(ANDIKO) KUWAJIBIKA SIO USHAMBA, NI HESHIMA.
Kutokana na mfumo wetu wa siasa tumeaminishwa lazima mwanasiasa awe msemaji na kiongozi wako, marehemu Mtikila aliona mbali hasa katika kupambania kuwa na mgombea/kiongozi binafsi asiyefungamana na chama cha siasa.
Leo tupo katika nchi ambayo maisha...
Nawasalimu kwa jina la JMT..
CAG Mstaafu Ludovick Utouh na Mkurugenzi wa Taasisi ya Wajibu Tanzania ameitaka Serikali kufanya uchunguzi na kuwatafuta wote waliotafuna pesa kiasi cha Trail.1.23 zilizoibuliwa na Mkaguzi wa ndio mwaka wa Fedha 2019/2020..
Utouh Amesema licha ya pesa hizo...
Kumekuwa na madai ya kwamba wasanii walioambatana na Rais Samia Suluhu katika safari ya Royal Tour walikuwa wakilipwa Tsh. Milioni 3 ya kitanzania kama pesa yao ya kujikumu kwa siku nzima kwa siku zote walizokuwepo nchini Marekani.
Baadhi ya Halmashauri zimedaiwa 'kuwapiga' cha juu wasimamizi wa mitihani ya kidato cha nne inayoendelea hivi sasa.
Kwa utafiti wangu usio rasmi wa kuwapigia watumishi wa Halmashauri tofauti tofauti, nimegundua kwamba kuna Halmashauri zingine zimewalipa wasimamizi siku 19, zingine zikalipa siku...
Habari Wana JF,
Ufisadi Tanzania sio kitu kigeni nimekaa kwa kipindi kirefu, nimefanya Utafiti usio rasmi nimegundua kuna vitu vinne ambavyo vinafanya uendelee kuwepo kama Ifuatavyo:
1. KATIBA, kwanza haina makali pili viongozi wengi hawawajibiki kwa Wananchi, wanafanya kazi kwa ajili ya...
CCM wanajua siasa na kimsingi ndio chama pekee cha siasa nchini.
Jiulize baada ya CCM kuzitekanyara sera za Chadema ile Vita ya mafisadi iliyoasisiwa na Dr Slaa ft Tundu Lissu pale Mwembe Yanga na hii ya Katiba mpya sasa Ufipa wamebki na nini?
Mambo ya Katiba mpya sass CCM imeyabariki na...
Rais wa Malawi Lazarus Chakwera amemvua Makamu wake Saulos Chilima mamlaka yote aliyokabidhiwa baada ya Makamu huyo kutajwa katika kashfa ya ufisadi ya Dola za Marekani Milioni 150 sawa na Tsh. 349,499,992,650 iliyohusiana na kandarasi za serikali 16 zilizohusisha kampuni zake 5.
Ripoti ya...
Watanzania!
Poleni KWA tozo,ugumu wa maisha na kizungumkuti cha kodi ya kichwa ijayo!
Mungu atupe uvumilivu katika mateso tunayopewa na Watoto tuliowazaa sisi wenyewe!
Wakati kelele za mchakato wa Katiba mpya zikipigwa hadi kikosi kazi feki kikaitishwa Ili ku spin mchakato usianze mapema na...
Kuna ajira mpya ya kisiasa imezuka katika Taifa letu nayo inaitwa uchawa.
Uchawa ni kitendo cha kuwa mfuasi kindaki ndaki wa mtu kwa matendo na kauli zake bila kujali uhalali wa kile kinachofanywa.
Mtu huyo anaweza kuwa Kiongozi mkuu wa nchi au mwanasiasa yeyote mwenye ushawishi.
Kiongozi...
Bila kuwa na katiba yenye meno haya yanayotokea huko Loliondo yatakuwa kama jambo la kawaida.
Kutafuna pesa za walipa kodi kwa safari za viongozi zisizo na tija au manufaaa kwa umma zitakuwa ni jambo la kawaida.
