ufisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    Rais wa zamani Ufaransa kufikishwa Mahakamani kwa tuhuma za ufisadi

    Rais wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy atafika mahakamani Jumatatu ambapo anatuhumiwa kujaribu kutoa hongo kwa jaji na kupelekea ushawishi, ikiwa ni moja ya uchunguzi kadhaa wa jinai ambao unatishia kuweka aibu kubwa katika utumishi wake wa muda mrefu wa kisiasa. Waendesha mashtaka wanadai...
  2. J

    Harufu ya ufisadi stendi mpya Mbezi: Je, CHADEMA ilishindwa kuisimamia Serikali ipasavyo?

    Rais Magufuli amesema kuna harufu ya ufisadi katika ujenzi wa stendi mpya ya mabasi ya mikoani na nchi jirani ambapo nyongeza ya Sh bilioni 20 haielewki ina tija gani. Rais Magufuli ameahidi kulichunguza suala hilo na kuchukua hatua stahiki. Ikumbukwe kuwa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam...
  3. Securelens

    Rais Magufuli ni Jemedari kweli wa Vita ya Ufisadi na Rushwa-Jua fedha, majengo, na vitu vingine kibao vilivyorejeshwa Serikalini. Big up JPM

    Moja ya kazi nzuri aliyofanya Mheshimiwa Rais Magufuli ni kupiga vita ufisadi na rushwa kwa vitendo. Mashauri makubwa ya ufisadi 407 yamepelekwa mahakama ya mafisadi na mashauri 385 yamesikilizwa. Aidha kupitia Takukuru mashauri 2,256 yalifunguliwa ambapo mashauri 1,926 tayari yametolewa uamuzi...
  4. S

    Tuhuma nzito ya ufisadi wa kupora ardhi mpaka sasa haijajibiwa

    Nashindwa kuamini kuwa mpaka muda huu hakuna hata mmoja wao miongoni waliotajwa aliweza kutoka hadharani kukanusha au kufafanua juu ya tuhuma hizi. Yaani hata ofisi zao zimeshindwa kuwatetea! Swali la msingi hapa ni je, kama tuhuma ni za uongo, kwanini ichukue muda kujibu? Tutaelewana tu mwaka...
  5. K

    NSSF ichunguzwe na TAKUKURU na Wizara ya Fedha kuhusu harufu ya ufisadi na rushwa

    NSSF imeteua Kampuni binafsi ya PROPER CONSULT kusimamia majengo yake na kuwataka wapangaji kufanya malipo kwenye Akaunti binafsi ya Kampuni hiyo iliyoko CRDB kinyume maelekezo ya Serikali kuwa malipo yote ya Serikali yafanyike kwa kutumia Control Number ili pesa zote ziingie Serikalini. Hapa...
  6. J

    Uchaguzi 2020 Je, Tundu Lissu ana uwezo wa kupambana na rushwa na ufisadi? Historia yake inatuhakikishia hilo?

    Jambo kubwa kabisa alilolifanya Rais Magufuli ni kuwashughulikia mafisadi wala rushwa na wapiga dili waliokuwa wanalihujumu taifa letu. Wananchi zaidi ya 95% wanataka Kazi Iendelee kwamba sasa yakang'olewe mazalia na mabakibaki ya mafisadi popote yalikobakia na wanataka jukumu hilo likamilishwe...
  7. Influenza

    Mfalme wa zamani wa Uhispania, Juan Carlos ahama nchi kwa tuhuma za ufisadi

    Mfalme wa zamani wa Uhispania, Juan Carlos, ameamuwa kuihama nchi yake katika uamuzi wa aina yake unaolenga kuunusuru ufalme baada ya mkururo wa tuhuma za ufisadi dhidi yake na wakati waendesha mashitaka wakimchunguza. Tamko la kasri ya kifalme lililotolewa jana (Agosti 3) lilinukulu barua ya...
  8. pingli-nywee

    Mbunge wa Sirisia John Waluke ahukumiwa kuhudumu kifungo cha miaka 67 gerezani au faini ya KES 1Billion kwenye kesi ya ufisadi dhidi yake

    Siku ya 40 ya mwizi hatimaye ilitimia kwa Mbunge wa Sirisia John Waluke na mshukiwa mwenza Grace Wakhungu, kwenye kesi ya ufisadi dhidi yao ndani ya mahakama ya ufisadi(Anti-Corruption Court) jijini Nairobi hivi majuzi. Hii ni baada ya Chief Magistrate Elizabeth Juma kuwapata na hatia, wao na...
  9. Magonjwa Mtambuka

    Ufisadi wa Wakenya unawapeleka kubaya

    Tenki la maji liilojengwa kwa kulipua limelipuka siku chache kabla ya ufunguzi. Mkandarasi keshakunja mihela yake kibindoni. Rushwa imekithiri.
  10. YEHODAYA

    Jemadari wa Vita Bora hujulikana kwenye Vita Magufuli umepigana Vita ya ufisadi na Corona upewe kipindi kingine

    Jemadari mzuri hujulikana na kukubalika kwa Vita kubwa nzito alizopigana Nyerere alipigania Uhuru Vita kubwa Mwinyi alirithi nchi haina hata Mia Mia ya Pesa za kigeni akafufua uchumi,Mkapa akatafuta solution za mashirika yaliyokuwa yakipata hasara kwa kuyauza kwa wawekezaji, Kikwete akatoa...
  11. mgt software

    Yako wapi Magazeti nguli yaliyovutia kuyasoma? Nani kayazuia kuibua ufisadi, au swala hili wameiachia CAG? Je, wameishiwa mbinu za kijasusi?

