ufisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    TFF imetoa taarifa ya mapato ya Mchezo wa watani wa Jadi Simba na Yanga ambao ulifanyika jumapili iliyopita tarehe 16/4/2023

    Shirikisho la mpira wa miguu hapa nchini limetoa taarifa ya mapato ya Mchezo wa watani wa Jadi Simba na Yanga ambao ulifanyika jumapili iliyopita tarehe 16/4/2023, wadau mbalimbali wametoa maoni yao kufuatia timu mwenyeji (Simba)kuambulia sh 188,987,181.10 tu katika mapato yote yaliyopatikana...
  2. A

    Lengo kuu la Bima ya Afya kwa Wote inayopendekezwa ni kwa Serikali kukusanya mapato zaidi

    Tangu tupate uhuru, serikali ya Tanzania haijawahi kuwa na nia njema kwa wananchi wake; kisiasa, kiuchumi, wala kiafya. Kodi tunazolipa hazitumiki kuinua hali ya maisha ya wananchi bali kuneemesha viongozi na ndugu zao. Kwa mfano; serikali kununua gari la Tshs 400m kwa ajili ya mkuu wa wilaya...
  3. FRANCIS DA DON

    Mjadala: Nini kifanyike kuzuia utakatishaji pesa za madawa ya kulevya na ufisadi kwenye taasisi holela za kidini?

    (Kisheria sadaka hailipiwi kodi, jina la mtoaji sadaka na kiwango cha sadaka ni siri), [Toa sadaka, kwa kidogo au hata KIKUBWA] , mwenye umaarufu zaidi na watu wengi zaidi ndie anaweza kutakatisha pesa nyingi zaidi bila kuibua maswali mengi. ========================== Utakatishaji pesa ni nini...
  4. Nyankurungu2020

    Haiwezekani kivuko kilichoghraimu bil 7.3 kukarabatiwa kwa bil 4.4

    Pesa za umma zinaliwa huku wananchi wakiteswa na tozo. == Ujenzi wa kivuko cha Mv Kazi uligharimu Sh7.3 bilioni na kina uwezo wa kubeba abiria 800 na magari 22 sawa na jumla ya tani 170. Kupitia Ukurasa wa twitter wa TEMESA wamesema Kivuko cha MV. KAZI kimerejea rasmi katika eneo la Magogoni...
  5. BARD AI

    Rais Samia amemuondoa Prof. Kennedy Gastorn Umoja wa Mataifa kwa kashfa za Rushwa na Ufisadi

    Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa na Balozi nchini Marekani, Prof. Kennedy Gastorn Jumanne alifutwa kazi kutokana na kashfa ya ufisadi ambayo maelezo yake hayakuwekwa wazi. Uamuzi huo wa ghafla ulikuja miezi kadhaa baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumfuta kazi Waziri wa...
  6. M

    Vivuko vya Azam pale feri Dar es salaam kuna dalili za Ufisadi

    Nimepita maeneo ya feri Dar es Salaam kwa ajili ya kuvuka kwenda upande wa Kigamboni. Nilichokiona pale kwa kweli kimenifikirisha na kunitafakarisha sana na kunifanya niwaze sana juu ya mustakbali wa nchi hii. 1. Kuna dalili kampuni ya Azam imepewa dili kinyemela kufanya kazi ya kuvusha watu...
  7. Nyankurungu2020

    Mikutano ya hadhara inayokiuka ibara ya 30 ya JMT ni ubatili wa kisiasa. Imeruhusiwa ili kupoza malalamiko ya ufisadi unaotamalaki nchini

    Kwani tatizo ni kuwa na mikutano ya hadhara? Tatizo ni namna inanvyovunja katiba ya ya JMT hasa ibara ya 30 ya katiba ya JMT inayotaka kutumia haki za kikatiba bila kuleta vurugu, kuathiri wengine n.k Sasa hivi zitaanza vurugu ambazo zitasababisha watu wasifanye kazi, matusi na virungu kuanza...
  8. chiembe

    Ufisadi awamu ya JPM: Uwanja wa ndege Mwanza ulijengwa kwa bajeti ambayo haikupita Bungeni, mabilioni yachotwa

    Huyu JPM ndiye mtu ambaye alijinasibisha na usafi,kupinga ufisadi, wakati akiwa anaila nchi bila kunawa. Ni vile tu awamu hii Wana kifua Cha kukaa kimya, msikilize Malima, RC Mwanza
  9. Nyankurungu2020

    Taifa lijulishwe bei na namna huu mtambo wa Tanesco ulivypatikana. Hizi ni harufu za ufisadi kupitia mgao wa umeme hapa nchini.

    Taratibu za manunuzi zimefuatwa? Je kama zimefuatwa mbona taifa halikuwekwa wazi? 👇
  10. BARD AI

    Msumbiji: Mtoto wa Rais mstaafu afungwa miaka 12 kwa ufisadi wa Tsh. Trilioni 5.1

    Ndambi Guebuza ambaye ni mtoto wa Rais wa awamu ya 3, Armando Emílio Guebuza amekutwa na hatia ubadhirifu mkubwa wa mradi wa uvuvi wa Tsh. Trilioni 5.1. Mahakama imetoa hukumu hiyo ikiwajumuisha watu wengine 11 waliokutwa na hatia ya ufujaji na utakatishaji fedha za Mradi huo uliotajwa...
  11. Sildenafil Citrate

    Kigwangalla: Kwanini Serikali imenunua mabehewa ya SGR yaliyotumika (used)?

