ufisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kichuguu

    Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

    Nimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana! Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti"...
  2. Roving Journalist

    Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Edward Kichere leo tarehe 28 Machi, 2021 amemkabidhi Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ripoti za ukaguzi kwa mwaka wa fedha unaoishia tarehe 30 Juni 2020 katika halfa fupi iliyofanyika Ikulu...
  3. T

    CAG: ATCL imeendeshwa kwa hasara kwa miaka 5 mfululizo

    Maendeleo ya vitu yaendane na maendeleo ya watu. Nani atafidia hii hasara?
  4. Komeo Lachuma

    Hayati Dkt. Magufuli tutamkumbuka kwa kupambana na ufisadi na tutamlilia mbeleni

    Moyo wangu umeanza kutahaharika. Kutokana na yale ninayoyaona. Mafisadi wote ndiyo wenye furaha kubwa ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania. Hili limenifikirisha sana. Why asilimia kubwa ya wanaoonesha Furaha ni wale waliohujumu uchumi wa Taifa hili? Ni sawa wapo pia maskini na wasio mafisadi...
  5. Mac Alpho

    Tuhuma za kufanyika kwa ‘madudu’ dhidi ya fedha za kujikimu(Meals and accommodation) kutoka HESLB ndani ya Chuo Kikuu St. Augustine Mwanza

    Nimegundua kuna madudu na ubabaishaji mkubwa sana wa malipo ya fedha za Kijikimu(Meals and Accomodations) kwa wanafunzi wa Chuo kikuu cha ST. AUGUSTINE MWANZA, ambazo kimsingi ni fedha wanazokopeshwa wanafunzi Ili baadae wazilipe. Serikali inaingiza hela kwenye account ya chuo mapema tu, alafu...
  6. Idugunde

    Ile dhana potofu kuwa ufisadi ni maendeleo sasa haipo. Kila pesa ya serikali inafanya kazi inavyostahili

    Kuna kipindi Watanzania walijenga kasumba mbaya sana. Kwamba kila mradi wa serikali ukifanyika lazima watu wapige dili na kisha wao kuporomosha majumba na kununua magari ya kifahari. Awamu hii mambo yamebadilika maana pesa ya serikali inatolewa macho na mtu huwezi kuidokoa hovyo hovyo. Leo hii...
  7. Fatma-Zehra

    Kubadilisha noti kutamsaidia sana Magufuli kwa sasa katika vita dhidi ya ufisadi

    Let me admit. JPM ana mapungufu ya kutosha. Hata hivyo, bado ni chaguo sahihi kwa vita ya ufisadi. I believe, pesa nyingi zimefichwa "majumbani chini ya magodoro". Ninamuomba achapishe noti mpya haraka iwezekanavyo. Kwenye matumizi ya dola amejitahidi sana. I advise him to do the same wakati...
  8. Mema Tanzania

    Tuangazie rushwa adui wa maendeleo

    Tuangazie #Rushwa Rushwa ni aina ya ukosefu wa uaminifu au kosa la jinai linalofanywa na mtu, taasisi, au shirika lililopewa madaraka, kujipatia faida haramu au kutumia nguvu vibaya kwa faida binafsi. Rushwa inamaliza imani, inadhoofisha demokrasia, inakwamisha, maendeleo ya uchumi na...
  9. Bowie

    Kenya wana Katiba nzuri na kuna ufisadi mkubwa

    Ni jambo la kushangaza sana taifa la Kenya kuwa na katiba bora Afrika Mashariki lakini Ufisadi ni mkubwa sana. Asilimia kubwa ya budget ya serikali inaishia kwenye mifuko ya viongozi wa majimbo. Tumeona pia kuelekea uchaguzi mkuu mwakani hali ya kisiasa ikizidi kuchafuka na chuki za kisiasa...
  10. S

    Tundu Lissu: Ni ufisadi na ufujaji wa fedha za umma kwa Bunge kuwalipa watu ambao hawana sifa za kuwa wabunge

    Ameandika hivi katika akaunti yake ya Twitter: Ni ufisadi na ufujaji wa fedha za umma kwa Bunge kulipa mishahara na posho kwa watu ambao dunia nzima inafahamu hawana sifa ya kuwa wabunge kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania. Ipo siku wahusika wa ufisadi huu na wale wanaouwezesha watawajibishwa...
  11. J

    CHADEMA ni wazuri kwenye kukosoa mambo ya fedha na Ufisadi. Mambo ya afya tuwaachie wanasayansi, yaani Wakemia na Wanabaiolojia

    Ni ukweli ulio wazi kwamba kwenye mambo ya kuchanganua masuala ya fedha na ufisadi CHADEMA wako vizuri na tunawaheshimu katika hilo. Ila kwenye eneo la Kemia, Baiolojia na famasia hawana uwezo nalo kabisa wanajaribu tu kujiingiza lakini wanafeli. Hebu tuwaache CCM tuliwaamini na kuwapa uongozi...
  12. The Mongolian Savage

