ufugaji

  1. U

    Ufugaji wa kuku saso na ufugaji wa nguruwe

    wadau niko kwenu hapa najaribu kufikiri kuanza UFUGAJI Sasa nawaza kuhusu UFUGAJI WA NGURUWE au kuku SASO naombeni ushauri wenu nataka kutengeneza pesa za ada mwakani. NIKO MKOANI NA MTAJI WANGU NI LAKI TANO
  2. Madear

    Tujifunze na Kuanza Utamaduni Huu Mpya wa Ufugaji Samaki

    Ni kawaida sana kuona watu wakifuga kuku, ng'ombe, mbuzi, nguruwe, n.k. Lakini ni nadra sana kuona watu wakifuga samaki licha ya kuwa mazingira yetu yanafaa sana kwa shughuli za ufugaji samaki kutokana na kuwepo kwa maeneo yenye maji ya kutosha na hali nzuri ya hewa. Baadhi ya mataifa kama China...
  3. Laizerpeter3

    Nahitaji washirika au Mshirika wa kufanya mradi wa kilimo na ufugaji

    Habari wanafamilia wa JF, Nipo Tanga, Nina shamba lenye miundombinu yote ya Kilimo na Ufugaji, kama mabanda, zizi, nyumba ya wafanyakazi n.k. Ila bado tumaji. Kuna maji ya bomba ila hayatoshi kwa kilimo na ufugaji wa kibiashara kwani ni kidogo na yanatoka mara chache kwa wiki. Kama kuna mtu au...
  4. Rafiki Asali

    Umuhimu wa Misitu katika ufugaji Nyuki Tanznaia

    Misitu ni eneo la ardhi lilifunukwa na miti. Misitu inatumika kwaajili ya makazi,nishati, chakula, dawa na vipodozi. kwa ujumla misitu inasaidia katika kupunguza, mmonyoko na kutunza na kurutubisha udongo. Misitu Katika Ufugaji Nyuki Zaidi ya 50% ya ufugaji nyuki Tanzania unakua unafanyika...
  5. thisisboman1

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara

    Nmeanzisha mradi wa ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara. VIJANA WENZANGU, Niwatoe hofu na kuwatia moyo ufugaji wa kuku wa kienyeji utakupa matokeo makubwa kupanda kiuchumi, kwa kuzingatia ufugaji wenye tija. Mimi nafuga mradi unajiendesha nimezingatia eneo la uwekezaji na namna Bora ya...
  6. benzemah

    Programu ya Rais Samia yaungwa Mkono na wadau wa ufugaji kuku

    KAMPUNI ya Silverlands inayoshughulika na uzalishaji wa vifaranga na chakula cha kuku imesema inaanzisha mpango mahususi utakaoishirikiana na Programu ya BBT Mifugo kuunga mkono jitihada za Mheshimwa Rais Samia Suluhu Hassan kuwawezesha vijana na akinamama katika sekta ya ufugaji ili kukuza...
  7. IBRAHIM EMMILIAN MBAWALA

    Pata ushauri juu ya ufugaji viumbe hai majini ikiwemo samaki, mwani,kaa n.K kisasa (aquaculture)

    Pata ushauri jinsi yakufuga viumbe hai majini kisasa kama samaki aina ya sato, kambale n.k Elimu kidogo juu ya ufugaji samaki aina ya SATO Ufugaji Samaki Aina ya Sato Ufugaji samaki aina ya sato, au tilapia, ni shughuli nzuri na yenye faida. Hapa kuna baadhi ya ushauri muhimu kuhusu ufugaji wa...
  8. IBRAHIM EMMILIAN MBAWALA

    SoC03 Kuongeza Uwajibikaji katika Kilimo na Ufugaji: Mabadiliko ya Kuleta Maendeleo

    "Kuongeza Uwajibikaji katika Kilimo na Ufugaji: Mabadiliko ya Kuleta Maendeleo" Andiko hili linahusu umuhimu wa kuongeza uwajibikaji katika sekta ya kilimo na ufugaji ili kuleta mabadiliko chanya na maendeleo endelevu. Inalenga kutoa ufahamu kuhusu jinsi mifumo ya kilimo na ufugaji inavyoweza...
  9. C

    SoC03 Wakati Sahihi wa Mabadiliko yenye tija katika Kilimo cha Mifugo kuelekea ufugaji wenye tija kwa jamii ya Kitanzania

    Mabadiliko yenye tija katika ufugaji ni ubeti unaoimbwa kila muda Tanzania,Afrika na duniani kwa ujumla wake. Hii inachagizwa na umuhimu wa suala la ufugaji katika maeneo makubwa matatu ambayo ni 01. Utunzaji wa Mazingira 02. Afya za wanaadamu na 03. Afya na haki za mifugo zenyewe. Licha ya...
  10. Clark cian

    Ni mambo gani ya kuzingatia unapoanza kujihusisha na ufugaji?

