ufugaji

  1. Gaddaf i06

    Ufugaji wa ndege raha sana

    Habari zenu wafugaji, mimi ni mfugaji tangu siku nyingi zilizopita, nimejikita sana kwenye kuku wa kienyeji. hivi karibuni nilinunua mayai ya kanga nikayatotolesha pamoja na mayai ya kuku, sasa naona vifaranga vya kanga (sijuwi kama ni jina sahihi) vinakua kwa kasi kubwa kuliko kuku! sasa...
  2. francodalexy

    INAUZWA W1209 temperature controler

    Temperature controler thermostat kifaa kwa ajili ya utotoleshaji wa mayai. UFANYAJI KAZI: kinacontrol temperature (halijoto) wakati wa utotoleshaji wa mayai ya Kuku Bata Kanga N.K ona kinavyofanya kazi zaidi youtube kwa kutafuta (W1209) Contact:0789113089 Mwanza Price: 25000
  3. Erythrocyte

    Mbarali: Ng'ombe zaidi ya 400 ambao ni mali ya Wananchi kupigwa mnada leo

    Taarifa iliyotufikia hivi punde inaeleza kwamba ng'ombe hao wa wananchi wa Mbarali ambao idadi kamili ni 433, wanaodaiwa kukamatwa na Askari wa Wanyamapori kwenye hifadhi wanapigwa mnada leo 14/11/2022 Bali kampuni iliyopewa tenda ya kupiga mnada ng'ombe hao wa Wananchi inaitwa MBARALI HIGHLAND...
  4. P

    Business plan ya ufugaji wa kuku

    1. KUKU WA KISASA WA MAYAI 2. KUKU WA NYAMA 3. KUKU WA KIENYEJI Michanganuo hii (Business Plans) kwa lugha ya kiswahili na kiingereza ina kila kitu kuanzia muhtasari, soko, usimamizi mpaka taarifa zote za fedha. Unaweza kuitumia unapoandaa mchanganuo wako wa kuombea pesa mahali au kuendeshea...
  5. Rashidi Jololo

    Rais Samia, ingilia kati tulipwe fedha za mradi wa Ufugaji samaki kupitia Vizimba-Mwanza

    Mheshimiwa Rais kuna UPIGAJI MKUBWA unaenda kufanyika hapa, tunakuomba uwe mkali kama Hayati Magufuli ili fedha hizi tulipwe sasa. Walikudanganya kwamba tungelipwa kufikia Septemba 15, hadi leo hii ni SARAKASI tu zinaendelea. Mheshimiwa Rais tunakuomba ufike Mwanza na kutoa maelekezo, fedha...
  6. JanguKamaJangu

    Serikali: Hatujapokea taarifa rasmi kuhusu ufugaji hatarishi wa kuku Broila

    Serikali imethibitisha kutopokea taarifa rasmi ya utafiti unaoonesha wafugaji wa kuku wanatumia dawa za antibayotiki na hivyo kiasi kikubwa cha dawa hizo kuonekana kwenye maini, kisha kuwa na madhara kwa watumiaji wa kitoweo hicho kwa kusababisha usugu wa vimelea vya dawa. Waziri wa Mifugo na...
  7. A

    SoC02 Jiajiri kupitia ufugaji wa kuku

    Kuku ni moja ya ndege wanaopatikana kwa idadi kubwa sana hapa nchini kwetu na hata duniani kote kwa ujumla,watu wengi wamekua wakifuga kuku kwa mazoea na sio kama biashara,hii imepelekea watu wengi kutokuona tija na faida katika ufugaji wa kuku.kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia kuku...
  8. Brown Mduma

    Msaada Kuhusu ufugaji wa kuku wa mayai

    Wakuu mwenye kujua changamoto za ufugaji wa kuku wa Mayai na namna kuzikwepa anipe muongozo kidogo kwasababu kuna jamaa mmoja alinisimulia juu juu tu kuhusu ufugaji huo akidai nikiwa na kuku 300 niweza pata hadi trey 18 kwa siku kuku wa kishaanza kutaga sasa kwa upande wangu nimeona ni fursa...
  9. Rupia Marko D

    Changamoto katika ufugaji wa kuku

    Je kuchanganya kuku na bata pamoja kuna madhara gani katika ufugaji
  10. Rupia Marko D

    Changamoto katika ufugaji wa kuku

    Suruhisho la kuku anayedonoa vifaranga na kuviua kabisa
  11. De Professor

    Nitapata wapi Muuzaji wa Kanga na Bata mzinga kwa Bei ya Shamba?

    Habari zenu wakuu. Pasipo kupiga chenga nyingi ni kwamba ninataka kuweka mifugo shambani hasa Kanga na Bata Mzinga, Nipo Dar ila kwa wauzaji wa Dar bei zao zipo juu sana nataka kwa Bei ya shamba. Kama wewe unao kimojawapo au unaweza kuniunganisha na wauzaji wa bei ya chini kabisa nipatie tafadhali.
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Wazee wetu hawakuwa na Pension, walitegemea Kilimo na ufugaji. Sisi itakuwaje?

