ufisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Wabunge akina Sanga na Shigongo mnapata wapi Jeuri ya Kukemea Ufisadi wakati nanyi mmeingia Bungeni Kifisadi?

    Tena Wewe Sanga ( mwana Simba SC Mwenzangu ) nakujua ndani nje na hata ulivyoupata huo Ubunge wako hivyo nakuonya nyamaza sawa? Na Wewe Shigongo ndiyo kabisa una Dhambi za Kutosha na Madudu ya kila kupitia Kampuni yako ya Global hivyo nawe nakuonya nyamaza sawa? Halafu mlivyonikwaza zaidi...
  2. BARD AI

    Serikali yakwama ujenzi Mji mpya wa NSSF Dege Eco Village Kigamboni, yatangaza kuuza mradi

    Baada ya kusuasua kukamilika kwa mradi wa Dege Eco Village kwa thamani ya dola 653 milioni za Marekani (zaidi ya Sh1.3 trilioni), Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) lililokuwa linautekeleza limetangaza kuuza kwa mwekezaji mwingine atakeyevutiwa nao. Ujenzi wa mradi huo wa mji mpya wa...
  3. voicer

    Watanzania tunapowasifia Kenya kwa Demokrasia pevu, pia tutafakari na hili

    Wakati Huku TZ tukiwasifia kwa Demokrasia pevu wakenya, pia tutafakari na hii: 41Bilions K/shs,+ 4.1bilions K/shs,+700 milionsK/shs,+ 851 millions, K/shs.+800millions, K/shs! Ebu jumlisha hizo pesa, kisha Convert hizo pesa kuja Tanzania Shillings, halafu unaambiwa ni ukwasi wa watu waliowahi...
  4. GENTAMYCINE

    Rais Samia asingewakumbatia Mchwa wa Ufisadi angeweza kuwa Mama wa Taifa ajaye

    Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alizungukwa na Watu very Intelligent na Patriotic Kweli kwa Tanzania ila Rais Samia kwa sasa amezungukwa na Mafisadi, Mafia, Wapumbavu ( Mapopoma ) na Wanafiki watupu wakiongozwa na Mswahili Mmoja nimemsahau Jina. Pumzika kwa Amani Babu yangu Hayati Baba wa...
  5. SN.BARRY

    Ufisadi wa kutisha Wizara ya Habari na Michezo

    Ofisi nzima kuanzia waziri wapo Uturuki kuponda raha eti wameenda kushangilia timu ya Walemavu/Tembo Warriors. Swali: Hii wizara kazi yake ni moja tu kushangilia Tembo Warriors? Huu ni ufisadi was kutisha, rudini mhudumie wananchi wizi ni dhambi. Tangu msifiwe na Rais sasa imekuwa ndio tiketi...
  6. Nyankurungu2020

    Ufisadi na ubadhirifu unaondelea nchini kuipatia CHADEMA nguvu za kisiasa tena. Awamu ya 5 CHADEMA ilipotea baada ya ufisadi kudhibitiwa

    Kwa namna Mapato ya Serikali yanaonekana kuwa hayatumiwi vyema ili hali Serikali inakusanya mapato mengi kupitia kodi, tozo na faini pia hata ada kibao. Wakati wa hayati JPM alidhibiti mianya ya upotevu wa pesa za umma. Aliweza kuwa na ukusanyaji madhubuti wa pesa za umma na zote zikatunzwa...
  7. Kamanda Asiyechoka

    Tuliharibikiwa tuliporuhusu ufisadi wa bilioni 10 Chadema. Sasa tunahangaika namna gani kuchangisha watu

    Tulipaswa kukomaa ili waliokula bil kumi zetu wazitapike. Mbowe na genge lake walipaswa kuzitema. Leo hii tunahangaika kupata mapato. Join ze chain imefeli na sasa tuje na mkakati gani kuchangishana pesa?
  8. Sildenafil Citrate

    Prof. Ndalichako aibua ufisadi wa mamilioni ya fedha za mkopo wa Corona

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Prof. Joyce Ndalichako, ameibua ubadhirifu wa mamilioni ya shilingi yaliyotolewa kutokana na mkopo wa UVIKO-19 kwa ajili ya ukarabati wa Chuo cha Ufundi Stadi na Marekebisho kwa Watu Wenye Ulemavu Sabasaba. Kufuatia...
  9. Mwamuzi wa Tanzania

    Je, Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa iliundwa ili kupunguza au kuondoa rushwa na ufisadi au iliundwa ili kuwahadaa mabeberu watusaidie zaidi?

    Habari! •Trafiki wanachukua pesa mchana kweeupe kwenye madaladala na Bajaji. • polisi wa doria za pikipiki (tigo) nao wanachukua rushwa mchana kweeupe bila woga kutoka kwa bodaboda. •Mahakamani nako rushwa iko waziwazi. •Ofisi za halmashauri rushwa nje nje. Nenda pale depo ya Jiji karibu na...
  10. Mtu Asiyejulikana

    DOKEZO Jambo hili inalofanya Serikali ni wizi dhidi ya raia wake maskini

    Serikali ya kijambazi, kifisadi, kihuni ndiyo inayoweza fanya hivi kwa wananchi wake. Inaiba pesa za wananchi wake maskini kwa kupachika tu majina ya kihuni. Watu wameamua kurudisha pesa walizopoteza kwenye awamu ya Magufuli kwa kuwaibia wananchi wake maskini. Maskini kwa sasa ndiyo wanaona...
  11. U

    Kufanya uchaguzi 2025 bila tume huru ni ufisadi

    Habari ndugu wadau.Tangu mwaka 1995 tumekuwa tunafanya uchaguzi hewa na kutumia fedha kiasi kikubwa wakati tuna matatizo ya kumwaga. Sasa naomba tukubaliane kama hatuko tayari kupata katiba mpya na tume huru tusifanye uchaguzi kuwafurahisha wazungu.Tutumie fedha za uchaguzi kutatua changamoto...
  12. B

    Kwanini sensa ya watu na hii ya majengo hazikufanywa sambamba?