    Wasalaam ndugu zangu,naamini mu wazima wa afya. Leo nataka nilale nikiwa najua ni hatua gani kama mfugaji mdogo anatakiwa kuzijua pale tu anapokuwa na wazo la kuanza ufugaji Kwa mara ya kwanza. Nahitaji mawazo yenu ndugu zangu Ili niwe Bora zaidi ya hapa nilipo
  11. BwanaSamaki012

    Kwa wale wapenzi wa ufugaji wa Samaki, Vifaranga vya Sato vinapatikana

    Habari za wakati huu? Hii ni kwa wale wote wenye mapenzi au wanaovutiwa na shughuli za kilimo na ufugaji hususani ufugaji wa samaki Tuna toa huduma ya kuuza Vifaranga/mbegu bora ya samaki aina ya Sato (Nile Tilapia) Mbegu zetu ni nzuri Sana kwanza kabisa wana-uniform size, samaki wanakuwa...
  12. F

    SoC03 Uwajibikaji kwenye nyanja ya kilimo na ufugaji

    Ili kuchochea uwajibikaji kwenye nyanja ya kilimo na ufugaji nchini Tanzania, hatua muhimu zinahitajika kuchukuliwa. Uwajibikaji unahusisha uwazi, kushirikisha wadau wote, na kuweka mfumo wa ukaguzi na adhabu kali kwa ukiukwaji wa kanuni. Hapa chini ni orodha ya hatua ambazo zinaweza kuchukuliwa...
  13. Stephano Mgendanyi

    Wadau Zaidi ya 3,000 Kunufaika na Mikopo ya Ufugaji Samaki

    WADAU ZAIDI YA 3,000 KUNUFAIKA NA MIKOPO YA UFUGAJI SAMAKI Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. David Silinde amesema Serikali kwa kushirikiana na Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) katika mwaka huu wa fedha wa 2022/2023 inatekeleza mradi wa kutoa mikopo yenye masharti nafuu na isiyo na riba...
  14. M

    UZI MAALUMU: Kwa ajili ya ku-share Vitabu vya kilimo na ufugaji

    Habari zenu, Uchumi wa nchi yetu unategemea sana sekta ya kilimo na ufugaji hivyo nimeona sio vibaya kama tukisaidiana kuweka softcopy za vitabu mbalimbali vya kilimo na ufugaji ili kusaidia kupanua maarifa na ujuzi katika sekta hizi. Vitabu hivyo viwe katika mfumo wa (softcopy) yaani PDF...
  15. M

    Kijana wa kusimamia mradi wa ufugaji

    Habari wakuu, Nina plan ya kuanzisha mradi wa kufuga nguruwe, mbuzi na kuku wa kienyeji, Niko dodoma, nahitaji kijana mwamininfu mwenye taaluma ya mifugo at least certificate level, awe mvumilivu (not too demanding) mwamininfu ambaye atakuwa anaishi hapo hapo, gharama za chakula na matibabu ya...
  16. P-35

    Malengo 2024:mradi wa ufugaji nguruwe na mbuzi wa nyama

    Habari wapambanaji? Mimi ni kijana mpambanaji,katika kilimo cha mahindi na alizeti,ila mwakan nataka nijikite zaid kwenye ufugaji wa nguruwe na mbuzi wa nyama,nimewajia hapa ili kupata experience pia ushauri,nina ekari mbili nataka 1½ nilime mahindi,alizeti na maboga at least gharama za ulishaji...
  17. M

    Tanzania haiwezi kuanza kufuga kangaroo ili kuvutia watalii?

    Za jioni wana JF? Naangalia kipindi cha wanyama hapa naona kangaroo wanaonyeshwa na kupendeza kweli. Hivi TANAPA haiwezi kununua kangaroo wachache kutoka Australia ili tuwafuge na kupata watalii wengi wanaokuja Tanzania? Hii itasaidia hata watalii wa ndani ambao tumekuwa tukitamani kuwaona...
  18. S

    Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa; ushauri wa kitalaam, changamoto, mawazo na masoko

    Habari zenu ndugu zangu wajf leo nimeamua kuanzisha hii thread inayohusu ufugaji wa ng'ombe wa kisasa /maziwa kwa minajiri ya kujaribu kusolve changamoto mbalimbali zinazowakumba wafugaji wa sector hii kupitia uzoefu wangu mashambani na shuleni (SUA) hivo karibuni tusharee mawazo tupate...
  19. BwanaSamaki012

    The most profitable business idea (ufugaji samaki)

    Habari zenu wakuu Kwanini na amini biashara ya ufugaji samaki ni fursa nzuri kwa mtu anayetaka kuwekeza? Ni kwa sababu kuna upungufu mkubwa wa samaki kwenye vyanzo vya asili vya maji, wakati huo huo kuna ongezeko kubwa la idadi ya watu Duniani. Idadi ya watu duniani inaendelea kuongezeka...
  20. Mzee wa Malengo

    Nini dira ya Watanzania kwenye Kilimo na Ufugaji?

    Leo nimekaa na kutafakari sana kuhusiana na suala hili hasa ikichangiwa na baadhi ya video na clip nilizowahi kuona huko nyuma 1. Misri wameanzisha miradi ya kilimo cha umwagiliaji kwenye majangwa yao hivyo wanatarajia mwaka 2025 kuwa miongoni mwa wazalishaji wakubwa wa ngano duniani 2...
Back
Top Bottom