ufugaji

  1. S

    Wazoefu wa ufugaji wa samaki hizi nyaya ni za nini kwenye bwawa? Angalia picha

    Kama picha inavyojieleza yenyewe, hao jamaa wanawaingiza vifaranga wa samaki bwawani, ila naona nyaya kama za umeme zimetoka kwenye switch zikaingia bwawani na kuna kichwa kikubwa tu sijui nawaza ni kwa ajili ya nini. Anayejua matumizi yake tafadhali tusaidiane maarifa. kwa kuhisi tu nikafikiria...
  2. FRANC THE GREAT

    Huawei yageukia kwenye ufugaji wa nguruwe kutokana na kushuka kwa mauzo ya smartphone

    Habari! Kampuni kubwa ya teknolojia ya Kichina Huawei (Huawei Technologies Co., Ltd.) imezindua mradi wa ufugaji wa nguruwe kupitia teknolojia ya Akili Bandia (Artificial Intelligence) Jumatatu wakati kampuni hiyo ikigeukia katika maeneo mengine ya kibiashara wakati biashara yake ya simu janja...
  3. J

    Kilimo na Ufugaji: Sababu za uhaba wa chakula

    Uhaba wa chakula ni hali ya kukosa ufikiaji wa uhakika wa chakula cha kutosha cha bei rahisi, chenye lishe. Sababu za Uhaba wa Chakula 1. Kukosekana kwa Ardhi ya Kilimo Chakula hupandwa au kuzalishwa kutoka ardhini. Umiliki wa ardhi huimarisha tija ya kilimo kwani inaweza kutumika...
  4. J

    Dkt. Kigwangalla afungua duka la maziwa Kunduchi Mtongani, asema sasa anajikita kwenye ufugaji

    Dkt. Kigwangalla ambaye ni waziri mstaafu wa Serikali ya awamu ya 5 amesema kwa sasa amejikita kwenye ufugaji kwa kuwa ujasiriamali unalipa kuliko kitu kingine chochote. Kigwangalla amesema kwa sasa anamiliki shamba kubwa la mifugo huko Mvomero mkoani Morogoro ambako anazalisha ng'ombe wa...
  5. Amoeba

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    - Nguruwe watoto 20 @ 20000 = 400000 - Banda la mabanzi=1,000,000 - Chakula = 1,000,000 - Dawa= 200000 After 1yr: Nguruwe 20 watazaa vitoto kama 160,utachakuwa vitoto jike 100, mama zao wote watauzwa, huku shambani kwetu nguruwe mkubwa ni Tsh 200,000 tu...
  6. H

    Mwongozo wa ufugaji Bora wa ng'ombe wa maziwa

    Kumekuwa na maswali kwenye jukwaa hili kuhusu ufugaji wa ng'ombe wa maziwa ,Mimi ni mfugaji wa muda mrefu nimeamua nitoe mchango wangu juu ya ufugaji wa ng'ombe wa maziwa. Hapa nchini Kuna aina tatu maarufu za ng'ombe wa kisasa wa wa maziwa pia Kuna aina nyingine ila katika mizunguko yangu...
  7. mama D

    Kwa wale wajuzi wa ufugaji wa Ng'ombe wa maziwa

    Habari za muda huu wakuu. Naomba msaada wa kujua wanakupatikana Ng'ombe bora wa maziwa. Zaidi kwa mamahitaji ya ng'ombe mwenye mimba ambae hatachukua muda mrefu kuzaa. Nitaomba kujua 1. Aina na gharama za Ng'ombe 2. Mazingira au hali ya hewa sahihi kwa Ng'ombe 3. Ushauri kuhusu ustahimilivu na...
  8. Degelingi_One

    Ufugaji wa Nguruwe

    Wakuu salaam. Kutokana na hali ilivyo ngumu huku mtaani, kijana nimejipiga na kupambana nikakusanya kiasi cha 300k. Nataka nijitupe kwenye ujasiliamali wa ufugaji wa nguruwe. Wataalamu wa haya mambo nipeni uzoefu hasa: 1. Mabanda ya kufugia 2. Muda sahihi wa kuuza 3. Ulishaji, Mara moja au...
  9. Mhdiwani

    Mafunzo ya ufugaji samaki online

    Habari wadau Niende moja kwa moja kwenye mada. Kama umdau au unatamani kupata mafunzo ya ufugaji samaki kuanzia kupima udongo .maji . Kuandaa bwawa . Kuanzia vipimo na idadi ya samaki inayotakiwa kwa urefu x upana x kina . Kujua formula ya chakula .jinsi ya kuweka vifaranga .jinsi ya kujua...
  10. T

    Fursa ya ufugaji wa nyoka

    FURSA YA KILIMO CHA NYOKA Kilimo cha nyoka ni moja ya kilimo chenye faida sana ,mmoja anaweza akaanzisha kilimo hichi ukizingatia thamani ya "snake venom" ipo juu sana. Sumu ya nyoka inatumika kwa wingi kwenye viwanda vya famasia na viwanda vya vipodozi hivyo thamani ya "snake venom " ipo juu...
  11. Kiburi si uungwana

