CHARLES Kitwanga, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi amesema kuwa, hajutii ‘kutumbuliwa’ na Rais John Magufuli, anaandika Moses Mseti.
Ametoa kauli hiyo wikiendi iliyopita jimboni kwake Misungwi jijini Mwanza ikiwa ni takribani mwezi mmoja baada ya kung’olewa kwenye nafasi hiyo...
Ni baada ya Kamati ya Bunge iliyopewa kazi ya kufuatilia Sakata la Lugumi kuthibitisha kuwa vifaa mashine hizo zimefungwa katika vituo vyote.
Agizo hilo limetolewa na Bunge kupitia kwa Naibu Spika, Dr. Tulia Ackson wakati akiahirisha Bunge la 11 leo mjini Dodoma
==========
Habari wakuu,
Leo...
Wakati sakata la kampuni ya LUGUMI Enterprises likiendelea kutikisa nchi, mashine za utambuzi wa alama za vidole, zimeanza kufungwa katika mikoa kadhaa ikiwamo ya Dodoma na Geita.
Uchunguzi wa Mwananchi unaonyesha kwamba juzi mashine hizo zilifungwa katika vituo vya polisi vya wilaya za Mpwapwa...
Baada ya kuwasilishwa Hotuba ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ndani ya Bunge la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, ilitakiwa kuwasilishwa Hotuba ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ikitakiwa kuwasilishwa na Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani katika...
Breaking News : Mama wa Said Lugumu afariki dunia akiwa njiani kuja Dar kwa matubabu zaidi ,alipata tatizo la moyo baada ya tuhuma za kutisha za ufisadi kwa mwanae . Mr Lugumi kwa sasa yuko njiani kuelekea Mwanza kuandaa maazishi . Mungu amlaze marehemu mahali pema peponi , Amin!
Akielezea...
Mkuu wa Jeshi la Polisi – Inspekta Jenerali (IGP), Ernest Mangu amekanusha madai ya wabunge na hata taarifa zinazosambaa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari kuhusu kampuni ya Lugumi kushindwa kufunga mashine kwenye vituo vya Polisi 108 kama mkataba wake ulivyomtaka.
Akizungumza mwishoni mwa...
mkalamo
Ndugu waandishi wa habari , nimewaita hapa leo ili niweze kutoa ufafanuzi wa mambo kadhaa kwa niaba ya Kampuni yetu ya LUGUMI ENTERPRISES LTD, kwa siku kadhaa kumekuwa na habari mbali mbali za kuchafua na kudhalilisha Kampuni yetu pamoja na Mimi Said Lugumi ambaye ni Mkurugenzi...
Utakatishaji mwingine wa fedha huu, benki hizi tatu ni lazima BOT wawapige faini.
===================================
In Summary
The Financial Intelligence Unit (FIU) reportedly investigated the suspicious transactions after bankers detected an unusual movement of funds from several accounts...
Waziri wa Mambo ya ndani Charles Kitwanga amekana kuhusika kabisa na kampuni ya Lugumi ambayo kwa sasa inakabiliwa na kashfa nzito ya rushwa na uhujumu uchumi ambayo ilipewa tenda ya kufunga vifaa vya kuchukulia alama za vidole kwenye vituo vyote vya polisi kwenye Wilaya zote nchini na kushindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.