haya na wanaona aibu kukemea ufisadi ndani ya chama chao?
Watawezaje sasa kuaminika na kuungwa mkono na wananchi hali ya kua wanaona aibu kukemea ufisadi ndani ya chama chao na kuchukua hatua dhidi ya mafisadi ndani ya chama chao?🐒
Mungu Ibariki Tanzania