Wananchi kutozwa tozo za ajabu ajabu na zenye uonevu mkubwa itakuwa ni jambo la...
Huwezi ukaingia mkataba mkubwa kama huu wa kuchakata gesi Lindi kimya kimya kama unaenda kuuza machungwa. Trilioni 70 ni uhai wa taifa letu.
Tunatakiwa kuambiwa ukweli juu ya huu mkataba. Ufafanuzi wa kinagaubaga na kujadiliwa na Bunge.
Hiyo mikataba iliyosainiwa Oman ni mashaka matupu. Maana...
Inashangaza sana hili kundi la CCM ina wenyewe wao kazi yao tu ni kupigaga madili tu kuanzia Epa, Escrow Kagoda na wizi wa mali za CCM
Kumbe Kagasheki ndio alihusika na kuingia dili ili eneo la Loliondo lipunguzwe kwa manufaa ya mwarabu.
👇🏿
Mwananchi › kitaifa
CCM wamgeuka Waziri Kagasheki...
Wakili Busisiwe Mkhwebane anadaiwa kutawaliwa na shutuma za upendeleo wa kisiasa ambapo idadi kubwa ya uchunguzi wake toka ateuliwe mnamo 2016, umekataliwa na Mahakama, na hivyo kuzua maswali kuhusu kustahili kwake kushika wadhifa huo.
Taarifa iliyotolewa na msemaji wa Rais Ramaphosa inasema...
RIPOTA PANORAMA
0711 46 49 84
IKIWA ni zaidi ya mwezi mmoja sasa tangu Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) kutangaza kuitisha mkutano mkubwa wa waandishi wa habari kujibu tuhuma za ufisadi ambazo zimekuwa zikielekezwa zaidi kwa Katibu Mkuu, Filbert Bayi, kamati hiyo imeshindwa kutekeleza azma...
Kwa Sasa Kenani Kihongosi ndio kiongozi wa juu wa UVCCM kulingana na sera ya CCM ya mtu mmoja cheo kimoja kwa kuwa aliyekuwa Mwenyekiti kwa Sasa ni DC na Makamu Mwenyekiti ni waziri wa SMZ hivyo kwa nafasi yake ni Kama anahudumu kwa nafasi zote za juu za UVCCM hivyo suala la kinidhamu na...
Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo ameonyesha siyo mnafiki na yuko tayari kukataa hongo hata kama hiyo rushwa anapewa na viongozi wake wa chama.
Kitendo cha kuanika hadharani ufisadi uliokuwa unafanywa na Mkurugenzi wa jiji la Arusha pamoja na Katibu wa CCM ni cha kijasiri mno na upekee wa...
EFCC WHISKS AWAY PRESIDENTIAL ASPIRANT OKOROCHA - ARISE NEWS REPORT
Maofisa wa Kikosi cha Kupambana na rushwa nchini Nigeria ilibidi wafyatue risasi angani walipokuwa,wamezingira jumba la makaazi ya mwanasiasa anayetuhumiwa kufisadi fedha za umma N2.9 billion.
Hali hiyo ilitokea baada ya...
Mkurugenzi wa jiji Dkt John Pima ni miongoni mwa viongozi 9 walioangukia mikononi mwa Gambo katika vita wasioshinda.
Viongozi wengine ambao Gambo aliowatengenezea ajali na kuondolewa Arusha ni pamoja ,Mpanda aliyekuwa katibu mkuu wa ccm mkoa wa Arusha, Ntibenda aliyekuwa Arusha,Daqaro aliyekuwa...
Mradi wa bodaboda 2017 - 2020 pesa za wadau wa maendeleo gambo na genge lake walikusanya bila kamati pikipiki 200 kila moja 2,100,000. Bila kamati na kwenye kampeni alisema pesa ziko bank kwenye account ya NMB na paka Sasa azipo na hakuna kilicho fanyika mtu uyu aivumiliki na akisema ya watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.