    Kuku ni utajiri ulio ndani ya sayansi na utaalamu na siyo mazoea

    Kuku ni mingoni mwa wanyama wanaopendwa sana duniani kwasababu huliwa na karibu watu wote,huzaliana kwa wingi, huishi popote na hula chochote. Kwasababu hizo kuku ndiyo ndege pekee aliyeenea kwa wingi duniani na kuliwa sana kuliko mnyama yoyote. kwa takwimu za sasa za dunia ni kuwa mahitaji ya...
  12. SACO

    Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa

    Ndugu zangu nataka kuanza ufugaji wa ng'ombe wa maziwa. Nimechagua jukwaa hili kama sehemu ya kupata maujuzi. Naomba kujuzwa juu ya Gharama, Faida, Changamoto nk
  13. mugah di matheo

    Naomba muongozo juu ya Ufugaji mkubwa kiasi kwa Njia za Kisasa

    Naomba kujuzwa juu ya ufugaji mkubwa wa ng'ombe. Nahitaji kuwa na ng'ombe kama elfu moja na mia mbili. Je, nitatakiwa kuwa na vibali vipi serikalini!? Je, ng'ombe wanaotoa maziwa mengi ntapatia wapi mbegu yakee? Na ni ukanda upi wa nchi yetu naweza kupata kwa gharama nafuu hekari 3600 !?
  14. Kiburi si uungwana

    Ufugaji kuku sio mwanzo wa utajiri pekee, unaweza ukawa mwanzo wa umasikini wa uhakika. Zingatia yafuatayo ili upate mema kupitia kuku

    Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu kuweka ndoto za mafanikio kwenye swala zima la ufugaji kuku, swala ambalo watu wengi wanakosea kuingia kwenye ufugaji bila tathmini za kina HASA juu ya gharama na changamoto za ufugaji huo. Mara nyingi huwa tunaingia na mawazo...
  15. M

    Uzoefu wangu katika ufugaji wa kuku

    Mwaka huu(2020) mwanzon niliamua kuanza ufugaji wa kuku chotara. Niliamua kuanza na kuku 120. Nlinunua vifaranga wa mwez mmoja Changamoto Magonjwa, hii ilkuwa changamoto ndogo magonjwa hayakuwa meng. Niliweza kuyatibu kwa wakati Ukuaji, niliambiwa wataanza kutaga wakifikisha miez minne.. lakn...
  16. Fursakibao

    Hii ndio Sababu ya kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji

    Habari za usiku huu wadau. Baada ya kupata taabu ya kutafuta kuku wa kienyeji wa kula, sasa nimeua rasmi nianze ufugaji mwenyewe. Nimejaribu kuangalia sokoni, utakuta kuku wa elf 17 ni mdogo sana hatoshi mwanaume wa shoka kula, hiyo inaonekana soko la kuku hawa lipo ukizingatia upatikanaji wake...
  17. Kitabu

    Kunguru na Mwewe wanashambulia sana vifaranga wangu

    Wakuu kunguru na mwewe wanashambulia sana vifaranga wangu wa kienyeji. Je kuna mbinu yeyote ya kudhibiti? Msaada tafadhali.
  18. X

    Maonyesho ya nyama na ufugaji Toronto Canada

    Salaam, Ningependa kuwahabarisha wafugaji ,wauzaji na wasambazaji wa bidhaa za nyama (red meat & white meat) kutakua na maonyesho ya nyama na ufugaji Toronto Canada tareh 4 mpk 6 February 2021 ambapo wafanya biashara na wawekezaji wakubwa kwa wadogo wa nyama na ufugaji watakutana kuonyesha...
  19. DAVID PALMER

    Ushauri: Nimepata milion 4, nifanye finishing au niongeze eneo kufanya ufugaji?

    Wakuu. Habari zenu. Katika pita pita zangu za kusaka pesa, nimekutana na milioni 4. Sasa nashindwa nifanye kipi kati ya hayo mawili. Mi naishi Madale kwenye kibanda changu vyumba wiwili na sebule. Nimehamia nyumba haina finishing bado. Si marumaru, si plaster, na sakafu ni rough floor. So...
  20. Kibanga Ampiga Mkoloni

    Ufuaji wa mseto wa samaki, wanyama na kilimo cha mazao ili kuongeza tija

    UTANGULIZI Ufugaji mseto wa samaki ni ufugaji ambao bwawa la samaki linakuwa ndani ya shamba pamoja na shughuli nyingine za shamba aidha hapo hapo shambani au katika eneo lililo mbali kidogo na shamba. Shughuli za shamba zinazoenda sambamba na ufugaji wa samaki ni pamoja na kilimo cha mazao...
Back
Top Bottom