Tuhuma za ufisadi zimepunguza kasi ya uropokaji wa makamu mwenyekiti wa chadema taifa.

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Ni wazi ana mfadhaiko, wasi wasi na majuto makali sana hasa baada ya wanaojaribu kutetea ufisadi wake ndani ya chadema kukosa ushawishi na hoja zenye mashiko za kumsafisha na tuhuma hizo za ufisadi. Ni wazi anajiona na anahisi ana hatia, na hana tena nguvu na uhalali wa kuendelea kua kiongozi wa kitaifa wa chadema.

Mbaya zaidi,
makundi yaliyojipanga vizuri sana kumlipua kwa vielelezo na ushahidi usio na shaka dhidi ya ufisadi wake ndani ya chama kwenye mkutano wa baraza kuu la chadema taifa September 15,2026, yanampa kiwewe zaidi.

Lakini pia viongozi wanzake wa kitaifa kujitenga nae na kujaribu kumkwepa kisirisiri kuna muumiza kichwa zaidi mtuhumiwa huyo wa ufisadi wa pesa za chadema kwa manufaa yake binafsi na ya familia yake.

Kama mdau wa jf jukwaa la siasa, unadhani ni kitu gani kingine kimefanya kiongozi huyo anaetuhumiwa kwa ufisadi chadema kupunguza uropokaji na kua mnyonge sana?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Inatakiwa Ajiuzulu kabisa
Mkuu hata kama ni mimi nisingejiuzulu kwasababu watu niliotafuna pesa zao ndo wa kwanza kunitetea na wako tayari kuchanga tena nizitafune kwa mara nyingine. Mfano kwa sasa kuna 334m zinachangwa ambapo Heche peke yake anaweza jipigia kama 200m. Kuna utajiri mkubwa mtu anapata akiongoza nyumbu za CHADEMA.
 
Unajua kwanini wanasaikolojia wanaamini kwamba pamoja na athari nyingine, mpiga punyeto anaathirika zaidi kisaikolojia?

Ni kwasababu kitendo chenyewe cha kufanya punyeto kinatokana na mambo ya kisaikolojia ikiwemo upweke, msongo wa mawazo, kujihisi hauna thamani mbele ya wanawake warembo/wanaume marijali.

Hii hupelekea kuamua kutafuta namna ya mtu kujiridhisha lakini matokeo yake ni kwamba badala ya kujiridhisha inakuwa kujidanganya na kujiumiza kihisia na kisaikolojia

Hii ndio hali mliyofikia nyie viumbe mnaojidanganya kuitetea serikali na watawala wake kwa kila jambo

Mnadhani kwa kufanya hivyo mtapata chochote lakini matokeo yake yanayofanywa na serikali katika nchi hii hayawabagui bali yanatuumiza sote

Hospitali mnazotibiwa ndo hizo hizo tunazotibiwa, shule wanazosoma watoto wenu ndo hizo hizo, maji mnayotumia ndo hayo hayo tunayotumia, kero zote zinazosababishwa na ufisadi, uzembe na kutowajibika kwa serikali madhara yake yanatupata sote

Hivyo basi, kuamua kumuandama anayajaribu kukemea upuuzi unaofanywa na serikali hii ni sawa na kuamua kupiga punyeto kwa lengo la kujiridhisha bila kujua unazidi kujiumiza

Endeleeni kupiga punyeto, madhara yake mtayaona mbeleni
 
Mkuu hata kama ni mimi nisingejiuzulu kwasababu watu niliotafuna pesa zao ndo wa kwanza kunitetea na wako tayari kuchanga tena nizitafune kwa mara nyingine. Mfano kwa sasa kuna 334m zinachangwa ambapo Heche peke yake anaweza jipigia kama 200m. Kuna utajiri mkubwa mtu anapata akiongoza nyumbu za CHADEMA.
Heche anaongoza Nyumbu
 
Ni wazi ana mfadhaiko, wasi wasi na majuto makali sana hasa baada ya wanaojaribu kutetea ufisadi wake ndani ya chadema kukosa ushawishi na hoja zenye mashiko za kumsafisha na tuhuma hizo za ufisadi. Ni wazi anajiona na anahisi ana hatia, na hana tena nguvu na uhalali wa kuendelea kua kiongozi wa kitaifa wa chadema.

Mbaya zaidi,
makundi yaliyojipanga vizuri sana kumlipua kwa vielelezo na ushahidi usio na shaka dhidi ya ufisadi wake ndani ya chama kwenye mkutano wa baraza kuu la chadema taifa September 15,2026, yanampa kiwewe zaidi.

Lakini pia viongozi wanzake wa kitaifa kujitenga nae na kujaribu kumkwepa kisirisiri kuna muumiza kichwa zaidi mtuhumiwa huyo wa ufisadi wa pesa za chadema kwa manufaa yake binafsi na ya familia yake.

Kama mdau wa jf jukwaa la siasa, unadhani ni kitu gani kingine kimefanya kiongozi huyo anaetuhumiwa kwa ufisadi chadema kupunguza uropokaji na kua mnyonge sana?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Unatamani Afe!Mmesitisha mikutano,umeenda mauzauza!
 
Back
Top Bottom