ufisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Inawezekanaje mtumishi wa Idara ya Usalama wa Taifa kujihusisha na ufisadi?

    Ndugu wana JF sina mengi na sitaki niwachoshe ila kuna Jambo moja naomba nipate ufafanuzi kutoka kwenu wajuvi wa idara hii ya usalama wa Taifa. Tangu nikiwa mdogo nimekuwa nikisikia sikia uwepo wa idara hii na Kwa ufahamu mdogo nilionao ni kwamba ili mtu awe recruited na kuwa mtumishi wa idara...
  2. F

    Msisitizo unaowekwa Mara kwa Mara na waziri mkuu na Makamu wa Rais kuwa waliotajwa kuhusika na ufisadi kwenye Ripoti ya CAG, una maana gani?

    Si chini ya Mara mbili kumsikia Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kwa nyakati tofauti wakiweka msisitizo na mkazo juu ya waliohusika na ufisadi na waliotajwa na Ripoti ya CAG kuchukuliwa hatua kali za kinidhamu, kiuwajibikaji na kisheria. Je, msisitizo huo wa Mara kwa Mara una maana ipi hasa? Nina...
  3. R

    Wazazi tuwaweke watoto na ndugu zetu wanaopambana na ufisadi mikononi mwa Mungu; kuna familia zinalinda madaraka kwa kumwaga damu.

    Kuna watu wameingia kwenye mfumo wa siasa na biashara wanaishi Kwa dili. Ukisikiliza bungeni ni kama vile wanafanya siyo Kwa Siri tena Bali wanafahamika na hakuna wakuwafanya chochote. Tumemsikia Msukuma kuhusu sakata stika za ushuru; anasema wazi kwamba kuna watu wanufaika na kwamba anaogopa...
  4. Ansbert Ngurumo na wanazi wenzako tambueni uwanja wa ndege Chato ni mali ya umma. Kamaa nyie ni wazalendo kweli kemeeni huu ufisadi unofanyika sasa

    Naona mlikosa wapi pa kumkosoa hayati Magufuli mkabakiza kuleta majungu yasiyokuwa na mbele wala nyuma. Hata kama pesa za kujenga uwanja wa ndege Chato hazikuidhinishwa na Bunge shida iko wapi? Kwa sheria ya bajeti hairuhusu kuhamisha mafungu? Leo hii pesa za umma zinaibiwa na hazijengi...
  5. Ofisi ya CAG ifutwe kama hatutaki kupambana na ufisadi

    Kwa maoni yangu yanayotokana na mashambulizi dhidi ya ofisis ya CAG, ni bora tuifute ofisi hiyo maana ni Kama inadharaulika. Naomba nijadili matukio mawili ambayo yamesabaisha nifikie hitimisho hilo. Nikiondoa tukio la CAG Assad kuitwa mbele ya kamati ya bunge kujieleza kipindi Cha ndugai...
  6. T

    Luhaga Mpina awekewe ulinzi iwapo kweli tuna maana ya kupiga vita ufisadi!

    Watu waliojiapiza maisha yao, kufa au kupona, kuuwa ama kuuwawa, ni mafisadi! Ikiwa kweli mnamaanisha kupambana na watu hao hatari, anapotokea mtu mmoja kujitoa mhanga kuwataja hadharani watu hatari kama how, Sisi ambao tuko nyuma ya vita hiyo, jambo moja tu tunapaswa kufanya, Ni kumuunga...
  7. D

    Dar: Maandamano ya ACT Wazalendo kuelekea Ikulu kushinikiza waliotajwa wizi kwenye ripoti ya CAG kuchukuliwa hatua

    Maandamano makubwa yameanza eneo la Fire Kariakoo yakiwa yameandaliwa na ACT-Wazalendo kushinikiza wezi wote walionaswa na Ripoti ya CAG waondolke maofisini kwenda magerezani. Maandamano yanaongozwa na viongozi waandamizi wa chama hicho Cha upinzani na yataishia lango Kuu la Ikulu ya Magogoni...
  8. Sarakasi za Deus Seif na Abubakari Alawi kukisambaratisha Chama cha Walimu Tanzania

    Watajwa hapo juu, Deus Seif aliyekuwa Katibu Mkuu wa CWT na Abubakari Alawi aliyekuwa mwekahazina wa taifa wa CWT mnamo tarehe 28 Juni 2022 walitiwa hatiani na mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa kosa la uhujumu uchumi, Uchepushaji wa fedha za walimu na matumizi mabaya ya madaraka. Katika hali...
  9. Ni wakati gani ndani ya CCM kulikosekana Ufisadi na mafisadi?