    Tumeambiwa zaidi ya 600bn/- zimetumika kwenye sensa tuliyoambiwa ni ya watu na makazi. Tungali tunajitafakari wanakuja na jipya: Hili nalo ni zoezi la bilioni ngapi? Hivi makazi na majengo nini tofauti? kwanini mawili haya kama ni tofauti na kama ni muhimu hayakuunganishwa ili kufanywa pamoja...
  13. BARD AI

    Afrika Kusini: Washirika wengine wa Jacob Zuma wakamatwa kwa Ufisadi

    Waendesha wamewakamata Watendaji wa zamani kutoka kampuni ya Usafirishaji ya Umma ya Transnet ambayo inachunguzwa juu ya kuhusika na ufisadi wakati Jacob Zuma akiwa Rais. Mamlaka ya Taifa ya Mashtaka (NPA) imesema Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Transnet, Brian Molefe na Mkurugenzi wa Fedha...
  14. figganigga

    Ripoti ya CAG inaonesha ACT WAZALENDO wanaongoza kwa Ufisadi Zanzibar. Allah Wasaidie Wazanzibar

    Salaam Wakuu, Zitto Kabwe na Chama chake cha ACT WAZALENDO, kimeshindwa kujitofautisha na CCM baadaya Ufisadi mkubwa kutokea kwenye Wizara Wanazoongoza. Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), waligawana Madaraka na Vyeo huko Zanzibar. Mfano: Nassoro Mazrui ambaye ni Naibu Katibu mkuu wa Chama...
  15. U

    Kutumia bil. 600 kwenye sensa ni ufisadi

    Habari ndugu wadau. Mimi nimehesabiwa jana.Lakini nilichokiona kwa karani na taarifa tulizompatia haikuchukua ata dakika 5 na tulikuwa kaya ya watu 9. Sasa nikajiuliza hii ndo kazi watu wamefanya semina wiki 3 kweli??Hakika sijaamini nilichokiona. Hii inamaana tungekuwa makini tungetumia ata...
  16. JanguKamaJangu

    Mtuhumiwa wa Ufisadi atinga TAKUKURU na gari la Jeshi

    Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema la Leo Jumatano ya Agosti 24, 2022
  17. Lady Whistledown

    Rais wa Liberia awasimamisha Kazi maafisa 3 wa Serikali baada ya Kuwekewa Vikwazo na Marekani kwa ufisadi

    Rais George Weah amewasimamisha kazi maafisa watatu baada ya serikali ya Marekani kutangaza kuwawekea vikwazo kwa madai ya Rushwa na Ufisadi wa mali za Umma Maafisa hao ni pamoja na Nathaniel McGill, Waziri wa nchi na Mkuu wa wafanyakazi wa Rais, anashutumiwa kwa kutishia wapinzani wa kisiasa...
  18. Sir John Roberts

    Kenya 2022 William Ruto kawekwa na matajiri, Wakenya mjiandae kulipia gharama za ufisadi

    Leo asubuhi nilikuwa naongea na shemeji yangu mmoja ambae ni afisa wa KRA ananiambia Wakenya wajiandae kulipia gharama za ufisadi. Unaambiwa William Ruto kawekwa na matajiri hasa jamii ya Wakikuyu kwa ajili ya maslahi yao ya kibiashara. Na unaambiwa Raila Odinga angeingia Ikulu mafisadi...
  19. M

    Ufisadi AUWSA TSh 36.3 bilioni kutokana na usimamizi mbovu na kutofuata Sheria za Manunuzi na Mikataba unaosababishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa AUWSA

    Mkataba kati ya Sinohyro na AUWSA ulisainiwa tarehe 9 Oktoba,2018 na alianza Ujenzi rasmi tarehe 09 Disemba, 2018 na Muda wa Ujenzi wa mradi ulikuwa ni miaka miwili(2) yaani miezi 24. Sinohyro alitakiwa kukabidhi mradi tarehe 08 Disemba,2020 lakini kutokana na Usimamizi mbovu wa kula rushwa wa...
  20. Lady Whistledown

    Waziri wa Zamani wa Msumbiji afungwa miaka 16 kwa ufisadi

    Aliyekuwa Waziri wa Kazi wa Msumbiji Maria Helena Taipo amehukumiwa kifungo cha miaka 16 jela kwa makosa ya rushwa, yanayohusisha kujipatia fedha zaidi ya Tsh. Bilioni 3.96 sawa na Dola za Marekani Milioni 1.7 kutoka katika fedha za Umma kati ya mwaka 2014-2015. Maria pamoja na maafisa wengine...
Back
Top Bottom