    Mbunge wa Nzenga Vijijini Dr. Hamisi Kigwangalla kupitia mtandao wa twitter amehoji kwanini Serikali imenunua mabehewa “used” Amesema “Hili behewa moja (tena used) limenunuliwa kwa sh ngapi? Tumeambiwa yapo haya mabehewa 54, yamenunuliwa kwa us$ 59mn. Kwa hiyo behewa moja ni us$ 1,092,592...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kwanini Serikali ya CCM haijengi magereza mapya? Je, kiwango cha uhalifu kimepungua au wao ndio wahalifu wenyewe wamehalalisha wizi, na ufisadi?

    Ubadhirifu na wizi, matumizi mabaya ya fedha za umma na rasilimali za taifa kutumiwa kwa maslahi ya watu wachache kumeongezeka sana. Mbaya zaidi Rais amesikika mara kadhaa akisema kwamba upigaji kwenye Halmashauri ni mkubwa sana. Tozo zinapigwa, fedha za miradi zinapigwa, fedha za misaada...
  13. figganigga

    Angalia daraja Mbuchi na Mbwera Kibiti la Bilioni 7.2 lililojengwa na Rais wetu Mpendwa Samia Suluhu. Tujipongeze

    Salaam wakuu, Ni baraka na Neema iliyoje kumpata Rais mwenye Uchungu na Mali za Umma? Hakika Mungu anatufundisha na kutuonesha Umakini wa Rais wetu Samia Suluhu. Mungu anatuonesha Uwezo wa kufuatilia mambo wa Rais samia na wakati wa kupiga kura hatutaumiza kichwa kujua ubora wake kwani tumeona...
  14. Chizi Maarifa

    Kumea kwa vituo vingi vya mafuta ni kwa ajili ya kutakatisha fedha zinazotokana na dawa za kulevya na ufisadi wa fedha za umma

    1. Dawa za Kulevya - Biashara imerudi kwa kasi sana. Mimi naishi Kinondoni, naona vijana ambao wameamua kwa dhati kabisa kujiendeleza kiuchumi kupitia biashara hii. Si kwa kificho, mkitaka niwape mbinu za kuwakamata nitawapa. Hawa wanasafirisha sehemu mbalimbali. 2. Ufisadi - Upo wazi, tunaona...
  15. DodomaTZ

    DOKEZO IGP Wambura, Waziri Masauni futeni ufisadi wa kundi hili la raia ndani ya Jeshi la Polisi

    Ndani ya Jeshi la Polisi Tanzania kuna Chama cha Wafanyakazi (TUGHE) ambacho kinaundwa na raia, I mean wale ambao siyo police officers but wapo ndani ya Jeshi la Polisi. TUGHE ina matawi mengi, that’s why nimeeleza kwa ufafanuzi kuwa ninaowazungumzia hapa ni wale walio ndani ya jeshi hilo na...
  16. kmbwembwe

    Awamu ya nne viongozi wa CCM wanarudi kazi ya ufisadi iendelee

    Nilikua bado nina shaka kama kweli uongozi wa mama unarudisha wahuni na wapigaji wa awamu ya nne ila matokeo ya chaguzi za CCM zinazoendelea ndio zimenitoa shaka. Kwa mfano uchaguzi wa Karamagi kuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kagera ndio umenimaliza nguvu. Hakika wahuni wamerudi 2025 sijui...
  17. BARD AI

    Ikulu: Rais Ramaphosa atajiuzulu kama atakutwa na hatia ya utekaji na ufisadi

    Vincent Magwenya, Msemaji wa Rais Cyril Ramaphosa amesema tuhuma za kuficha Mabilioni ya Fedha shambani kwake zikithibitishwa kuwa na ukweli Rais atawajibika. Hata hivyo amemtetea kwa kusema kuwa "Kwa hali ilivyo hakuna mashtaka ya jinai dhidi ya Rais, mnachokisikia ni msururu wa taarifa za...
  18. BARD AI

    Mahakama yamfutia Naibu Rais kesi ya Ufisadi wa Tsh. Bilioni 139

    Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ameruhusiwa kuondoa kesi ya Tsh. Bilioni 139.8 dhidi ya Richathi Gachagua huku Mahakama ikionya kuwa anaweza kukamatwa tena iwapo ushahidi utapatikana. Ofisi ya DPP Noordin M. Haji ilituma maombi ya kufuta kesi hiyo kwa madai ya kufunguliwa kwa shinikizo la DCI...
  19. R

    Mawaziri wanatuficha nini wanapotetea kujitoa kwenye Mpango wa Uendeshaji Serikali kwa uwazi?

    Mbunge wa viti Maalum Grace Tendega aihoji serikali kujiondoa kwenye mpango wa uendeshaji kwa uwazi shughuli za serikali akisema jambo hilo lilikuwa ni silaha muhimu katika kupambana na rushwa. Ripoti zimekuwa zikionyesha vitendo vya rushwa kuongezeka na ripoti ya CAG kutofanyiwa kazi kwa...
  20. N

    Kyela: Ubadhirifu na ufisadi chama cha ushirika KYECU

    UBADHIRIFU CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA KYELA (KYECU), NA UVUNJAJI NA UKIUKAJI WA MIONGOZO YA VYAMA VYA USHIRIKA Mimi ni mdau na Mkulima wa Kakao katika Wilaya yetu Kyela, Mkoani Mbeya. Kutokana na ushiriki wangu katika kilimo hadi mauzo, kuna mambo kadha wa kadha ambayo yanatukwanza kama wana...
Back
Top Bottom