Kuna mtindo ndani ya CCM kuwateua walioshindwa ktk mchakato wa ubunge kushika nafasi za utendaji serikalini. Ni makosa na hasara kwa wananchi wanaohitaji utendaji bora.
Hawa ni wanasiasa wasio na utendaji mzuri kitaaluma na wanaweza kuwa wamefikia ukomo wa fikra ktk serikali. Wanapoteuliwa ktk...
Government Procurement Service Agency (GPSA) tatizo ni management kama yule DBSS hafai kabisa kuwa ofisini ni fisadi halafu mbinafsi na mbaya Zaidi anawahonga wakaguzi wanapokuja kumkagua na mambo yanaisha, na ili kulinda ugali wake anawala (anawagegeda) wafanyakazi wa kike walio wepesi...
Hizi jumuiya za CCM yaani UWT, UVCCM na Wazazi zimekuwa zikihusishwa na ufisadi unaokichafua chama mara kwa mara.
Last year ilikuwa UVCCM ambapo CAG Prof Assad alifoka sana leo ten Jumuiya ya wazazi imerudia yale yale na kukemewa vikali na Kichere.
Kama vipi hizi Jumuiya zivunjiliwe mbali ili...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema katika ukaguzi unaoishia Juni 30, 2019 amebaini Balozi za Tanzania nchini Brazil, Nigeria na Stockholm(Sweden aliko Dr. Wilbroad Slaa) zimetumia Sh1.02 bilioni kukodi nyumba za makazi kiasi ambacho kingeepukika kama...
Prof. Mahalu amemtuhumu Kikwete kwamba akiwa Rais alimfungulia kesi ya ufisadi kiuonevu, wakati yeye mwenyewe Kikwete ndiye aliyesimamia uuzaji wa nyumba ya Tanzania kinyemela huko Italy akiwa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje.
Prof. Mahalu amedai kwamba kwa kuwa Mkapa alijua ukweli wa jambo hili...
Chadema imeendelea kuwathibitishia wanachama wake wachache waliobaki kuwa ni chama cha kundi dogo la watu wanaojali maslahi yao binafsi kuliko maslahi ya mtanzania mwingine yeyote.
Hii inathibitika katika zoezi lililomalizika la uchangiaji wa fedha kwa ajili ya faini za makosa waliyofanya...
Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally amesema kati ya Madiwani hao, 10 ni Madiwani wa Kuchaguliwa na Mmoja ni wa Viti Maalumu huku timu hiyo inayoongozwa na Meya ikiwa na Viongozi Watatu wa Juu wa CHADEMA.
Amesema kuwa Madiwani hao wanatoka katika Jiji la Mbeya kwenye Halmashauri inayoongozwa na...
Africa's ambitious infrastructure: Tanzania secures $272m for new airport
''Several African countries, and the African Union itself have prioritised infrastructure development as a means of integrating the continent and connecting people to markets, with an objective of lifting millions out of...
Yadaiwa aliweka ndugu yake Ubungo Bus Terminal ili akwapue pesa , watendaji wa jiji waliofanya vizuri akiwemo aliyepandisha mapato ya DDC wahamishwa kimizengwe kwa sababu walimzibia kupata 10% , watupwa madongo kuinama , mwingine atupwa Malinyi akapambane na ngedere !
Kwa watendaji wa namna...
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ameamua kutafuta kinga ya bunge dhidi ya mashitaka ya ufisadi yanayomkabili.
Hatua hiyo huenda ikachelewesha kesi dhidi yake hadi uchaguzi utakapofanywa upya mwezi Machi.
Mwezi Novemba, Waziri Mkuu alishitakiwa na mwanasheria mkuu kwa kutoa hongo...
Mpiga picha :mwalimu mkuu, ntakuchaji shilingi 500 kwa kila mwanafunzi kwa ajili ya passport size..
Mwalimu mkuu :mwalimu waambie wanafunzi walete shilingi 1000 kwa kila mwanafunzi kwa ajili ya passport size..
Mwalimu :wanafunzi mnatakiwa kuleta shilingi 2000 kila mmoja kwa ajili ya passport...
ASKOFU wa Jimbo Katoliki la Mbinga, John Ndimbo amewaonya wabadhirifu wa fedha za miradi ya umma, kuacha uovu huo, kwani unaliangamiza taifa na kuumiza wananchi wa maeneo zilikoelekezwa kutumika.
Aidha, amemtaka kila mwananchi kutenda haki kwa upendo katika eneo lake, iwe kazini au nyumbani...
Picha: Renatus Muabhi
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) inamshikilia Katibu Mkuu wa Chama cha Siasa kiitwacho Chama Cha Kijamii (CCK), Renatus Muabhi kwa kujifanya Mtumishi wa Taasisi hiyo
Anadaiwa pia kuomba rushwa ya Tsh. Milioni 50 kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya...
Benki ya Dunia inapendekeza mkopo wa dola mi $ 100 ya miundombinu kwa ajili ya Tanzania kuongeza utalii na serikali ya Ujerumani hivi karibuni na ilisaini mkataba wa eruo € milioni 18 wa miaka 5 mpango hifadhi kwa Selous.
Rais Magufuli kajinasibu kununua ndege ili kukuza utalii sijajua huo...
Asema bila kujali ulianzishwa na nani na kwa malengo gani ni uwekezaji usio na tija. Ungefanywa na kampuni binafsi ingeeleweka
Asisitiza, tena kwa sasa ndio haufai kabisa kufuatia Serikali kuhamia Dodoma.
Amewataka NSSF kujitafakari juu ya uwekezaji huu.
Amesema kama SSRA wangekuwa makini...
Mkurugenzi mkuu wa NSSF, Godius Kahyayara amesema mradi huo umeshatekelezwa katika awamu mbili
Dar es salaam. Mvutano wa hisa kati ya Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) na kampuni ya Azimio, umeelezwa kuwa chanzo cha kuchelewa kwa mradi wa nyumba zaidi 7,000 zilizopo eneo la Dege Beach...
Mradi mkubwa wa ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni jijini Dar es Salaam uitwao Dege Eco Village, ulioanzishwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya jamii 'NSSF' ulisimama mwaka 2016 huku ikiripotiwa kuwapo kwa ufisadi wa zaidi ya TSH bilioni 179 katika mradi huo.
Cha kufahamu ni kwamba sasa anatafutwa...
Ni takribani mwaka mmoja sasa tangu mradi huu wa NSSF upigwe stop, tayari ulishagharimu mapesa mengi mpaka hapo ulipofika lakini umeishia kuhifadhi panya, nyoka na kenge, Nini hatma yake? Lini utakuwa resumed au ndo mpaka uchunguzi ukamilike?
Mheshimiwa Rais katika hali ilivyo ni vigumu kuvunja mkataba na Akbar. Hebu fikiria ku 'confiscate' yale majengo kwa faida ya umma maana ni jipu lisilobebeka.
Land for Equity (Ardhi Kwa Hisa) na Mradi wa NSSF Dege Beach Kigamboni
Jana Magazeti mengi yameandika kuwa kuna ufisadi mkubwa kwenye miradi ya Shirika la Hifadhi ya Jamii(NSSF), Hasa Mradi wa Dege Beach Huko Kigamboni ambapo imeelezwa na magazeti yetu ambayo yana editors na waandishi wasomi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.