    WAZEE WETU HAWAKUWA NA PENSION, WALITEGEMEA KILIMO NA UFUGAJI; SISI ITAKUWAJE? Anaandika, Robert Heriel. Zamani ilisemwa; Jembe halimtumpi Mkulima, ikimaanisha kuwa Ukilima lazima uambulie chochote kitu. Iwe ni masikini au tajiri lazima upate. Hii ilitokana na Hali nzuri ya tabia ya nchi...
  13. mgt software

    Kupanda kwa bando kuathiri kilimo na ufugaji. Video call zilipunguza sana udanganyifu. TCRA msilichukulie poa

    Wana Jf. Wakati serikali ikijitahidi sana kuingiza fedha nyingi kwenye kilimo, makampuni ya simu yapo mstari wa mbele kuumiza matumiaji wa Internet kwa kuongeza gharama lukuki kila mwezi. Uwezi kumaliza mwezi kabla ya vodacom na airtel hazijapunguza vifurushi vya bando. Hii ni kudidimiza juhudi...
  14. Y

    SoC02 Kilimo na Ufugaji yawe masomo ya lazima shule za Msingi na Sekondari

    Kilimo ni uti wa mgongo wa taifa letu na huchangia 80% ya pato la taifa kuliko sekta nyingine ya uchumi. Kwa sababu hiyo sekta hizi zinatakiwa ziwekewe uwekezaji mkubwa zaidi. Wasomi wanaohitimu vyuoni hawapendi kufanya shughuli za kilimo na ufugaji kwa sababu kuu mbili. 1. Hawana taaluma ya...
  15. M

    SoC02 Mchango wa ufugaji nyuki katika kukuza uzalishaji katika sekta ya kilimo

    UTANGULIZI Ufugaji Nyuki ni sanaa na ni sayansi pia inayohusisha ukusanyaji , usimamizi na uongezaji wa makundi ya Nyuki kwa lengo la kuzalisha mazao ya mbalimbali ya Nyuki kama vile Asali, nta , gundi ya nyuki , sumu ya nyuki , maziwa ya nyuki , watoto wa nyuki n.k , lakini pia kufanya ustawi...
  16. R

    SoC02 Uwekezaji wa kumbi na maeneo ya starehe vijijini ni fursa kubwa kwa sasa na sio kilimo na ufugaji pekee

    Inafahamika kuwa kilimo na ufugaji ndio fursa pekee maeneo ya vijijini. Ni kweli ni fursa kubwa asilimia 98 ya wakazi waishio vijijini wanajishughulisha na kilimo pamoja ufugaji kuendesha maisha yao. Wanauza mazao na mifugo na kujipatia fedha nyingi wakati wa mavuno ,fedha zinakuwa ndani muda...
  17. D

    Natamani Sana kuanza ufugaji wa kuku kibiashara lakini bado sijaamua nifuge aina gani ya kuku kati ya broiler na chotara

    Lengo langu ni kuanza na kuku 1000 lakini bado sijapata taarifa kamili za mradi wenyewe ninaotaka kuuanza mabanda ninayo kuna Mtaalam aliyakagua akayapitisha kuwa yanafaa. Taarifa ninazoomba mnisaidie kushea ni tofauti ya ulaji wa broiler na Chotara, mtaji kiasi gani Kwa broiler au Chotara na...
  18. I

    Nitapata wapi Bata wenye mbegu bora kwa ajili ya ufugaji

    Naam, wakuu natafuta bata mwenye mbegu bora ili nije kuanzisha rasmi ufugaji wa bata wa kueleweka. Naombeni muongozo sehemu za kuwanunua na gharama zake.
  19. M

    Ufugaji unalipa kuliko kilimo

    Kilimo vs ufugaji, hapa nimejifunza jambo, kilimo ni chepesi ila mafanikio yapo mbali, ufugaji ni mgumu sana ila umejaa fedha, kilimo na ufugaji kwa mikoa ya kusini ukivifanya pamoja lazima upate hela, huu ni udhoefu nilioupata field.
  20. BigTall

    Iringa: Ufugaji Samaki Bwawa la Nzivi Mufindi kwa Njia ya Vizimba Waanza

    Mafundi wakijenga Kizimba ndani ya Bwawa la Nzivi, Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa kwa ajili ya ufugaji samaki Uwekezaji mkubwa wa ufugaji samaki kwa njia ya vizimba imetajwa kuwa ni fursa kubwa ya uwekezaji katika Bwawa la Nzivi wilaya ya Mufindi mkoani Iringa. Hatua ya uwekezaji huo mkubwa...
Back
Top Bottom