Jumapili njema.
Huu uzi umelenga kutoa fursa kwa wafugaji kuhusu ufugaji wa vunjajungu (PRAYING MANTIS) na masoko yake. Pia unajumuisha ufugaji wa wadudu wengine ambao pia hutumika kulisha wanyama.
Sasa kupitia uzi huu tutahabarishana kuhusu masoko yake duniani ila mie nitaambatanisha soko la...
Nimegundua soko zuri sana la mbweha ninataka kuanza kuwafuga. Kuna watu wanapenda kufuga mbweha kuliko hata mbwa kwa sababu mbweha walifuugwa wanafurahisha sana kuliko mbwa wa kawaida; wanajua kucheka na kumfanya mfugaji kufurahi. Angalia huyu hapa
Nitahitaji kukamata vitoto vidogo vya mbweha...
Juzi nikasema nimpigie rafiki yangu mmoja ambaye sijazungumza naye kwa miezi kadhaa sasa. Mingoni mwa mazungumzo yetu ilikuwa kama ifuatavyo:
Mimi: Mambo vipi kaka, habari za siku?
Yeye: Salama kaka, vipi unaendeleaje na mishemishe huko ya maisha?
Mimi: Salama tu kaka, Mungu anajalia uzima...
FUNYUKI Ni ufupisho wa neno FUga NYUki KIbiashara, mradi huu unaotekelezwa na kampuni ya TANZANIA INTERNATIONAL BEE yenye makao yake Dar es salaam ni mradi mkubwa wenye subtitle ya "The beekeeping hub of Africa"
Mradi una malengo makuu mawili:
1. Beekeeping transformation from local/primitive...
Tujadili kuhusu kuku wa kienyeji
-Naanza kwa kuuliza hivi unamgunduaje jogoo angali kifaranga?
-Tunaambiwa mdondo hauna tiba, je inachukua muda gani kuku akishapatwa na ugonjwa huo?
Ukanda wa Pwani na manyasi yote haya mnashindwa kufuga ng'ombe?
Hii kanda sijui ina matatizo gani
Nazungumzia Mikoa ya Pwani Tanga na huu ukanda wa Pwani wote
Huu ukanda umebarikiwa sana kuwa na nyasi na majani ya kutosha mwaka nzima lakini cha ajabu wakazi wa huku hawafugi ng'ombe wala...
Wafugaji wengi hufanya makosa makubwa sana ya kuanza kujenga banda na hatimae kuanza kufuga, bila kuwaza namna ya kutengeneza chakula mwenyewe.
Bila kuwa na chakula chako mwenyewe, mifugo inatesa mno. Kuna wakati unatamani uchukue mahindi ya chakula cha watoto uyaparaze na kuyavunjavunja ili...
Kwanza lazima nitangulie kusema tuko karne ya 21.
Hatuko karne ya 19 au 20, ambapo si mbali sana jamii za kiafrika tulikuwa bado hunters, gatherers na herders.
Sasa hii siasa na sera ya kusema mtanzania yeyote ana haki ya kuishi popote, ni sawa, lakini ina mapungufu makubwa.
Sera hii haiwezi...
Habarini za mwaka mpya wana Jf!
Baada ya muda mrefu kuto post makala humu (nimekuwa busy kwenye media zingine kama instagram, utube,whatsap,telegram..),acha leo nichangie kidogo maana nimeona post nyingi kuhusu ufugaji nguruwe zenye mapungufu. Wakongwe wa Jf watanikumbuka maana nime post sana...
Mhe JPM aliwekeza kwenye ufugaji wa ng'ombe nakuanzisha Ranchi yake iliyokuwa inasimamiwa Kwa kiasi kikubwa na Dola, Sasa hivi naambiwa walinzi wa umma waliokuwa wanalinda rasilimali hizi wamerejea serikalini na hivyo familia kubaki na jukumu la kusimamia miradi hii.
Je, familia ya Mama Janeth...
Msimu wa sikukuu uwe mwema kwenu!
Tangu mwaka jana niko kijijini kutafiti namna gani ufugaji na vifanananavyo vinaweza kuniongezea kipato,kwa ufupi kila nilichojaribu kimeonesha kina uashiria wa tija hapo mbeleni.
Mfano:
■ Nilinunua tetea wanne na jogoo mmoja,wamenizalishia zaidi ya kuku 60...
Tanzania ni nchi yenye walaji wa nyama wengi na kuku huliwa kwa kiasi kikubwa sana. Hata kama bei zinapanda, ulaji unaendelea kukua kila siku.Matokeo yake ni kwamba kufuga kuku inaweza ikawa biashara yenye faida kubwa kwako kwa kuwa yanahitajika kwa wingi. Katika siku za hivi karibuni, kumeibuka...
Licha ya Nchi ya Tanzania kuwa katika ukanda wenye hali ya hewa inayoruhusu uwepo na ukuaji wa viumbe wengi wakiwemo wadudu na mimea bado uwekezaji kwenye kilimo cha ufugaji wa wadudu lishe unaonekana kuwa wa chini sana ukilinganisha na nchi nyingine Duniani. Tanzania inaonekana kuwa nyuma sana...
Paka ni jamii ya wanyama wadogo, na mara nyingi hujulikana kama paka wa kufugwa ili kumtofautisha na wanyama wa mwituni. Paka anaweza kufugwa kama paka wa nyumbani, paka wa shambani au paka wa porini (Kimburu) ambaye yupo huru na huepuka kuwasiliana na binadamu.
Paka wa nyumbani huthaminiwa na...
Habari za majukumu wanajamvi,
Mbwa wangu wamekua na changamoto ya kupoteza afya ikiambatana kunyonyoka manyoya na kupoteza uwezo wa kuona kufikia hatua hadi anajigonga sehem kwa kutoona.
Kuna baadhi ya watu wamenambia hawa mbwa aina ya GS ukiwalisha dagaa hio ndio athari yake. Swali langu je...
KANUNI SAHIHI ZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI
Kaya nyingi hapa nchini hujihusisha na ufugaji wa kuku kwa lengo la kujipatia chakula na kipato. Mazao yatokanayo na ufugaji wa kuku ni pamoja na mayai, nyama, mbolea na manyoya kwa ajili ya matumizi mbalimbali.
Mifumo ya ufugaji kuku ambayo...
Habari za leo,
Ntaomba kufahamishwa kuhusu Hawa Bata,nataka kuwafuga kwa kweli.
Huwa naaikia wanataga mayai mawili tu kwa mwaka.
Kama Kuna taarifa nyingine au kuna mtu anawafuga, mwenye uzoefu nao anifahamiahe zaidi.
Anahitajika mtaalamu wa kilimo na mifugo mwenye elimu ya kuanzia ngazi ya stashahada mwenye ujuzi na uzoefu kwenye tasnia ya ufugaji wa kuku wa nyama wa kisasa.
Eneo la Mradi: Kazimzumbwi - Kisarawe (Pwani)
Anatafutwa mtu mwenye sifa:-
Mwenye ujuzi na uzoefu wa kusimamia na mradi wa ugugaji wa...
AGROCENTRE ni programu ya kilimo na ufugaji ambayo inamwezesha mtumiaji kupata masoko na na elimu kulingana na sehemu anayoishi.ni programu ya ambayo ilitengenezwa na mwanafunzi wa chuo kikuu cha dar es salaam (mlimani compus ) mwaka 2020 kutoka idara ya fizikia.programu hii ina vitu kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.