    Tangu mwaka 1977 CCM iko madarakani na wakati wote huo mpaka sasa ufisadi na mafisadi ndiyo mtindo wa kuendesha nchi kutoka CCM. Kama kuna mtu anaweza kutuambia kwa uhakika ni wakati gani kulikuwa hakuna Ufisadi na mafisadi ndani ya CCM, atuambie tujue!!
  10. Ripoti za CAG na Ufisadi: Ni kipindi cha TAKUKURU kutajirika

    Majuma 2 yaliyopita yalitawaliwa na mijadala ya ufisadi kutoka kwenye ripoti ya CAG kwa mwaka 2021/22. Sina haja ya kuingia ndani kuhusu ni nani wanahusika na ni fedha kiasi gani wamepiga. Kwanza nawapongeza CAG na timu yake kwa kufanya kazi ILIYOTUKUKA. Inawezekana katika Taasisi za kujivunia...
  11. CAG afichua Serikali ya Magufuli ilivyoisababishia taifa hasara ya Sh 1.7 trilioni mradi wa SGR

    Ripoti mpya ya CAG iliyotolewa Aprili 6, 2023, yasema Serikali ya Awamu ya 5 ilivunja sheria ya nchi kwenye utoaji wa kandarasi ya reli Ilikubali masharti mabovu ya Benki ya StanChart kuwapa kandarasi Waturuki kwa gharama ya juu bila tenda ya wazi ya ushindani ========= Na Waandishi Wetu...
  12. Ezekiel Wenje: Magufuli asingekubali ufisadi huu wa awamu ya sita (Ripoti ya CAG)

    Mbunge wa zamani wa nyamagana (chadema) EZEKIEL WENJE amesema kama Magufuli angekuwa hai asingekubali ufisadi huu ulio tajwa kwenye report ya CAG. Wenje aliyekuwa waziri kivuli wa mambo ya nje ameosesha kubwa kwa sasa Chadema wanaona kubwa Magufuli alikuwa bora sana kwenye kupambana na rushwa...
  13. Rais Samia apokea Ripoti za CAG na TAKUKURU za Mwaka 2021/2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea ripoti ya taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na TAKUKURU kwa mwaka 2021/2022 leo Machi 29, 2023 Ikulu ya Magogoni, Dar es salaam. CP. Salum R. Hamduni, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia...
  14. Tuache kulalamikia TISS kwa majukumu yasiowahusu ya kudhibiti ufisadi au kuendesha uchumi wa nchi

    Sijwahi kuona taifa lingine ambalo wizi/ufisadi wa mali za umma unatokea halafu Idara za ujasusi ndizo zinalaumiwa. Ukosoma sheria ya kuundwa kwa TISS kazi ya inahusu usalama wa taifa "security". Kufuatilia rushwa, ufisadi katika ofisi za umma, kuendesha uchumi, kupambana na madawa ya kulevya...
  15. Chadema mbona hamueleweki? Alipokuwepo kiongozi aliyepambana na ufisadi mlimchukia. Huyu wa sasa mnasema ni mwizi

    Ameandika Patrick John Asenga, Kada wa Chadema kwenye Mtandao wa Twitter “Huu ndio ukweli..... Kimsingi hakuna jina lingine unaloweza kuiita SEREKALI hii ya CCM chini ya Rais Samia zaidi ya kuiita ni SEREKALI ya MAJAMBAZI, MAJIZI, kutokana na Ripoti za CAG za kila mwaka. Hongereni nipashe kwa...
  16. J

    Ole Sendeka amtetea bungeni Rais kutohusika na Ufisadi uliotajwa na CAG

    Mbunge wa Simanjiro,. Ole Sendeka leo bungeni amemtetea RAIS Samia Suluhu Hassan kuwa hahusiki na ufisadi wa ripoti ya CAG akipiga kauli ya Waziri Mwigulu aliyejaribu kumhusisha rais na wizi huo kwamba etii Rais ndio anaidhinisha fedha kutoka.
  17. S

    Kitendo cha Mwigulu kumtaja Rais kuhusika na ufisadi Ripoti ya CAG ni sahihi?

    Mwigulu Nchemba kwenye utetezi wake bungeni amemtaja Rais kuwa ndiye anayeidhinisha fedha zote za Serikali jambo ambalo limezua utata na hisia kubwa kwa wananchi kuhusiana na ufisadi mkubwa uliotajwa na CAG kwenye maeneo mbalimbali . Ufisadi mkubwa umetajwa kwenye Wizara ya Fedha, Wizara ya...
  18. S

    Ni kweli Undugunazisheni serikalini ndio chimbuko la wizi na ufisadi mkubwa serikalini?

    Nimesikiliza maoni ya watu wakiwemo watazamaji wa ITV kwenye kipindi cha Kipima joto jana ambapo wengi wameelezea kuwa tatizo la undugunaizesheni ndani ya serikali ndio chimbuko la wizi na ufisadi. wamesema watuhumiwa wa ufisadi wanashindwa hatua kutokana na baadhi yao kuwa na mafungamano na...
  19. Ufisadi wa zaidi ya billion 80 kwenye ununuzi wa ndege ya mizigo

    Leo katika kupitia pitia masuala ya nchi nakutana na article katika gazeti la mwananchi kuhusu ufisadi wa zaidi ya billion 80 kwenye ununuzi wa ndege ya mizigo. Kulingana na ripoti ya Mhasibu Mkuu na Mdhibiti (CAG) ya hivi karibuni, kasoro katika bei ya ndege mpya ya mizigo ya Air Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…