Ulishafanya kama nilichofanyal leoandikia uzi mahususi jukwaani na itapendeza zaidi gentleman 🐒
hilo pepo la mauti likupishilie mbali gentleman,Unatamani Afe!Mmesitisha mikutano,umeenda mauzauza!
🚮🚮🚮💩💩tuliza mihemko useless jukwaani ikiwa uko pointless na itapendeza zaidi gentleman 🐒
Inatakiwa Ajiuzulu
mmepewa kazi ngumu vibaya sana. mlisema michango inasuasua, lakini wamebakiza chini ya 25% kupata kiwango wanachotaka. Jana kaingia Mwanza nyomi na vibe kama lote. Yaani mnapaka rangi upepo.😂😂Ni wazi ana mfadhaiko, wasi wasi na majuto makali sana hasa baada ya wanaojaribu kutetea ufisadi wake ndani ya chadema kukosa ushawishi na hoja zenye mashiko za kumsafisha na tuhuma hizo za ufisadi. Ni wazi anajiona na anahisi ana hatia, na hana tena nguvu na uhalali wa kuendelea kua kiongozi wa kitaifa wa chadema.
Mbaya zaidi,
makundi yaliyojipanga vizuri sana kumlipua kwa vielelezo na ushahidi usio na shaka dhidi ya ufisadi wake ndani ya chama kwenye mkutano wa baraza kuu la chadema taifa September 15,2026, yanampa kiwewe zaidi.
Lakini pia viongozi wanzake wa kitaifa kujitenga nae na kujaribu kumkwepa kisirisiri kuna muumiza kichwa zaidi mtuhumiwa huyo wa ufisadi wa pesa za chadema kwa manufaa yake binafsi na ya familia yake.
Kama mdau wa jf jukwaa la siasa, unadhani ni kitu gani kingine kimefanya kiongozi huyo anaetuhumiwa kwa ufisadi chadema kupunguza uropokaji na kua mnyonge sana?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Jizi na lipenda rushwa limepost tenaNi wazi ana mfadhaiko, wasi wasi na majuto makali sana hasa baada ya wanaojaribu kutetea ufisadi wake ndani ya chadema kukosa ushawishi na hoja zenye mashiko za kumsafisha na tuhuma hizo za ufisadi. Ni wazi anajiona na anahisi ana hatia, na hana tena nguvu na uhalali wa kuendelea kua kiongozi wa kitaifa wa chadema.
Mbaya zaidi,
makundi yaliyojipanga vizuri sana kumlipua kwa vielelezo na ushahidi usio na shaka dhidi ya ufisadi wake ndani ya chama kwenye mkutano wa baraza kuu la chadema taifa September 15,2026, yanampa kiwewe zaidi.
Lakini pia viongozi wanzake wa kitaifa kujitenga nae na kujaribu kumkwepa kisirisiri kuna muumiza kichwa zaidi mtuhumiwa huyo wa ufisadi wa pesa za chadema kwa manufaa yake binafsi na ya familia yake.
Kama mdau wa jf jukwaa la siasa, unadhani ni kitu gani kingine kimefanya kiongozi huyo anaetuhumiwa kwa ufisadi chadema kupunguza uropokaji na kua mnyonge sana?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
🐒Duru zinaeleze kua kwasasa mwenyekiti huyo mstaafu ana ratiba ngumu binafsi ya ng'ambo ya nchi, na mara atakapo kua mazingira ya nyumbani, basi ziara hiyo maalumu ya makamu mwenyekiti wa chadema taifa itafanyika kadiri ilivyopangwa.
Je,
ikiwa atafanya hivyo,
unadhani agenda kuu ya makamu mwenyekiti kwenda kwa mwenyekiti huyo mstaafu wa chadema taifa, itakua ni kuomba msamaha kwa yaliyopita, kuomba ushauri dhidi ya tuhuma za ufisadi zinazomkabili ndani ya chadema au anaenda kuomba mchango kwajili ya kugharamia wajumbe wa baraza kuu la chadema taifa?
Ni yapi maoni yangu my friends, ladies...
- Tlaatlaah
- baraza chadema kabla kuu makamu makamu mwenyekiti makamu mwenyekiti wa chadema mkutano mstaafu mwenyekiti mwenyekiti wa chadema taifa
- Replies: 13
- Forum: Jukwaa la Siasa
Unaota ndoto za mchana, gentleman hakuna ufisadi hizo ni porojo Zako tuu!hilo pepo la mauti likupishilie mbali gentleman,
naomba neema na Baraka za Mungu mafisadi kama heche wasife ili tushuhudie kwa pamoja jinsi wanavyoaibika kwa tamaa zao binafsi dhidi ya pesa za wanachadema maskini kabisa 🐒
Yaani wewe pamoja na Lucas Mwashambwa msipomsikia Heche mnawashwa balaa, akitoka na kuzungumza bado mnaendelea kuwashwa.Ni wazi ana mfadhaiko, wasi wasi na majuto makali sana hasa baada ya wanaojaribu kutetea ufisadi wake ndani ya chadema kukosa ushawishi na hoja zenye mashiko za kumsafisha na tuhuma hizo za ufisadi. Ni wazi anajiona na anahisi ana hatia, na hana tena nguvu na uhalali wa kuendelea kua kiongozi wa kitaifa wa chadema.
Mbaya zaidi,
makundi yaliyojipanga vizuri sana kumlipua kwa vielelezo na ushahidi usio na shaka dhidi ya ufisadi wake ndani ya chama kwenye mkutano wa baraza kuu la chadema taifa September 15,2026, yanampa kiwewe zaidi.
Lakini pia viongozi wanzake wa kitaifa kujitenga nae na kujaribu kumkwepa kisirisiri kuna muumiza kichwa zaidi mtuhumiwa huyo wa ufisadi wa pesa za chadema kwa manufaa yake binafsi na ya familia yake.
Kama mdau wa jf jukwaa la siasa, unadhani ni kitu gani kingine kimefanya kiongozi huyo anaetuhumiwa kwa ufisadi chadema kupunguza uropokaji na kua mnyonge sana?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
jikite kwenye hoja mahususi mezani gentleman bila kuweweseka na kumbwelambwela mambo useless na itapendeza zaidi.Yaani wewe pamoja na Lucas Mwashambwa msipomsikia Heche mnawashwa balaa, akitoka na kuzungumza bado mnaendelea kuwashwa.
porojo kivipi tena gentleman,Unaota ndoto za mchana, gentleman hakuna ufisadi hizo ni porojo Zako tuu!
Heche ni ni fisadiYaani wewe pamoja na Lucas Mwashambwa msipomsikia Heche mnawashwa balaa, akitoka na kuzungumza bado mnaendelea kuwashwa.