    Wakuu wa Magereza nchini Uingereza wamejiwa juu kwa ufisadi kwa kuwanunulia wafungwa TV za flat Screen

    Mzuka wanajamvi! Wakuu wa Magereza nchini Uingereza wamejiwa juu kwa ubadhirifu na kuchezea hela ya walipa kodi kwa kuwanunulia wafungwa TV za flat Screen. Maboss hao wa Magereza waliwanunulia kila mfungwa jumla ya Tv 120,037 moja ikigharimu 96 pounds kati ya February 2017 hadi December 2020...
  13. Nyendo

    Mara: TAKUKURU yanusa ufisadi kwenye nyumba za ibada

    TAKUKURU YANUSA UFISADI KATIKA NYUMBA ZA IBADA Ndugu wana habari, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Mara katika kipindi cha miezi mitatu yaani Oktoba hadi Desemba mwaka 2020, ilitekeleza majukumu yake ya kisheria ya kiuchunguzi, uelimishaji umma, udhibiti na uokoaji na...
  14. E

    Viongozi wanafanya ufisadi wanapo pata madaraka kwasababu ya kuendekeza starehe

    Tafadhari rejea kichwa cha habari hapo juu, Viongozi wanafanya ufisadi mara wanapo pata madaraka kwasababu ya kuendekeza sitarehe mara baada ya kurubuniwa. Hiki ndicho nachokifahamu wakuu, na wanao warubuni viongozi wetu mameneja wetu mpaka wanaanza kuwa wezi ni wanawake. Meneja...
  15. Nyankurungu2020

    Ukweli usio mchungu: Serikali ya awamu ya tano imejitahidi kupambana na ufisadi na ubadhilifu

    Moja kwa moja kwenye mada husika wadau wa Jf. Huko nyuma ilikiwa ni aibu maana watu walikuwa hawafanyi ufisadi bali ni kujichotea na kujijazia. Fikiria skendo la Escrow watu walichota bil of Tsh kama wanachukua sh mia mbil ya kula karanga. Alichofichua leo waziri mkuu ni ushahidi tosha kuwa...
  16. J

    Ukitaka kujua ubaya wa mfumo wa chama kimoja, angalia Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi anavyoibua ufisadi kila kona

    Mfumo wa chama kimoja unaendekeza tabia ya kuoneana aibu na huruma. Yanayoendelea pale Unguja utadhani awamu iliyopita iliongozwa na upinzani kumbe walikuwepo CCM peke yao barazani na Serikalini. Nyie vijana wadogo akina Tindo, Mrangi na wadogo zenu kajifunzeni Zanzibar. Maendeleo hayana vyama!
  17. S

    Utawala wa Zanzibar uliopita ulikithiri ufisadi hadi hauonekani

    Kwa jinsi Husein Mwinyi anavyoshindwa kuvumilia juu ya vitendo vilivyofanywa na watawala, sikusudii watawala wa kiarabu, nawakusudia hawa tuliopigania uhuru pamoja na kuahidi kuleta maendeleo. Rais Hussein kila anapopagusa patupu, watawala wa waliopita wakiongozwa na CCM wameshakwapua. Yaani...
  18. Pascal Mayalla

    Siasa za Umeme: Kwa vile Umeme wa Stigler's utatosha na ziada kuuza nje. Je, TANESCO kusaini PPA mpya 6 toka kwa 6 IPPs, sio ufisadi mpya wa kisasa?

    Wanabodi, Kwa vile hii ni mada technical, yaani ni mada ya kitaalam, naomba kuanza bandiko hili kwa elimu kidogo kwa members wenzangu ambao sio wataalam wa mambo ya power na energy. Watu wanadhani siasa ni kusimama tuu majukwaani na kupiga domo, issues yoyote yenye impact kubwa kwa taifa ni...
  19. J

    Je, unazifahamu aina za Ufisadi?

    Katika nchi nyingi, sheria za jinai na kiutawala zinakataza aina mbalimbali za vitendo vya rushwa. Mkataba wa UN dhidi ya Ufisadi (UNCAC) unafafanua tabia ya jinai ambayo mataifa yaliyosaini yanapaswa kujumuisha katika mifumo yao ya kisheria. Vitendo vinaweza kuwa vya rushwa hata kama hakuna...
  20. J

    Tetesi: Ufisadi Mkubwa unaendelea wakala wa mwendokasi

    Kuna ufisadi mkubwa unaendelea wakala wa mwendokasi ambao unahusisha wanaojiita wataalam wa tehama, iko hivi kuna mfumo unaandaliwa wa ukusanyaji nauli kwa njia ya kielektroniki ambao kwa sasa haujakamilika na una zaidi ya mwaka mmpoja sasa. Mfumo huo unatengenezwa na wakala wa mwendokasi na...
Back
Top Bottom