Wadau,
Poleni kwa kazi. Nina maswali mawili ambayo ninaomba mnisaidie
1. Nimekuwa nikijaribu kufuatilia kanuni za ufugaji bora wa Sungura katika maeneo ya joto kama DSM. Nimevutiwa sana na ufugaji huu, ila kuna jambo moja ambalo bado sijalipatia ufumbuzi. Hivi kwa hapa Tanzania soko la Sungura...
Utangulizi
EM.1®️ ni teknolojia iliyogunduliwa nchini Japan miaka ya 80. Imesajiliwa Tanzania na Kampuni ya Feedpro EMAx Limited mwaka 2018. EM ni kifupisho cha Effective microorganisms ambao ni mfumo wa vijidudu hai, salama kwa binadamu. Hii teknolojia inatumika kwenye nchi zaidi ya 110...
Wakuu mada tajwa hapo yahusika,
Nahitaji kupata mbegu bora kwa ajili ya ufugaji, nikisema mbegu bora kwa mfugaji anaelewa. ingependeza hasa kwa alienao maeneo ya kanda ya Kati. Nipigie kwa 0689464641tufanye biashara.
Kama kuna wanaopenda kufuga wanyama hasa Mbuzi (wa maziwa, nyama) njooni tuunganishe nguvu tufanye mambo. Inawezekana kabisa tukafuga kwa mafanikio sana. Kila kitu kipo ndani ya uwezo wetu. I believe together we can go...
Mwaka 2016 mfumo wa maisha ulibadilika baada ya Serikali mpya kuingia madarakani! Vijana wengi tulijikita katika kilimo na ufugaji baada ya motivational speaker kutuhakikishia tutapata utajiri bila kutoa jasho
Nami nikaanza na nguruwe wenye mimba 3. Mwanzoni hakukuwa na changamoto sana ila...
Wana JF
Tanzania imebarikiwa kuwa na vyanzo vya maji ya asili ikiwemo mito, mabwawa, maziwa, bahari, chemchem nk. Kutokana na vyanzo hivi tunapata samaki wa aina mbalimbali wakiwemo perege/sato, kambale, kambamiti (prawns), vibua, changu, kaa n.k.
Samaki ni chanzo cha lishe, kipato na ajira...
Karibu tukuhudumie masuala yote yahusuyo ufugaji samaki ,kuanzia Elimu ya ufugaji samaki, mbegu Bora ya vifaranga wa samaki na chakula Bora cha samaki.karibu shambani kwetu kongowe-kibaha . Pia waweza tufollow kwenye page yetu ya Instagram @ufugaji_samaki_kibiashara.
Tunazalisha na kuuza vifaranga wa kuku chotara aina ya kuloiler
Vifaranga wanapatikana mara mbili kila mwezi na wanakua wameshapatiwa chanjo ya Mareks
Tupo Busweru, Mwanza
tunasafirisha kwenda maeneo jirani kama Shinyanga, Nzega, Musoma, Geita, Sengerema, Magu nk
Bei za vifaranga:
Umri wa...
Hey JF Members.
Ee bwana kuna mtu anaweza kunipa msaada wa mchanganuo wa kufuga kuku. Naona soko la kuku ni kubwa sana. Hii ni biashara ambayo soko lake liko tayari. hotels, functions, vibanda vya chipss. Yeyote mwenye idea naomba msaada please!
BAADHI YA MASWALI NA MAHITAJI YA WADAU...
Wanajamii,
Kama kuna mtu ana utaalam wowote wa ufugaji wa bata naomba tupeane elimu ili tuweze kufuga kisasa kwa ajili ya kutengeneza kipato.
===============
Nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyeji, bado sija survey soko la kuku wa kienyeji likoje.
Kama kuna mtu mwenye uzoefu na hili anishauri, pros and cons etc.
By the way, nimeanza na Jogoo mmoja, ila natarajia kuongeza kuku within a week, projections ni kuwa na kuku 1,000, hapo ndio nianze kuuza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.