    Wana JF, Tangu Rai inunuliwe Watanzania tumeishiwa na hamu ya kusoma magazeti, zamani kulikuwepo waandishi nguli wasio waoga waliokuwa wanapambana na serikali kufichua maovu hata kama habari itawaweka matatizoni. Siku hizi magazeti yote yamegeuka kuanza kuisifia serilali, au au kushadadia...
  12. CCM MKAMBARANI

    Mkambarani-Morogoro: Wizi, hujuma na ufisadi usiochukuliwa hatua na viongozi kuhusu mradi wa maji

    Habari zenu wakuu wangu?.(Mh.Lowata Ole Sanale- Mkuu wa mkoa),Mh.Regina Chonjo-Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Katibu Mkuu wizara ya Maji Mh.Kitila Mkumbo na wote mnaohusika bila kuwasahau Wana-JF mtakaounga mkono uzi na andiko hili muhimu. Bila shaka ni wazima wa Afya Kuhusiana na kichwa cha...
  13. Chagu wa Malunde

    Je, ufisadi na ubadhirifu ndio tatizo pekee kubwa kwa nchi za Afika?

    Nimetafakari sana na kujiuliza juu ya hili swali. Maana hata kabla ya kurudi kwa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania na nchi nyingine nyingi za Africa, sababu kubwa iliyoletwa na taasisi kama World Bank na nchi nyingi za wahisani ilikuwa ni kudhibiti ubadhirifu na ufisadi. Wahisani na World...
  14. JAYJAY

    Ufisadi mpya Tanzania ni wa madaraka?

    Kwa sasa kelele zimekuwa nyingi sana nchini. Hapo kabla kelele nyingi za ufisadi wa kifedha na mali ulipigiwa sana kelele. Sasa sijui ule ulimalizwa au umezidiwa kelele na huu ufisadi mpya wa madaraka ambao unawza pia kuitwa ulevi wa madaraka? Ni nini hasa kinaendelea maana kelele zimekuwa...
  15. chakii

    Spika Ndugai: Wabunge watoro warejeshe fedha zote walizolipwa kuanzia Mei 1-17 jumla ya Tsh. Milioni 110

    Spika Job Ndugai amesema wabunge wa CHADEMA ambao hawashiriki vikao vya bunge kwa madai kuwa wapo karantini wanahesabika kama watoro na wanatakiwa kurejesha fedha zote walizolipwa kwa kipindi ambacho hawatakuwepo bungeni. Pia wamepaswa kufanya kipimo cha Covid19 kabla hawajaingia bungeni ==...
  16. S

    Ilikuwaje fedha za kununulia ndege zikaingizwa kwenye akaunti nyingine kabla ya kulipwa kampuni husika ya kutengeneza ndege?

    Hii ni tuhuma nzito sana na imetolewa na mwanasiasa mmoja machachari katika kuibua tuhuma na kwakweli imeaniacha hoi! Eti fedha zimetolewa benki kubwa na kuhamishiwa akaunti nyingine kabla ya kulipwa kwa kampuni inayotengeneza ndege!!! Tunasubiri majibu/ufafanuzi kutoka kwa wahusika kwani...
  17. Rebeca 83

    Hivi huo ufisadi wanaufanyaje?

    Hello JF, Kama wengine walivyoshtuka Ufisadi uliotajwa na CAG, mimi pia nimeshangaa. Ningependa kumshauri Rais na washauri. wake kusimamia Mali za Watanzania vyema kila Mtanzania ale keki ya taiifa. Ningependa kujua utaratibu ni upi wa kuidhinisha pesa maanake kiwango cha ufisadi ni kikubwa...
  18. M-mbabe

    Uchaguzi 2020 Ufisadi uliobuliwa na CAG umeiondolea sifa (credibility) Serikali ya awamu ya 5. Wapinzani sasa mshindwe wenyewe!

    Ni ukweli usiopingika sasa kuwa upigaji (ufisadi) ambao umekuwepo miaka nenda rudi serekalini bado kabisa haujapatiwa dawa, na serekali ya awamu ya 5 iliyojinasibu kama mkombozi katika eneo hili ni dhahiri imeshindwa kufurukuta kinyume cha matarajio ya sisi wananchi. Kuna uwezekano mkubwa kuwa...
  19. Stuxnet

    CAG aibua ufisadi TPA ya Deus Kakoko, Ni mbaya kuliko wa Kigwangalla

    Kwa wiki zima mitandao ya jamii imemshupalia Dr Hamis Kigwangalla kwa ufisadi wa kutumia Tsh bilioni 2.58 bila idhini ya Bunge. Pengine Kigwangalla yuko kwenye "spotlight" kwa vile siku zote ni mtu wa majibizano kwenye mtandao ya jamii. Sasa kuna manunuzi ya Tsh bilioni 22.69 yaliyifanywa na...
  20. technically

    Miaka 5 ya Magufuli kukimbizana na Chadema na kuacha hoja yake kuu iliyokuwa ni UFISADI

    Nimesikitika sana baada ya kusoma report ya CAG kichere hakika ni majonzi makubwa kwa walipa kodi wa taifa hili, kuanzia Halimashauri wizarani, NEC, Police, Jeshini pesa zimepigwa sio utani hakika zimepigwa. Je wizara zilizo chini yake hali ipoje? je ununuzi wa ndege je matumizi yake hali...
Back
Top Bottom